PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

hapo vipi?
DSC_4913.JPG
524755_504881402892511_904643915_n.jpg
5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg
552882_504877936226191_481702306_n.jpg
4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg
kama mambo yenyewe ndo kama haya na mm natangaza rasmi kuanzia leo ntakuwa nnahuzuria mikutano ya ccm kitu burudan ya bure kabisa wakati mtaani tunalipia. Naombeni Muongozo wakupata t.shirt tafadhali ntakuwa nahifadhi kwenyepochi nkitoka navulia mbali
400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
1.+KINANA+AKIHUTUBIA+MAELFU+YA+WANANCHI+KATIKA+MKUTANO+WA+HADHARA+MJINI+mOROGORO.jpg
kama mambo yenyewe ndo kama haya na mm natangaza rasmi kuanzia leo ntakuwa nnahuzuria mikutano ya ccm kitu burudan ya bure kabisa wakati mtaani tunalipia. Naombeni Muongozo wakupata t.shirt tafadhali ntakuwa nahifadhi kwenyepochi nkitoka navulia mbali
 
Chris Lukosi, Ritz, ZeMarcopolo, Stroke, Bungeni, Chilisosi, Antongwele and the like have the answers!
 
Nkekuwepo Moro ningeenda kumcheck Daimond.........ngekuwa Mwanza ngeenda kuskia mambo mazuri bila shurti ya kuskiliza
 
Kwani hii yote miwili ilikuwa mikutano ya siasa? maana naona mwingine kama ulikuwa mkutano wa siasa na lingine tamasha la wanamuziki.

Ukiangalia picha utakuta wazungumzaji wa upande mmoja wa wanaongea kitu kwa hisia na wasikilizaji wanaonyesha ni watu wazima wanaonekana kusikiriza na kushirikisha akili zao kwa yale yanayozungumzwa. wakati picha za kijani inaonekana watu watoamaada wakijaribu kuwafurahisha watoto ambao ni wahangwa watarajiwa

Wapo kwenye tamasha la disco toto la pasaka au eid..!!
ha ha ha

:laugh:
 
Kweli duniani kuna vituko, yaani wale wapambe eti haijawahi kutokea Morogoro Mweee, kumbe !!!! avumaye baharini papa kumbe wengine wapo. CCM mna vituko nyie

Akina Sumu, Sha makala mbona msichakachue na hizi picha? au mnaweza video tu?
 
Tatizo tanzania starehe tumeweka mbele kuliko maendeleo pia hatuna common stand.. Yani hawa wasani wa nchi yetu ni wajinga sana huyu diamond juzi tu alikuwa analalmika kuhusu ringtone sijiu ni eti leo anaperform palepale kama sio kukosa akili... CCM ni looser n hii ndio mwisho
 
Kwani hii yote miwili ilikuwa mikutano ya siasa? maana naona mwingine kama ulikuwa mkutano wa siasa na lingine tamasha la wanamuziki.

Ukiangalia picha utakuta wazungumzaji wa upande mmoja wa wanaongea kitu kwa hisia na wasikilizaji wanaonyesha ni watu wazima wanaonekana kusikiriza na kushirikisha akili zao kwa yale yanayozungumzwa. wakati picha za kijani inaonekana watu watoamaada wakijaribu kuwafurahisha watoto ambao ni wahangwa watarajiwa

Mkuu open_Mided, I hope hujashangazwa na kitu hapo. Siku zote CCM kazi yao ni propaganda tu kwani hawana jipya la kuongea. Walishajuwa watu ahawana mpango nao hivyo wakatumia wanamuziki ili kukusanya watu kisha waje na porojo zao za abunuwasi. Siku zote, mtu anayeishiwa na mawazo huwa anajichanganya, mfano ulio hai ni hawa inzi wa chooni (CCM). Watu tunataka sera za maendeleo, wao wanataka kutuletea masuala ya kuimba pipi yangu hii, wewe yako ile....mwaga sera nini ulikifanya toka tupate uhuru mpaka hapa tulikofikia. Oh Chadema magaidi, nyie CCM je? Mbona ni zaidi ya magaidi tena mnaiba kweupeeeeeeee bila hata huruma kwa watu mnaowahubiria. Shame on you all. I hate CCM with a passion for hawana sera zozote za kimaendeleo, wao ni porojo tu na upumbavu usio na kifani.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu
hawa CCM wana balaa kweli wanaleta kilimo kwanza halafu wanatenga 1.8% ya budget kwa ajili ya kilimo. nashangaa inawezekanaje kijana mzima unayeweza kufikiria ukaishabikia ccm. wamekusanya watu morogoro kwenda kuwaona wasanii kwa gharama kubwa sana wakati nchi hii ina matatizo kibao masikini ya mungu watu waliokuwepo pale waliishia kutoa stress kwa kusikiliza mziki na the moment wanaondoka pale matatizo yao yakabaki bila hata kujua yatatuliwa na nani.
Nchi hii kila mtu analalamika JK analamika eti kuna misikiti inamuombea afe, kinana anailalamikia CDM, sasa imefikia mahala hatujui ni nani ameshika dola ya nchi yetu.
 
Watu wengi wanaoshabikia CCM ni wakulima kwa kuwa hawana elimu wanakubali kila wanachoambiwa na Kinana pamoja na Nape. Hebu jiulize toka tupate uhuru mpaka leo hii kitu gani ambacho TANU/CCM wamekifanya hapa nchini? Eti mtu na akili zako unashabikia CCM. Najuwa wengi wanashabikia CCM kwa maslahi yao (kuingiza vitu kinyemela bila kuchajiwa) ila moyoni hawana mpango kabisa na chama. CCM inaturudisha nyuma kimaendeleo na kutunyonya.
 
Style yaDiamond kuinuliwa juu, tumeichoka jamani. Kila akifanya show lazima anyanyuliwe.

Nime-google nimekuta picha zaidi ya 40 tofautitofauti akinyanyuliwa juu.
 
Back
Top Bottom