Picha: Hii imekaaje?

Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.
Hivi watanzania Nani katuloga ? Eti na wewe ni great thinker. picha ulioleta inatukwamuaje vijana kiuchumi?
Acheni ubwege, tuna mambo mengi ya kufanya na si huu upuuzi
 
Jamaa ana ulinzi uliopitiliza. Nimeona jana wakati wa kutembelea hayo majengo ya wanavyuo
 
Angezuia na huo mkono wa raisi unaoelekea begani kwa mzee wa CUF
 
Huwezi ukaung'ang'ania mkono wa Rais usije kumdhuru. Tena nadhani walimheshimu huyo jamaa manake nijuavyo jamaa hupiga mkono wa mtu na kumuachia maumivu makali huku wanaondoka na Rais.
Tatizo hata upige kwa nguvu mkono wa jamaa kwa jinsi alivomshikiria Rais imara kuna hatari ya kumtengua mkono Rais pia au akayumba hata kuanguka..
 
fec13ce3742045872fd3221c9c22a117.jpg
c1ce3101d88790fd88d8bb25109075e0.jpg
sidhani kama uko sahihi.
Hapo jamaa hata hawaonekani nadikiri walitambua kuwa maRaisi wawili wamekutana..
 
Jamaa anaijua kaz yake vizur sana na Mh aliens hii picha yabid ampongeze mtu yeyote mda wowote anaweza kugeuka kua adui akika huyu mwana usalama ameiva.
 
Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!

Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,

Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji
Peleka ujinga wako huko! Reference yako ni kwa nchi ipi iliyoendelea?
 
Huyo jamaa hajiamini tu sioni threat kiasi hcho hadi aamue kuwatenganisha bcoz eneo huwa limeshakaguliwa kabla na watu wote ambao huwa karbu na president hufahamika, hebu chukulia anasalimiana na mzee yeyote wa kijani na njano unafikiri angefanya alivyofanya?
 
Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!

Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,

Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji
Watu wanapinga hata profession za watu!
 
Twaweza sema mengi lakini tusipate majibu, yale nimambo ya kiusalama, hatiwezi kujua mazingila yaliyo kuwepo kwa muda huo
 
Hivi watanzania Nani katuloga ? Eti na wewe ni great thinker. picha ulioleta inatukwamuaje vijana kiuchumi?
Acheni ubwege, tuna mambo mengi ya kufanya na si huu upuuzi

Kwahiyo kila thread humu inawakwamua watu kiuchumi???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom