Bora lakini aoe...
asiwe kama hawa wenzake
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/84649-padri-adaiwa-kumlawiti-mtoto.html
Bungeni umetambulishwa kama mtarajiwa wa Rose Rejao,umepata Kitonga kwa hiyo umario kwa kwenda mbele.
Bora lakini aoe...
asiwe kama hawa wenzake
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/84649-padri-adaiwa-kumlawiti-mtoto.html
Hii ndoa ipo kinyume na Biblia:
Matthew 19:4-6eee wewe si ndo monitress wa Mungu..una mabawa kabisa.PERFECT ANGEL!! Huna dhambi wala..
Af hiyo Mch ni Mchumba au Mchungaji,coz it doesnt suit ur 'perfect words' towards fellow human being!
Usimnyooshee kidole mwenzako,vingine vyakutizama wewe mkuu Mch!!!
Na elewa,mawazo ya Mungu si mawazo yako.
Watch out dude!
Asante Yericko Nyerere, Na hapa unasemaje?
[h=4]Romans 7:2,3[/h]A married woman is bound by law to her husband as long as he lives. This means that if she is married to another man while her first husband is alive, she is guilty of adultery. She is free to remarry without guilt only if her husband is dead
KWANI NILINI DR. KAFUNGA NDOA, uskariri Biblia. Ndoa na iheshimiwe na watu wote na atakacho kiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenganishe.
Kuna ndoa zinaitwa batili. Unazijua?
Sidhani kama Mwigulu ataweza kwenda kumshuhudia mzee mzima akipoka mke wa watu na kutelelekeza mke na watoto wake wakihangaika mitaani.Mwingulu karibu kwenye sherehe!
Angalizo njoo na mke wako!
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Mbona Malecela alimuoa Anna Kilange tena wote wakiwa wazee mbona hamkusema? Huyu Dr. naye ameamua kufunga ndoa ya kikristu na ameruhusiwa maana hakuwa amefunga ndoa nyingine kanisani. Period. Wacha wacha mseme, mtasema mchana eeeee usiku mtalala, acha acha mseme x200000000000000000000000000000. Hata mimi na umri huu kama itanibidi nioe nitaogopa!!!!?? Bora nioe kuliko kuwa na vimada ambavyo ni aibu!!! Dr. Angekuwa na kimada mngekuwa mnamwandika kila siku nyiye mazandiki ila ni mtu safi ndiyo maana anatakiwa awe Rais wa nchi hii kwa kuwa hata family expenditures zitaeleweka!!!! It is transparent afair!!!
Sasa ndugu katika Bwana ya Mushumbusi ni nani aliyepewa mamlaka ya kuitenganisha? Na kwann ilitenganishwa wakati baba aliyembinguni ndiye aliyeionganisha? Ebu tujikumbushe maandiko haya
Matthew 19:4-6
"Haven't you read," he replied, "that at the beginning the Creator 'made them male and female,'**and said, 'For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh' ?**So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate."
Mkuu @Yericko Nyerere
1. Biblia Inasema kwamba Alichokiunganisa Mungu Binadamu Hawezi Kukitenganisha (Na Kanisa Katoliki Linakubaliana kabisa na Maagizo ya Mungu).
2. Kanisa Katoliki Halivunji Ndoa Halali Bali Linaweza Kutamka kwamba Ndoa iliyofungwa Haikuwa Halali na Kwamba Haikuwahi Kufungwa ( The Marriage is Void Abi Initio)
Kuna Sababu Kadhaa kunakoweza Kuifanya "Ndoa" Iliyokwisha Fungwa Kanisani Kutokuwa Halali na Hivyo Wanandoa kuwa huru Kuoa/Kuolewa
Mfano.
1.Una Tatizo la Kusimamisha Uume na Hukuwahi kuwambia Mwenzi wako na Matokeo yake Mmetoka Kanisani Mnafika Unashindwa Kufanya Mambo. Hiyo Ndoa Haikuwahi Kufungwa ( Kumbuka Ndoa Hufungwa na Mungu ambaye Hadanganyiki).
2. Umeshawahi Kupata Maradhi (Mfano kutoa Mimba n.k) Hali iliypelekea Kutolewa Kizazi. Kama hukumwambia Mwenzi wako toka awali na yeye akaingia katika Mkataba wa Ndoa basi Ndoa hiyo HAIKUWA KUFUNGWA ( The Marriage has never existed) Na Kanisa Likigundua lintangaza kwamba ndoa hiyo ni Batili kwa Maana Mungu asiyedanganywa Haukuibariki
Katika Mazingira kama Hayo Kanisa Linaweza kutamka kwamba " Ndoa Fulani iliyofungwa tarehe fulani baina ya Mr X na Ms X ni Batili na haikuwahi Kufungwa"
The Church resists allowing priests to be married. For a priest to legally get married under canon law he must be granted a special dispensation to release him from the rule of celibacy.
However the process to grant the dispensation and the actual wording of the dispensation are problematic. When applying for the dispensation a priest must put together a lot of paperwork. Part of the paperwork almost requires him to say that he never should have been ordained a priest in the first place.
The document that grants dispensation from celibacy, called a rescript, includes wording that says the priest loses rights to the clerical state, loses his office of priest, and is no longer bound by the duties of the clerical state. The priest is then allowed to marry under Church rules.
Naona hayo maelezo yanamruhusu huyo mzee kuoa kikatoliki
Mshindwe kuoa wanawake mtaweza wanaume msije mkaolewa nyie tu.Ulitaka uolewe wewe...mbona chadema tuko wengi ambao hatujaoa njoo nikuoe au unamtaka dr Slaa tu.
Mkuu kwa maelezo hayo bado unaungana na mimi katika kuukubali ukweli kuwa Ndoa ya Daktari Slaa itakuwa HALALI bila MAWAA!
Ninavyoamini ktk mila na destuli zetu, ndoa yoyote iliyofungwa kanisani kabla haijavunjika ni dhahiri huitia ngazi nyingi ikianza kwa wazazi wa pande zote, washenga, wazee wa hekima, serikali na kanisani! Ndipo ikiwa ngazi zote hizo zitaletewa kesi hiyo zaidi ya mara tano, pendekezo huachiwa wahusika waamue na baada ya wao kuamua kuachana, kauli ya mwisho na kuu huwa ya KANISA!
Baada ya kujiridhisha kuanzia kwa wanandoa mapaka ngazi zote, jukumu la mwisho huachiwa mamlaka zilizowekwa na mungu kama SERIKALI hasa ikipokea maelezo ya kina kutoka kanisani!
Hivyo naamini TALAKA ya Mama Josephine Mshumbusi ilifuata taratibu zote mpaka kukamilika na inabaraka za kanisa!
Kwa minajiri ileile ya maapizo ya ROMA, anaruhusiwa kuolewa, na sasa ANAOLEWA rasmi!
Karibuni ubwabwa pwaaaaaaaaa First Lady huyooooooooo! Magogoni wenye wivu mezeni wembe!
Dr Dr Dr...ndio tatizo la kuabudu watu,nani kwambia kila anayepinga kuhusu Chadema na Slaa ni CCM,habari za Malecela na Ana Kilango mi za nini.
Ni aibu kwa kuwa alifunga ndoa kanisani na mke bado yu hai anaoaje tena...Msiwe Misukule ya watu na vyama mpaka kushindwa kuita kosa kosa,hicho ndicho wanachofanya CCM,vinginevyo ni yale yale tu.