PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

Hapo chadema haijamwita diamond plutnum kama jana dodoma walihamisha uwanja lakini watu wapi wakafuata wajenzi chadema ndio habari ya mtaani huoni hotuba ya kinana chadema ametaja mara 300 wakati ccm kaitaja mara 30 air time wamelipa wao na wanafanya promo wao.
 
Asante kwa taarifa njema namna hii kamanda.
Hakuna wasanii hakuna kusomba watu lakini chadema wamefunika.
ccm kwisha habari
 
ccm imekataliwa DUNIANI NA MBINGUNI!!
CDM NDIO MPANGO WA MUNGU!!
 
hapo vipi?
5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg

Huyu alipaswa kuwa Milembe au Rehab center. Huwezi simama katika kadamnasi na chupi nje makwapa nje!
Ana matatizo makubwa mno. Anawafundisha nini hao watoto hapo mbele?
Khaa! Ndio maana wanachora mazombi...ole wake atakayemchukua mwanangu ampeleke kwenye upuuzi kama huu!
 
magamba wananikmbsha kipindi flan jk alikuwa na mkutano mnazi mmoja, ze comedy walipo maliza show tu na wananchi wakaanza kutawanyika bila kumsikiliza mkuu alitaka kuongea nin
 
Hii inaitwa Cdm chakazachakaza nape na kaa mbali na tembo,bi kiroboto mama wa sms na uwalaza hopeless ndungai wapo chali ya mende.
 
LUMUMBA MPOOOOOOOOOOOOOOOO, NAONA LEO WANANCHUNGULIA HUU UZI KAMA GUEST.....

NA HAPO MWANZA HAKUNA CHA DIAMOND, WALA NINI, HAKUNA CHA MABASI WALA BAJAJI ZA KUSOMBA WATU, HAKUNA CHA KHANGA, WALA KOFIA, WALA KUPEWA BUKU 5. ANGALIA MOROGORO.... AIBU TUPU CCM DIAMOND ANAWAIMBIA NATAKA KULEWA. ANGALIA MAGARI HAYO YOOTE, NA HAPO MMBUNGE NI WA SISIEMU, NA ANA MABASI, ANA REDIO NA TV IMEWAHAMASISHA WATU KWELIKWELI SASA ANGALI HAYO MATOKEO YAKE YA SIKU 8, NA HAPO HATA KIBALI CHA POLISI HAWAKUWA NACHO

.CCM PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU- R.IP- SHETANI AMEWAPENDA ZAIDI

cc, taswira, wingu, ritz, rejao, faiza fox, kinana, nepi, bungeni..... leo mtakufa njaaa ya kukosa buku 7.. naona hamna hata uzi wa kuchangia.... njaaa zitawaua vijana....
 
Ulimwengu wa digitali unakuja na mambo mengi mapya...kumbe siku hizi mikutano ya kisiasa ya vyama ni sehemu ya kujionea shoo za bure za bongo fleva. Nilifikiri ni sehemu ya kwenda kusikiliza mikakati ya chama kutatua kero zetu.

alafu CDM hakukua na wasanii nini?? maana sijaona kwenye picha lakini watu wapo tu wanasikiliza.....
 
Kuna rafiki yangu alinipigia simu kuwa wamejaa watoto nikafikiri mwongo. Nimeamini CCM kwisha habari.

Huyu alipaswa kuwa Milembe au Rehab center. Huwezi simama katika kadamnasi na chupi nje makwapa nje!
Ana matatizo makubwa mno. Anawafundisha nini hao watoto hapo mbele?
Khaa! Ndio maana wanachora mazombi...ole wake atakayemchukua mwanangu ampeleke kwenye upuuzi kama huu!
 
Chadema wanakaba kama barcelona wanakaba pamoja wanalinda pamoja wanashambulia pamoja ccm mtachomoka hapa na katibu mkuu wenu wa analojia.
 
Back
Top Bottom