Exactly mkuu these guys are more than how they appear, wanaweka watu wao somewhere ambako rais atapita then akija the guy will be free to hug or even lift a president as how it appears on the photo, but for the normal persons never happened otherwise awe amekaguliwa vya kutosha.Usishangae hata huyo aliyembeba ni Afisa usalama
Za alizetiZa mchele au mahindi!
Pumbaf kabsa ushawaona hata hao waume zako wazungu wanachekacheka wakiwa kazini kwao...?? You better accept that you know nothing on this dimension, then you better shutoff.kwaniukiwa bodyguard warais mpaka utishe watu kwa kununa unaweza tu kuwanormal miafrika bana
Kama unachosema ni kweli,then why do they go through that much trouble?wanajaribu kuonesha nini?Wanachojaribu kuonesha ni kuwa there are good civilians who should never be treated as suspects!Hata kama ni fake,they are trying to send a message!Kuliko kumfanyia kama huyo jamaa hapo juu,basi ni kheri kuzuia kabisa tukio la kusalimiana na Rais apite tu!Exactly mkuu these guys are more than how they appear, wanaweka watu wao somewhere ambako rais atapita then akija the guy will be free to hug or even lift a president as how it appears on the photo, but for the normal persons never happened otherwise awe amekaguliwa vya kutosha.
he he he he he uwiii'mtukufu' JPM
Mkuu kumlinda mtu ni jukumu gumu sana ambalo lazima wewe kama mlinzi wake yakupasa kuwa na tahadhari kubwa sana (alerted) mda wote, inawezekana mlindwa(hasa rais) akajisahau na kujichanganya na watu(cloud of mass) hivyo jukumu la wewe ni kuhakikisha hakuna mtu atakaye gusana au kushikana kwa mda mrefu (holding handshake) na mtu wako,Kama unachosema ni kweli,then why do they go through that much trouble?wanajaribu kuonesha nini?Wanachojaribu kuonesha ni kuwa there are good civilians who should never be treated as suspects!Hata kama ni fake,they are trying to send a message!Kuliko kumfanyia kama huyo jamaa hapo juu,basi ni kheri kuzuia kabisa tukio la kusalimiana na Rais apite tu!
Jamani tumeshasema humu,hao ni guests waliokuwa jukwaa maalum!Especially huyo bwana Twaha tukio ndio lilikuwa linamhusu hasa kwa kuwa ndiye aliyesimama kwa niaba ya wananchi!Kwa distance ile kabla hata ya mkono hiyo physical attack ingewezekana tu!Hao walikuwa special guests expected to shake hands with the presidentMkuu kumlinda mtu ni jukumu gumu sana ambalo lazima wewe kama mlinzi wake yakupasa kuwa na tahadhari kubwa sana (alerted) mda wote, inawezekana mlindwa(hasa rais) akajisahau na kujichanganya na watu(cloud of mass) hivyo jukumu la wewe ni kuhakikisha hakuna mtu atakaye gusana au kushikana kwa mda mrefu (holding handshake) na mtu wako,
Picha inayomuonyesha huyo mlinzi wa rais akiwa ameweka mkono wake dhidi ya huyo jamaa hiyo ni tahadhari dhidi ya mkao au usimamaji(any attack stance) utakaotoa nafasi kwa jamaa kumdhuru rais (if happens) kwa pigo la ngumi au chochote (physical attack than chemical).
Tuelewe kuwa hawa jamaa ni watu wenye akili timamu na wamepewa jukumu hilo kwa kuwa wamekidhi vigezo na mbinu zote za kimafunzo na uokoaji, wamepatikana kutokana na michujo yenye umakini zaidi. They are doing what they know, they are elite personnels.
Kelele zingine ni kutoelewa majukumu na namna wanavyotekeleza.
pumbavu waheed khinzeer ww mkubwa nimesema uwe normal haimanishi kucheka sio kila saaa unanuna kama una mimbaPumbaf kabsa ushawaona hata hao waume zako wazungu wanachekacheka wakiwa kazini kwao...?? You better accept that you know nothing on this dimension, then you better shutoff.
Well kuna kitu kidogo ninachojua kuhusu usalama,kuna threats ambazo zinahatarisha maisha na ambazo hazihatarishi maisha!Hizo threats ambazo hazihatarishi maisha ni nyingi na hazizuiliki!Mfano ndio huo wa mwandishi kurusha kiatu!Au mfano huyo jamaa angeamua kumtemea mate Rais,au angeamua kumpiga kichwa,au angeamua kumpiga teke au hata kibao!Matukio ya namna hii hayawezi kuzuilika kwa mtu aliyecross line na kuwa karibu na Rais na mara nyingi hulenga kufikisha ujumbe na sio kudhuru kwa lengo la kuua!Haya yote ni matukio yasiyohatarisha maisha,hata hilo hapo juu as long as walishakaguliwa then hakuna tukio la kuhatarisha maisha linaloweza kutokea!Kilichofanyika ni fedheha kwa wote,Rais na Mwakilishi wa wananchi!Ulinzi ni kazi ngumu sana na umakini wa kiwango cha juu sana wahitajika.
Hupaswi kumuamini mtu hata akiwa ni
baba/mama yako.
Inspection ya hiyo zone karibu na Rais pekee haitoshi kuamini watu/mtu kuwa hawatasababisha madhara yoyote.
Mfano G.Bush alivyonusurika kupigwa viatu na journalist kule Iraq unaeza kufikiri vipi kama zone ile ilikaguliwa na walinzi kujiridhisha ni shwari mtu atatumia viatu kumpiga Rais?
Hiyo hapo ni sawa huo ni umakini tu na ethics za walinzi.
Kumbuka kushambulia ni rahisi zaidi ya kulinda hivyo washambuliaji hutumia loophole ndogo sana kukamilisha mission zao. So mlinzi hatakiwa kuruhusu hata hiyo loophole ndogo.
HahahahaMuuza pizza kamuona Obama akamkimbilia na kumnyanyua juu juu kwa bongo ukimfanyia hivyo magufuli watakuokota mhimbili
![]()

Mlinzi aliyekamilika anapaswa kuzipa threats zote uzito ulio sawa ndugu, sababu threat unayofikiri ni ndogo inaeza kusababisha maafa makubwa.Well kuna kitu kidogo ninachojua kuhusu usalama,kuna threats ambazo zinahatarisha maisha na ambazo hazihatarishi maisha!Hizo threats ambazo hazihatarishi maisha ni nyingi na hazizuiliki!Mfano ndio huo wa mwandishi kurusha kiatu!Au mfano huyo jamaa angeamua kumtemea mate Rais,au angeamua kumpiga kichwa,au angeamua kumpiga teke au hata kibao!Matukio ya namna hii hayawezi kuzuilika kwa mtu aliyecross line na kuwa karibu na Rais na mara nyingi hulenga kufikisha ujumbe na sio kudhuru kwa lengo la kuua!Haya yote ni matukio yasiyohatarisha maisha,hata hilo hapo juu as long as walishakaguliwa then hakuna tukio la kuhatarisha maisha linaloweza kutokea!Kilichofanyika ni fedheha kwa wote,Rais na Mwakilishi wa wananchi!
Then mzuie Rias asisogelee Raia!Mfano mkutano na waandishi wa habari,hakikisha waandishi hawajavaa viatu ili wasivitumie kumrushia Rais!Mlinzi aliyekamilika anapaswa kuzipa threats zote uzito ulio sawa ndugu, sababu threat unayofikiri ni ndogo inaeza kusababisha maafa makubwa.
Wasichofahamu wengi ni kuwa mwili wa binadamu ni silaha kubwa sana na walinzi hujifunza mbinu nyingi kukabiliana na silaha hii ya mwili.
Mlinzi anajifunza kutumia mwili wake kama silaha combat techiniques na kujilinda/kulinda usalama sehemu husika.
Ni kosa kubwa sana kubagua threats katika ethics za ulinzi threat ni threat tuu mwili ni silaha kubwa na hutumika kujeruhi au kuua.
Hivyo hupaswi kumuamini asiyekuwa na man made weapon kama gun, knife nk kuwa sababu hana silaha kazi imekwisha haezi leta madhara hapana pale shughuli ndio kwanza inaanza.
Mlinzi hakujui wewe yuko pale kwa kazi moja tu kulinda usalama, unaanzaje kumdhania kwa mfano Kung Fu black belt personel ni threat ndogo?
Unaeza kuwa na gun na ukashindwa kumzuia huyu mtu he is powerful, faster and very accurate.
Epuka kuwa mchokonozi kwani "choko choko................."Sijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu. Angalieni mkono wa huyo jamaa wa usalama.
View attachment 394980
Ulivyomshika mtu anayesalimiana na Rais.
Wadau mna maoni gani? Hii imetokea leo.
Nadhani na hapa chini Bon angechelewa kidogo jamaa angeenda kumshika mkono aachie mkono wa Rais. Sio kwa jicho hilo analomkata aisee.
View attachment 394999 View attachment 394980
Mkuu,nakushauri upende viungo vyako zaidi kuliko kuanza kuchokonoa huko......huko hapafai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Sijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu. Angalieni mkono wa huyo jamaa wa usalama.
View attachment 394980
Ulivyomshika mtu anayesalimiana na Rais.
Wadau mna maoni gani? Hii imetokea leo.
Nadhani na hapa chini Bon angechelewa kidogo jamaa angeenda kumshika mkono aachie mkono wa Rais. Sio kwa jicho hilo analomkata aisee.
View attachment 394999 View attachment 394980