Malipo watayapata tu, Meli zitazama hadi wastuke watubu hii dhambi kubwa namana hii
Shhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiittttttttt.......!!!!!!!!!!!wajinga hawataisha nimeamini....!!!!!!!!!
Malipo watayapata tu, Meli zitazama hadi wastuke watubu hii dhambi kubwa namana hii
Nipo Interested kufahamu umri wa Josephine na Slaa...mwenye umri wao anisaidie please!
Yasije yakawa ya Babu anuoa mjukuu!!!
Luka 16:18
Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Aisee, msema kweli ni mwongo tena ?!...kesho ni kesho msema kweli ni mwongo...
Luka 16:18
Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
Tutaripoti live toka kanisani kama ile ya Mtoto wa Malkia
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.Wameriadhiana mkuu? Mbona wazungu hamsemi au ile ya Mugabe na secretary wake hamsemi? Je Waigner na mkewe wana umri gani? Je Sackozy na mkewe ni umri gani? Je yule CNN pespective presenter mzee na kale kabinti mbona hakuna maneno? Maneno ni kwa Dr? Tena kwa taarifa ni bora mwanaume uoe mke unayemzidi ili akutunze ukizeeka. Mimi na wangu tunapishana kwa 12 years!!! She is my baby!!!
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Naona sherehe zimeanza kwa nderemo
kesho ni kesho msema kweli ni mwongo
najua kesho mtafurika kwa sana kanisani
Aibu sana hii,bora wafiche wasifanye hadharani...kibibi nacho kitatinga shela au...can't wait..
Aisee, msema kweli ni mwongo tena ?!
Kwanini unazungumzia swala liloko mahakamani...?, kama Dr Slaa kamwiba mke wa mtu bado wewe atakuiba...Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.
Kumbuka hapa tupo Tanzania, na nchi yetu ina tamaduni zake. Kwetu sisi kitendo anachokifanya Slaa ni cha aibu!
Yeye kama kiongozi anapotosha vijana wetu na anaonyesha mfano mbaya sana! Imagine kiongozi huyohuyo, amefukuzwa/kuacha upadri, amemtekeleza mke wake, amewatekeleza watoto wake, amemwiba mke wa mtu...what do you expect from such kind of a person?
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.