Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words

Huu ni uongo pamepambwa utadhani kila siku pako hivyo. Jamani wabongo sasa tutawaita WABONGOLESS.
 
Mbona huku mitaani kuna wengi wana fanya hivyo na hatukuwaajiri kufanya hivyo? na hata picha hawapigwi.
nakumbuka hadithi ya mama moja aliye kuwa na senti yake ya mwisho akaitoa kama sadaka na fataki moja aliye biliionea lakini yeye alitoa Laki moja. kwa kutumia hesabu za asilimia ? ni nani aliyeonyesha moyo wa kujitolea? au aliye toa zaidi?
Propaganda zingine zinatakiwa ziendane na uzito wa mtu anaye fanya.
 
Mungu atamhukumu kama alikuwa na dhamira mbaya, mara ngapi kafanya hivyo kwa watu wanaougua magonjwa mbalimbali,tusihadaike hata kidogo siku zake ziahesabila ni aje huku masaini aone hali ilivypo asilikmbilie mijini ambako hata hivyo azima atandikiwe mashuka mazuri.
 
_51307977_kikwete_ap.jpg

naskia mtoto ana instinct za hatari.

aligoma kulishwa.

mods watuwekee sloo mosheni tuone.
 
naona nia ya mleta picha ni kumdhalilisha "kiongozi wetu mpendwa".
na kwa mtu mwenye busara lipi lilo jema kumpa mtu uwezo wa kujilisha siku zote na familia yake, badala ya mtoto moja kati ya mamilioni ya watz wenye shida na njaa. au una mpa mtu mkopo wa sha moja(chakula cha Shs 1000) na baadae unamtoza riba ya shs2(unamuibia kwenye gharama za umeme, ndege ya raisi/atcl, uchaguzi wa marafki katika baraza la mawaziri na nafasi nyinginezo , kununua vifaa duni vya kiusalama matokeo yake ndio hayo aidha watu wanavilipua kuondoa ushahidi/vinalipuka vyenyewe kutokana na uhifadhi duni nk nk)
 
Mtoto anamweleza chipsi hizi nyeupe bila kitu niza mafuta ya transforma, ndizo tulazo uswazi.
 
Mheshimiwa utatulisha wangapi ,hivi hunioni kama nami nina kijiko changu ? Au unajitia upofu ,mtoto anaonekana akimshangaa raisi wake !!

Alichokifanya kikubwa hapo ni nini? kucheka kama kachekeshwa wakati mtoto ana hofu na mashaka juu ya maisha yake. Mwangalie mtoto usoni utapata jibu halafu wewe unamsifia umekosa uelewa kweli. Halafu ni mtu wa aina gani usiye na huruma na imani juu ya mtoto huyu eti angalia mtoto anamshangaa ndio nini sasa. Kueni akili na mwili wajameni msiwe watu wa kufurahisha roho zenu pengine na jamvi. You are lost bigtime.
 

''........Toto pole sana! I am SMILING but very SERIOUS ON ISSUES like MILIPUKO YA MBAGALA NA GONGO LA MBOTO,PAYMENTS OF 94billions/= TO DOWANS,MGAWO WA UMEME,MATOKEO MABAYA YA FORM IV MWAKA JANA,NA SAFARI HII LAZIMA NIWAFUKUZE KAZI MWAMNYANGE NA DR.HUSSEIN MWINYI. MTOTO USINIONE NACHEKACHEKA HIVI KAMA MJINGA NIKO VERY SERIOUS KWENYE ISSUES KAMA HIZI. We subiri tu.........!
 
mimi ndio JK Mbowe aliesema ni msikivu nimesikia shida na zahma mlizopata tupo pamoja.........kula enh......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom