Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 582
Kwani rais hajui kama akishasalimiana na mtu anatakiwa kuachia mkono? Pia sidhani kama ni sahihi kumwacha kila raia kushikana mkono na rais. Waachiwe wenye uelewa wa kiprotokali za kiusalama tu!