Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
Doc1.jpg

Picha ya pili...

Doc2.jpg
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
 
Watawala wamepata somo kwenye hili, siku zote huwa naamini hakuna ukimya usio na ukomo, haupo, ni uvumilivu tu ambao kwa kadri mtu anavyozidi kujaribiwa, iko siku lazima uvumilivu utamshinda, hapo ndipo unaona watu wanaamua kusimama na kuongea waziwazi bila hofu licha ya vitisho vya polisi.

Wale wakina Dr. Nshalla, na Adv. Mwabukusi ni mfano mdogo sana wa kuthibitisha hoja yangu, lakini naamini kabisa, hata kama wasingesema wao, bado wapo wengine wangesema, siku zote naamini, hakuna kitu kigumu na kibaya hapa duniani kama kuvumilia maumivu ya kuonekana mjinga kwa wengine.
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Pascal Mayalla mwanasheria njoo na ufafanuzi wa huu mkanganyiko
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Kwa maana hiyo Rais wetu Mpendwa Mama Samia pia ni Rais wa Dubei? Mbona hamtushtui na sisi tuzamie Dubei kumbe utawala wa Samia unafika hadi Ghuba ya Uajemi?
 
Masikini Watanzania na hasa Watanganyika, wapo wenzetu wanapiga vigelegele wakisombwa kupelekwa machinjoni.

Inashangaza, inahuzunisha, inaudhi na inakasirisha. Tunauzwa hivi hivi tukiona na kushuhudia. Kwa bahati nzuri uzalendo hatimaye umetoa sauti.

Tusikubali, tusikubali na tusikubali.
 
Back
Top Bottom