Lasikoki
JF-Expert Member
- Jan 10, 2010
- 640
- 118
mmmmmmh!!!! Ndg yangu! Mtazamo huu mi nachoka kabisa.
m
mmmmmmh!!!! Ndg yangu! Mtazamo huu mi nachoka kabisa.
naskia mtoto ana instinct za hatari.
aligoma kulishwa.
mods watuwekee sloo mosheni tuone.
Kiukweli mama spika lugha inamtatiza. Yaani anajikanyagakanyaga tu.Spika kimeo, hili si jambo la dharura, sasa bosi wake anatufuta nini mahospitalini? Inamaani hili lilikuwa kwenye ratiba ambayo spika anayo ya shughuli za raisiza mwezi huu siyo? Huyu mama analake jambo, mbona hakuwatangazia wananchi kwa kutakuwa na milipuko ya mabomu na raisi atatembelea majeruhi hospitalini?,
mama mwalimu wako wa kiswahili alikufundisha nini maana ya neno dharura? Kama hufahamu nenda katafute kamusi.
Hii ni dharura kwetu wananchi, lakini sio kwao kwa sababu ni mpango ambao viongozi wa juu waliujua kabla. Na pale bungeni alisema kweli kwa sababu na yeye ni mmoja wa waliokuwa wanalifahamu hilo, hakuropoka wala kukosea na usikute hata kwenye ratiba ya JK hii ilikuwepo. Ivi ni wanajeshi wangapi wametangazwa kufa?Spika kimeo, hili si jambo la dharura, sasa bosi wake anatufuta nini mahospitalini? Inamaani hili lilikuwa kwenye ratiba ambayo spika anayo ya shughuli za raisiza mwezi huu siyo? Huyu mama analake jambo, mbona hakuwatangazia wananchi kwa kutakuwa na milipuko ya mabomu na raisi atatembelea majeruhi hospitalini?,
mama mwalimu wako wa kiswahili alikufundisha nini maana ya neno dharura? Kama hufahamu nenda katafute kamusi.