(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

zee zima...yani aibu kwelikweli.

muungwana atafurahia ndoa, ila malaya huona ndoa ni kitu kibaya, maandiko yanasema hata mbinguni malaika wanashangilia ndoa inapofanyika duniani...basi ndoa na iheshimiwe na watu wote! Umalaya wako peleka huko huko buguruni malapa!
 
Luka 16:18
Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
 
Haya wapinga kristu na wapinga uislamu semeni! Ndoa hiyooooooo rais wangu wa moyo safari kuelekea magogoni hiyooooo!
 
Kama tingatinga na kilango walienda, why not Dr?

dah kweli umenikumbusha mbali aisee hata yule tinga tinga na kilango ilikuwa hivi hivi ila kwa sababu ni chama cha upinzani watu wanasema sema ovyo utasikia vuvuzela nape atakavyosema.
 
Nilisikia Rose Kamili alipeleka pingamizi high court. je, lilitupwa pingamizi au vipi?
 
Umejilengesha kwake umemkosa umejileta JF na vipicha vya ushawishi umemkuta hamaindishi, kaa kimya basi unatuaibisha wanawake wenzio mbona unang'ang'ania hivyoo kizuka weye

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums

Mama msamehe tu huyo hajui atendalo, yeye anawakilisha alichotumwa! Nasikia wanagomea kazi ya propaganda mitandaoni kisa pesa haiwafikii huku kazi ngumu mpaka wengine wameachika kisa kushinda hapa kuppingana na ukweli!
 
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Nina shaka na upeo wako,suala la kuachana na uliyempenda mwanzo na kuoa mwingine ni la kawaida duniani pote. Nashangaa wewe unasema ni aibu. Kumbuka hili ni jukwa ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya watanzania kwa kuchangia hoja makini na siyo kutoa kashfa. Tumwombee Daktari maisha mazuri kwenye ndoa yake mapya. Rose kamili hana shida na mchakato huu,
 
Nipo Interested kufahamu umri wa Josephine na Slaa...mwenye umri wao anisaidie please!
Yasije yakawa ya Babu anuoa mjukuu!!!
 
Aibu sana hii,bora wafiche wasifanye hadharani...kibibi nacho kitatinga shela au...can't wait..

Mbona Malecela alimuoa Anna Kilange tena wote wakiwa wazee mbona hamkusema? Huyu Dr. naye ameamua kufunga ndoa ya kikristu na ameruhusiwa maana hakuwa amefunga ndoa nyingine kanisani. Period. Wacha wacha mseme, mtasema mchana eeeee usiku mtalala, acha acha mseme x200000000000000000000000000000. Hata mimi na umri huu kama itanibidi nioe nitaogopa!!!!?? Bora nioe kuliko kuwa na vimada ambavyo ni aibu!!! Dr. Angekuwa na kimada mngekuwa mnamwandika kila siku nyiye mazandiki ila ni mtu safi ndiyo maana anatakiwa awe Rais wa nchi hii kwa kuwa hata family expenditures zitaeleweka!!!! It is transparent afair!!!
 
Back
Top Bottom