Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Feb 19, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  JK katika hospitali ya Amana kuwaona wahanga wa mabomu ya Gongo la Mboto
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa utatulisha wangapi ,hivi hunioni kama nami nina kijiko changu ? Au unajitia upofu ,mtoto anaonekana akimshangaa raisi wake !!
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mimi ndiye Rais wa nchi hii unayeniona kwenye mapicha na makofia? je umeshanisikia jina langu
  ndio unaitwa JK
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mtoto: "hili libaba vp..!!"
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimeanza kuamini maneno ya Mbowe kuwa tuna Rais mpole, mkarimu, muungwana na mpenda watu wake.
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mtoto ::'Sio fataki huyu'
   
 7. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Oh really???..... Tell it to the mountains!!!!......
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mhhh!..............wametandika mashuka mapya akiondoka wanayatoa...
   
 9. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  wanatafutia umaarufu kwenye shida za watu ambazo wanazicreate wenyewe
   
 10. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  2memzoea huyu ndo zake!! juzi alitoka kufukua nyayo za binadamu wa kale!!!
   
 11. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katoto kanamlilia kweli rais unasababisa mauaji ktk nchi kwa uzembe kweli hata aibu huna kunilisha, mbona siku zote hujanilisha?
   
 12. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Kweli wewe ni mtaalam wa kusoma picha.
   
 13. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  asimdanganye mtoto mdogo kama huyo kwa chips bana!
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mtoto 'we mbona huonji'
  JK 'uchafu wenu mtakula wenyeewe nionje me ntapike'
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  .... na ndivyo anavyowalisha mafisadi hivi
   
 16. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mtoto mwenyewe alikataa hicho chakula alichomchotea kwa kutingisha kichwa kabisa.
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  JK: Kula wee binti ukuwe ili kesho uwe na Kiherehere........

  Wamejaza misoda kibao utafikiri hospital zetu ziko hivyo. Sijui wanamdanganya nani..... Chakula chenyewe kiko kwenye mikaratasi ya Fast Food na ninaona ni Viazi tupu. Hamna hata kiharage au Nyama..... Ovyo kabisa.

  Ngoja mie nirudi tu niangalie Mchiriku, huku nikisibiri tarehe 24/02 niandamane.

  JK: Vipi Mkong'oto wetu CCM na CUF umeupata fresh wee binti?
   
 18. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Picha hii baadaye itaingizwa kwenye archives za mafanikio ya JK
   
 19. M

  Matarese JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Teh teh , wamejaza na thoda kibao! sijui za huyu dogo, dan bongo jamani!
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huu ni unafiki mtakatifu!!
   
Loading...