MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Hujui kama picha ina angle mbili. jinsi unavyowaonea huruma ndivyo nao wanavyokuonea huruma.hahaha yaani wangejua MADINI yao yanaibiwa kiulaini na UMASKINI wetu unapandishwa Nawaonea Huruma kwa kutojitambua na kutofahamu behind the scene..
Match draw. huu ndiyo uzuri wa siasa.