Picha: Hii imekaaje?

Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.
Rais angekuwa ameng'ang'aniwa ingeonekana,lakini mkono wa Rais bado umetoa ushirikiano!Pia mkono wa kushoto wa Rais ndio kwanza ulikuwa unaenda kutua begani kwa bwana shekhe!
Kwa jinsi nilivyoona mkono wa kushoto wa Rais ni kama alikuwa anamuaga kwa kumpiga tumakofi twa kumfaji ni kama baba anavyomfariji mwanae au kumtia moyo.!
 
Sasa kwanini huyo mwanausalama asiuzuie mkono wa rais? Mbona tumeona Obama hata akibebwa kwa furaha na mwananchi wake sasa sisi kwetu hata kushikana mikono azuiwe?
 
Hivi watanzania Nani katuloga ? Eti na wewe ni great thinker. picha ulioleta inatukwamuaje vijana kiuchumi?
Acheni ubwege, tuna mambo mengi ya kufanya na si huu upuuzi
..kama una mengi ya kufanya usingepoteza muda wako kuingia humu na kupost hayo uliyoyapost
 
Muuza pizza kamuona Obama akamkimbilia na kumnyanyua juu juu kwa bongo ukimfanyia hivyo magufuli watakuokota mhimbili

13502086_1712543128995374_303833818511209608_n.jpg
 
Kwa jinsi nilivyoona mkono wa kushoto wa Rais ni kama alikuwa anamuaga kwa kumpiga tumakofi twa kumfaji ni kama baba anavyomfariji mwanae au kumtia moyo.!
Huyu ni Obama kabebwa na mwananchi wake kwa furaha wala hakuna tatizo. Wa kwetu hata kushikwa mkono!
13502086_1712543128995374_303833818511209608_n.jpg
 
Mambo ya usalama waachieni wanausalama. Mafunzo ya namna ya kumlinda Rais na protocol zake hayatolewi Kwenye mitandao na wala maitaala ya mafunzo hayo haiandaliwi Kwenye mitandao. Acheni kukosoa taaluma ambazo hamna upeo nazo. Waacheni walinzi wa rais wafanye Kwa mujibu wa taratibu za kiusalama Kwa sababu dosari yeyote itakayotokea na ikasababisha madhara hata madogo Kwa RAIS anaewajibika NI mwanausalama husika Kwa kutotekeleza Kwa mujibu wa taratibu alizopewa.
 
Ukiiangalia picha hii uliyopost sasa unaona kabisa mazingira yake na ya watu walionyosha mikono yao si hatarishi sana kama yale ya msongamano wa karibu katika ile picha yenye hoja. Na huenda walipima hali na wakajiridhisha kuwa hali ni salama wakiendelea kusimama walipo. Ni mawazo tu.
Kwahiyo dhamira za moyoni zinajulikana
 
Mkuu, sasa uelewa wangu mdogo kivipi tena ndugu?!! wewe si unasema kwamba huyo mlinzi wa Rais alichofanya sio nidhamu. Nami nimesema sawa. Na nikashauri tu kuwa yawezekana wewe 'unajua' zaidi hayo majukumu yake, so ukamkumbushe ili next time asirudie tena huo 'utovu wa nidhamu' kwa rais anapo-shake hands with people. Hapo kosa langu nini mkuu?

Au ndo 'unawashwa' sana huko kunako 'kitengo' eeh. Pengine yawezekana unajibu comment zangu huku 'umechora 7' 🙂🙂

maana between your lines nimegundua hata huelewi unapinga nini, huelewi unatetea nini.

Au ndo unaleta ligi za 'kiduwanzi' ili ujaze uzi eeeh. Najua tu kesho kukicha mada hii utaipeleka kwenye kijiwe cha kahawa 😀

-Kaveli-
Hili jukwaa limekuzidi uwezo,JF imevamiwa!
 
Hapa inaonekana Magufuli ndio ali initiate handshakes na sio hao wanafunzi na ilikuwa planned.
Hata hiyo picha juu Magufuli ndiye aliyeenda jukwaa la waalikwa akasalimiana nao!
 
Sipati picha siku Magufuli akienda SOMALIA huyo mlinz atatamani ambebe mgongoni teh teh teh kazi nyingine ngumu sana
 
Hayo masuala ya usalama wa rais ni majukumu ya hao jamaa(presidential security unit) kwa hiyo mda mwingine inawapasa kufanya au kutenda hata ambavyo rais mwenyewe hategemei mfano kuzuia handshake na baadhi ya watu( those suspected). Hii ni kuimarisha usalama wa rais, tuwe wakweli iwapo mh. Akidhurika kwa namna yoyote ile macho na lawama pia sheria itakuwa juu ya hawa jamaa.
Tusishangae kuona hilo jamaa likiwa na tahadhari na mkono huo dhidi ya rais, he's in his duty.
 
Huyo sio just nobody,ni Wakili aliyewatetea wananchi wa eneo hilo kwa miaka mingi mpaka serikali imeenda jana na kuahidi kuwajengea!Alialikwa na alikuwa pale kwa niaba ya wananchi aliowatetea na alikaa mstari wa mbele wa jukwaa maalum!Rais akapita akiwasalimia waliokuwa line ya mbele!Yeye akiwa miongoni mwao!Ni kheri Rais angezuiliwa asishikane nao mkono kabisa kuliko hivyo!
 
Kiusalama zaidi nafikili imekaa poa zaidi....Japo mambo mengine wanafahamu wanausalama zaidi.... Kuna picha moja Ile 24 ukiiangalia utaona Kuna dada alimsalimia President.... Kumbe kwenye ule mkono alipaka sumu ya kumdhuru presidaaa... Kwa hiyo Huyo mlinzi Yupo sahihi kabisa...
 
Kama ndio hivyo si tayari zoezi la kupeana mkono lilishatimia?
 
Mambo ya usalama waachieni wanausalama. Mafunzo ya namna ya kumlinda Rais na protocol zake hayatolewi Kwenye mitandao na wala maitaala ya mafunzo hayo haiandaliwi Kwenye mitandao. Acheni kukosoa taaluma ambazo hamna upeo nazo. Waacheni walinzi wa rais wafanye Kwa mujibu wa taratibu za kiusalama Kwa sababu dosari yeyote itakayotokea na ikasababisha madhara hata madogo Kwa RAIS anaewajibika NI mwanausalama husika Kwa kutotekeleza Kwa mujibu wa taratibu alizopewa.

Asante mkuu kwa maelezo yaliyojaa hekima.....

Kuna muda huwa nafikiri kuwa kuna watu wana shida vichwani mwao....
Yaani watu wanajifanya wanajua kila kitu hata vile ambavyo hawana taaluma nazo.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom