PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

shika

Senior Member
Nov 3, 2012
167
0
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee
NAOMBA KUULIZA HIVI MWAMPAMBA NA SHONZA mbona hawakuwepo Morogoro kutumbuiza?au kimetokea nini?
 

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,371
2,000
A Picture Speaks a Thousand Words...

Utakavyo penda kuilezea ndivyo hivyo lakini ukweli unabakia ni ule ule.
Kama hujaielewa hiyo Picha uliyoleta basi utakuwa ni Kilaza Nambari Moja Duniani Mpaka Akhera
 

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
3,533
2,000
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee
kuwa CCM ni lazima uwe mjinga kwanza ....sijui nini kilimtuma kiana kingia kwenyen kundi kama hli!
 

notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
Kuna mkuu mmoja anaitwa Chuki alikuwa anaeleza kwa uhakika kwamba research yake inaonyesha kwamba CHADEMA imechokwa wala watu hawana muda wa kupoteza kuwasikiliza, natamani apitie huu uzi akjiridhishe na pengine akabadili conclusion ya finding zake.

Picha inaongea zaidi ya maneno asante sana mkuu wangu Kibanga
unadanganyika na mikutano ya kipindi cha kampeni????
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,862
1,250
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee
Mkuu kwa maneno haya are you serious au unatania tu ?Maana if is true am then in a shocking state please clarify .
 

punguzo

Member
Jul 9, 2011
51
0
Hadhira hii inatuambia nini? Katika mikutano ya ccm hakuna hadhira ya kiume zaidi ya waandishi wa habari, walinzi na viongozi husika, hali kadhalika picha inaonyesha mikutano ya chadema kuna kina mama wachache , hakuna watoto na hadhira kwa kiasi Fulani ni mchanganyiko lakini imejawa kwa kiasi kikubwa na wanaume! He hili linatuambia nini?
 

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,209
1,225
Hadhira hii inatuambia nini? Katika mikutano ya ccm hakuna hadhira ya kiume zaidi ya waandishi wa habari, walinzi na viongozi husika Hali kadharika picha inaonyesha mikutano ya chadema kuna kina mama wachache , hakuna watoto na hadhira kwa kiasi Fulani ni mchanganyiko lakini imejawa kwa kiasi kikubwa na wanaume! He hili linatuambia nini?
Kwenye somo la kiswahili ulipata ngapi mkuu?
1,Mauzui--maudhui
2.kadharika-- kadhalika
 

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
0
hapo vipi?

Wana- Magwanda (CDM) noooma....nyomi ile mbaya....peeeeepoooos poweeeeeeeer! big mind...!

Hapa inaonyesha wazi magamba imebaki kama 'TOTO-PARTY'...! chekechea na primary, na yaelekea watoto wote eneo hili wameamriwa na waalimu toka mashuleni mwao waende kwenye mikutano badala ya kusoma!!....ndio maana akina 'Com on Fuc***u, na 'wenye Mbwa wezi' hawaachi kujiandaa kwenda kuwaomba ushari 'Usalama wa genge-CCM' ili wapange namna ya kuwang'oa baadhi wa wapambanaji meno na kucha, na kuwatoboa macho! pasipo kujua kuwa hili ni wimbi, halina wa kuzuia nguvu hii...akili na mioyo ya Wapambanaji inabaki imara kuliko chuma cha pua...! peeeeeeeeeepooooooos..........poweer!
 

INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,004
2,000
tutajua tuu..hiyo idadi ya watazamaji sijui waskilizaji na idadi ya kura...!!!usishangae kuona duka lako linajaa wataje wanaofanya window shopping!!??MATAZAMO
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,935
2,000
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee
Mkuu nimecheka sana. Nimekumbuka kuna Mbunge mmoja wa CCM alisimama Bungeni akiitetea TISS na kusema "Mheshimiwa supika,usalama wa Taifa wanafanya kazi yao vizuri sana ndio maana hata Rais wa China kaja hapa,hawa wapinzani wanazani kama hakuna usalama Rais kama wa China anaweza kuja? ....."
nilimwangalia yule Mbunge na kujijutia kuwa na Mbunge kama huyo ndani ya Bunge.
 

Click Hapa

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
480
225
unadanganyika na mikutano ya kipindi cha kampeni????
Umeona eeh! Inashangaza balaa yaani watu nyomi kama kipindi cha kampeni. Hata hivyo inaonyesha huijui Mwanza na kama unaijua Mza basi hujui mandhari ya VIWANJA VYA MBUGANI. Hizi picha za jana jamaa yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom