(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

Naona sherehe zimeanza kwa nderemo
kesho ni kesho msema kweli ni mwongo
najua kesho mtafurika kwa sana kanisani

images

Naona mume mtarajiwa anaelekea kwenye send-off!!
 
Zee zima...yani aibu kwelikweli.

Umejilengesha kwake umemkosa umejileta JF na vipicha vya ushawishi umemkuta hamaindishi, kaa kimya basi unatuaibisha wanawake wenzio mbona unang'ang'ania hivyoo kizuka weye

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Aibu sana hii,bora wafiche wasifanye hadharani...kibibi nacho kitatinga shela au...can't wait..
 
@Kupeng'e acha umbea, beba ndizi na pilipili usisahau kijiko
 
Umejilengesha kwake umemkosa umejileta JF na vipicha vya ushawishi umemkuta hamaindishi, kaa kimya basi unatuaibisha wanawake wenzio mbona unang'ang'ania hivyoo kizuka weye

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums

mwee!mama kacharuka!!pole mwaya!achana nae huyo!wivu unamsumbua tu!
 
Back
Top Bottom