(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?
Angalauu wewe umeongea/umeuliza swali la maana.....ngoja tusubiri majibu
 
Akanana kaile kooona..kaileeeee...kaile nikeogola...
Ha ha ha ha Raisi kapata mwenza.. Hayawi hayawi yamekuwa.. Haolewi kaolewa...mapepo yashindwe kwa jina la Yesu! Semeni ameeen

Leonard Robert

Omugole namelemeta tetet
Hivi mbwenu yabeli sendoff....??

Akanana akanana kaile konaaaaa kaileeeeeee .......
 
Last edited by a moderator:
Mbona harusi imepangwa mwezi wa ramadhani, wanapunguza gharama nini au ndio waislamu sio muhimu kwake? Halafu mie nataka kujitolea ticket waende honeymoon, visiwa vya maldives ni romantic sana.crashwise naomba mfikishe ujumbe boss wako.
 
Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?

Hapo napo ni pagumu kwangu Mkuu. Ila kila wakati Roma wanapitia sheria za kikatoliki kwa hili sijui kama wameshalipitia. Ngoja kesho tutapata details kama ni kwa Mkuu wa Wilaya au la au pia ni open space but who will officiate it? Let us wait!! Wenye mwaliko tujuzeni maana najua mko huku!! Mimi ni political and economic analyst bila chama cha siasa hivyo no ties to SSM or CDM.
 
Kwanini unazungumzia swala liloko mahakamani...?, kama Dr Slaa kamwiba mke wa mtu bado wewe atakuiba...
Hahahaha...it is a nice joke brah!! Kumbe swala lipo mahakamiani bado? mimi nilidhani tayari mahakama imeshampa go ahead ya kuendelea na mipango ya ndoa!!
 
QUOTE=Judi wa Kishua;4278200]Zee zima...yani aibu kwelikweli.[/QUOTE]
Malecela alimuoa Kilango wakiwa kwenye early 19's? Au Mandela alimwoa Glaca wakiwa wananyonya bado maziwa ya mama zao? Acha upwapwapwa wewe.
 
Angalauu wewe umeongea/umeuliza swali la maana.....ngoja tusubiri majibu

Hapo napo ni pagumu kwangu Mkuu. Ila kila wakati Roma wanapitia sheria za kikatoliki kwa hili sijui kama wameshalipitia. Ngoja kesho tutapata details kama ni kwa Mkuu wa Wilaya au la au pia ni open space but who will officiate it? Let us wait!! Wenye mwaliko tujuzeni maana najua mko huku!! Mimi ni political and economic analyst bila chama cha siasa hivyo no ties to SSM or CDM.

The Church resists allowing priests to be married. For a priest to legally get married under canon law he must be granted a special dispensation to release him from the rule of celibacy.

However the process to grant the dispensation and the actual wording of the dispensation are problematic. When applying for the dispensation a priest must put together a lot of paperwork. Part of the paperwork almost requires him to say that he never should have been ordained a priest in the first place.

The document that grants dispensation from celibacy, called a rescript, includes wording that says the priest loses rights to the clerical state, loses his office of priest, and is no longer bound by the duties of the clerical state. The priest is then allowed to marry under Church rules.

Naona hayo maelezo yanamruhusu huyo mzee kuoa kikatoliki
 
Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?

Mkuu naomba nikufafanulie!

Kwa taratibu za kanisa katoliki nikuwa ukipewa sakramenti ya upadre huruhusiwi kupewa sakramenti ya ndoa isipokuwa kwa:

1.Kujiudhuru/kuasi/kuacha kazi ya upadre tu:

2: Ikiwa itabainika kwa ushahidi maalumu kwa umeoa ama kuzaa kinyume na taratibu za Roma

Kwa mamlaka aliyonayo mkuu wa roma/papa atakuvua rasmi SAKRAMENTI hiyo ikiashiria kuwa ndio ukomo wa utumishi wako kama Pandre!

Sasa mpaka hapo ni kuwa Daktari wa kwenda shule na Rais wa Tanzania kuanzia 25/1/2016 sio padre tena! Ni raia kama mimi au wewe lakini mwenye kasma na tafakuri pana iliyojikita ktk nera ya kusi chini ya upinde wa uvuli wa masikini na mnyonge wa Tanzania hii!

Asante kwa kukufahamisha karibu kesho pilau!

Kwa sababu za kiusalama haitangazwi kuwa ni mahali gani itafungiwa NDOA hiyo, mtafanyiwa Surprise tu!
 
The Church resists allowing priests to be married. For a priest to legally get married under canon law he must be granted a special dispensation to release him from the rule of celibacy.

However the process to grant the dispensation and the actual wording of the dispensation are problematic. When applying for the dispensation a priest must put together a lot of paperwork. Part of the paperwork almost requires him to say that he never should have been ordained a priest in the first place.

The document that grants dispensation from celibacy, called a rescript, includes wording that says the priest loses rights to the clerical state, loses his office of priest, and is no longer bound by the duties of the clerical state. The priest is then allowed to marry under Church rules.

Naona hayo maelezo yanamruhusu huyo mzee kuoa kikatoliki

This is just a doctrinal issue, it is not documented in the holy book.
1 Corinthians 7:9
parallel7.gif
New International Version (©1984)
But if they cannot control themselves, they should marry, for it is better to marry than to burn with passion.New Living Translation (©2007)
But if they can't control themselves, they should go ahead and marry. It's better to marry than to burn with lust.
[SUP]21 [/SUP]Art thou called being a servant? care not for it: but if thou mayest be made free, use it rather.
[SUP]22 [/SUP]For he that is called in the Lord, being a servant, is the Lord's freeman: likewise also he that is called, being free, is Christ's servant.
[SUP]23 [/SUP]Ye are bought with a price; be not ye the servants of men.
[SUP]24 [/SUP]Brethren, let every man, wherein he is called, therein abide with God.
[SUP]25 [/SUP]Now concerning virgins I have no commandment of the Lord: yet I give my judgment, as one that hath obtained mercy of the Lord to be faithful.
[SUP]26 [/SUP]I suppose therefore that this is good for the present distress, I say, that it is good for a man so to be.
[SUP]27 [/SUP]Art thou bound unto a wife? seek not to be loosed. Art thou loosed from a wife? seek not a wife.
[SUP]28 [/SUP]But and if thou marry, thou hast not sinned; and if a virgin marry, she hath not sinned. Nevertheless such shall have trouble in the flesh: but I spare you.
 
Yericko Nyerere Does the Bible Say Divorce and Remarriage Is Moral or Immoral?

Kanisa katoliki linatoa fursa na kubariki ufungwaji wa ndoa iliyoachishwa kwakufuata taratibu zote!

Mfano: Kanisa linakubaliana kuwa ndoa ivunjike ikiwa wanandoa hawatimiziani haki zao za ndoa kama baba au mama atapata maradhi yanayomfanya apoteze uwezo wa kujamiana, kama kanisa litapata malalamiko yenye ushahidi kuwa mmoja wao anamwingilia mwenzie kinyume na maumbile, kama mmoja wa wanandoa atafariki hasa baada ya kupita miaka miwili, ama kuachwa kwa miaka kadhaa na kuthibitika kuwa mmoja wo huyo ameoa mke au ameolewa!

Matatizo ya hapo juu yanampa mamlaka kiongozi wa kiroho wa katoliki kubariki kuachana na kubariki ndoa mpya!
 
Last edited by a moderator:
Matthew 19:3-9 (cf. Mark 10:2-12; Luke 16:18)

Jesus was asked whether divorce can properly be obtained for just any reason a person might have. He answered by appealing to the original marriage law.
Jesus taught that divorce itself, in general, is contrary to God's will. God made one man for one woman, indicating He did not intend for either to marry anyone else. He said they should cleave to one another and the two become one - there is no room in God's plan for a third party. God joins the man and woman, no human has the right to break that bond.
Further, whoever divorces his wife and marries again commits adultery (unless he does it because she has been guilty of fornication), and whoever marries her who has been divorced also commits adultery. (Mk. 10 adds that this rule also applies to the woman if she divorces her husband.)
To help understand the passage, read it with your name and your spouse's name, instead of "whosoever," etc.
Matthew 19:9 - If DR w. Slaa/ A. Mahimbo has divorced Rose kamili/ Josephine except for fornication, and marries another, Dr Slaa/ A. MAhimbo commits adultery; and whoever marries Josephine/ Rose kamili (her who is divorced) commits adultery
 
Last edited by a moderator:
Kanisa katoliki linatoa fursa na kubariki ufungwaji wa ndoa iliyoachishwa kwakufuata taratibu zote!

Mfano: Kanisa linakubaliana kuwa ndoa ivunjike ikiwa wanandoa hawatimiziani haki zao za ndoa kama baba au mama atapata maradhi yanayomfanya apoteze uwezo wa kujamiana, kama kanisa litapata malalamiko yenye ushahidi kuwa mmoja wao anamwingilia mwenzie kinyume na maumbile, kama mmoja wa wanandoa atafariki hasa baada ya kupita miaka miwili, ama kuachwa kwa miaka kadhaa na kuthibitika kuwa mmoja wo huyo ameoa mke au ameolewa!

Matatizo ya hapo juu yanampa mamlaka kiongozi wa kiroho wa katoliki kubariki kuachana na kubariki ndoa mpya!
Yericko Nyerere soma post no.96
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom