PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

Jamani ccm imekufa kifo kibaya hadi aibu.

Wakati ccm wanatukana majukwaani, chadema inatoa elimu ya uraiya kwa watanzania waliogundua uharamia wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi CCM kweli bado wana imani kuchukua nchi?Moro watu walikuja kuangalia Dimond,asingekuwepo inge kuwaje?
 
nimeangalia picha kwa makini nimeona kunabaadhi ya picha zinajirudia kila mahala na zingine za 2010 kweli siasa ni uongo.
 
Namshangaa huyu mzee wa CCM anamkodolea macho huyo anayetangaza biashara kwa kuanika ------ mbele ya wazee na watoto. Mmomonyoko wa maadili unatisha. Kinana na utu uzima wako ukaona hii ndiyo njia pekee ya kusherehesha mkutano wako??
 
Mmh! Hii nimeipenda sana Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni. Nitafutie na ile Verse katika Qur an Sura ya 100 kuhusu Dhana ya "Kusamehe ni Bora Zaidi" kuliko kisasi, ingawa kisasi kinaruhusiwa; iweke ile verse hapa Mkuu watu wajue Uislamu ni dini ya amani ukiondoa wapotoshaji. Nukuu neno kwa neno please, please ....pale panaposema kusamehe ni "bora zaidi."

For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.



hapo vipi?
DSC_4913.JPG
524755_504881402892511_904643915_n.jpg
5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg
552882_504877936226191_481702306_n.jpg
4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg
400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
1.+KINANA+AKIHUTUBIA+MAELFU+YA+WANANCHI+KATIKA+MKUTANO+WA+HADHARA+MJINI+mOROGORO.jpg
 
Kuna tofauti kubwa kati ya siasa na usanii.

Pamoja na usanii na unazi tulioufikiria wa wana-Morogoro kwa CCM, bado hawakujitokeza wengi kama tulivyokuwa tunaaminishwa hapa jukwani. Kweli kuona ni kuamini! Kumbe Picha inasema sana! Mbele mbele kwa mbele mpaka kieleweke. Saa ya Ukombozi imewadia, Mama Makinda kaa kando!
 
Wananchi wenzangu tuwe wakweli na hali halisi ya nchi. Wingi wa wanachi kwenye mikutano ni dalili tu kwamba CDM kinapendwa zaidi kwa sasa hivi. Lakini hiyo bado siyo tiketi ya kwenda Ikulu a.k.a Magogoni. Ushindi ni kwa kura tu na kura yenyewe uihakikishe kuwa imehesabiwa kihalali! CDM imejipangaje katika hili?
 
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

Hizi sera za Sisiemu hazita ifikisha Tanzania popote, kama katibu mkuu wa chama anamwaga sera za namna hii, je mwenyekiti wa chama wa mtaa ataongea utumbo gani?
 
ni nzuri sana; wadau wa siasa za bongo hapa wanaweza kulinganisha na kuona angalau mwelekeo wa siasa hizi hata kama maeneo husika hayana ufanani saana, kitu ambacho watu waweza kuleta ubishani!
 
Hapo ndipo huwa nafikia kusema "mwache Mungu aitwe Mungu". Chadema ipo kwa uweza wa Mungu na Mungu yuko juu yao! Mungu endelea kuilinda CDM na hila mbaya zote zikazofanywa kwao ziwarudie CCM. Amina.
 
Back
Top Bottom