Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,209
- Thread starter
- #181
Ndio maana hii ikaitwa JF,kuna watu wa aina mbalimbali!Hata hao usalama wengine ni member humu!Hii ni sehemu ya kuelimishaña na sio kuishia kusema "wanajua wenye taaluma zao"!Asante mkuu kwa maelezo yaliyojaa hekima.....
Kuna muda huwa nafikiri kuwa kuna watu wana shida vichwani mwao....
Yaani watu wanajifanya wanajua kila kitu hata vile ambavyo hawana taaluma nazo.....
Kuna watu wanataaluma and yet they make mistakes!Pamoja na taaluma lakini huwezi kumuondolea mtu asili yake kuhoji na kuangalia mambo kutokana na uelewa wake wa asili alionao!
