TAFADHALI piga picha na wazazi wako

TAFADHALI piga picha na wazazi wako

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,457
Reaction score
28,348
Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo.

Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele. Picha ya leo ni kumbukumbu utakayobaki nayo kesho.

Na usiishie kwa wazazi fanya hivyo kwa ndugu zako wa familia (dada, kaka), watoto na mke au mume wako.

Unaweza kuziona ni little moments lakini zitakuja kuwa zenye thamani sana sooner than you expect.

Siku moja hawatakuwepo picha na video za enzi zao zitafanya memories zako ziflow kuwahusu.

Don't wait until it's too late. Capture memories now.
 
Absolutely true, usiichezee hii nafasi kama una opportunity
R.i.p prof. Y. Bwatwa nilikua karibu yake miaka mingi iliyo pita alipenda kututania kuhusu kuongea kusalimiana na wazazi Kila asubuh japo hata kwa simu.

Prof Bwatwa ndie mwalimu wake na prof ndalichako.. mzee alikua mnyoofu kama rula

Alikuwa rafiki wa prof sarungi ni mtu wa mara pale bunda kwa wassira ni mzee alie ni shepu sanaaaaaa

Pumzika kwa amani profesa.
 
R.i.p prof. Y. Bwatwa nilikua karibu yake miaka mingi iliyo pita alipenda kututania kuhusu kuongea kusalimiana na wazazi Kila asubuh japo hata kwa simu.

Prof Bwatwa ndie mwalimu wake na prof ndalichako.. mzee alikua mnyoofu kama rula

Pumzika kwa amani profesa.
Apumzike kwa amani Prof. Maisha ni mafupi sana

Akumbukwe na kuenziwa kwa mazuri aliyotuachia
 
Katika vitu ambavyo nimeshindwa ni kupiga picha zangu au na watu na nina simu yenye ubora mkubwa tu wa camera na siku niki kata kamba wadau wata hangaika sana kutafuta picha za kunipost kwamba rip.
 
Una hoja usikilizwe!
Baba aliniacha nikiwa na miaka 5,kuna picha nyingi tulipiga nae,huwa nikiziangalia na feel ule upendo WA mzee,nahisi alikuwa anatupenda Sana vile kuona picha katukumbatia,picha nyingine tunacheka nae Hadi raha Yaani!🤗🤗🤗🤗
 
Back
Top Bottom