Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Penda usipende ndoa ipo nenda kaungane na rose kamili umuoe weweI don't think if there is any holy book/scripture which talks about priests & marriage!
Penda usipende ndoa ipo nenda kaungane na rose kamili umuoe weweI don't think if there is any holy book/scripture which talks about priests & marriage!
Yericko Nyerere soma post no.96
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Hatukatai wala hatuipingi hiyo ndoa. Tunachojadili hapa ni morals behind that marriage!Penda usipende ndoa ipo nenda kaungane na rose kamili umuoe wewe
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.
Kumbuka hapa tupo Tanzania, na nchi yetu ina tamaduni zake. Kwetu sisi kitendo anachokifanya Slaa ni cha aibu!
Yeye kama kiongozi anapotosha vijana wetu na anaonyesha mfano mbaya sana! Imagine kiongozi huyohuyo, amefukuzwa/kuacha upadri, amemtekeleza mke wake, amewatekeleza watoto wake, amemwiba mke wa mtu...what do you expect from such kind of a person?
Mkuu labda nikufungue macho kuwa KANISA katoliki linasheria zake tofauti kabisa na unavyodhani kuwa biblia inavyosema!
Zingatia Roma walihuisha biblia iendane na matakwa yao!
Hayo maelezo niliyokupa ndivyo ROMA inavyotambua na kuenenda mkuu!
Zaidi ya hapo unapingana na UKWELI wa ROMA
Kuna ndoa zinaitwa batili. Unazijua?Asante Yericko Nyerere, Na hapa unasemaje?
Romans 7:2,3
A married woman is bound by law to her husband as long as he lives. This means that if she is married to another man while her first husband is alive, she is guilty of adultery. She is free to remarry without guilt only if her husband is dead
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Kwa hiyo ndo kama hii ya Slaa VS Josephine?:yawn:
Ndoa ya mzinifu na dhambi ya UZINZI bado itaendelea kumtafuna
Kuna aibu kubwa zaidi ya kuoga ukiwa uchi!???
Kanisa katoliki linatoa fursa na kubariki ufungwaji wa ndoa iliyoachishwa kwakufuata taratibu zote!
Mfano: Kanisa linakubaliana kuwa ndoa ivunjike ikiwa wanandoa hawatimiziani haki zao za ndoa kama baba au mama atapata maradhi yanayomfanya apoteze uwezo wa kujamiana, kama kanisa litapata malalamiko yenye ushahidi kuwa mmoja wao anamwingilia mwenzie kinyume na maumbile, kama mmoja wa wanandoa atafariki hasa baada ya kupita miaka miwili, ama kuachwa kwa miaka kadhaa na kuthibitika kuwa mmoja wo huyo ameoa mke au ameolewa!
Matatizo ya hapo juu yanampa mamlaka kiongozi wa kiroho wa katoliki kubariki kuachana na kubariki ndoa mpya!