PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

hapo vipi?
DSC_4913.JPG
524755_504881402892511_904643915_n.jpg
5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg
552882_504877936226191_481702306_n.jpg
4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg
400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
1.+KINANA+AKIHUTUBIA+MAELFU+YA+WANANCHI+KATIKA+MKUTANO+WA+HADHARA+MJINI+mOROGORO.jpg
kwanza zote ni picha,pili naona msigwa anaongea kwa uchungu sana pale anapoona tembo wanapotea wakat kinana anawashangaa watu waliopo pale wakati ukwel anaujua wa ufisad, nne namwona mwanamziki mashuhuri sana apa tz na kumpata huyo mwanamziki yakubidi uwe na zaidi ya million 10 wakat kwengine siwaon wanamziki zaidi ya pipo,tano naona kijan nying na watoto wengi wakat mwanza naona jez tofaut na hakuna watoto
 
Duh kwenye mkutano wa chadema ni kazi moja tu kuwasiliana na wananchi na wananchi wakiwa na makini , hakuna mlegeza makalio hapo eti chupi nje ndio sera za CCM hizo tangu enzi tumia John Koomba ambaye sikuhizi kawa kiwete hawezi kupanda majukwaa duh aibu
 
kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

kinana: kidumu chama cha mapinduz

wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!

wananchi:eek:yeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchi:eek:yeeeee

Mkuu umetisha!!
 
hata kwa kuwapa elfu mbili mbili na vi shirt isingeweza kuwahamasiha hao kidogo walio kuja bali wengi wao waliokuja ni wahanga wa vinga'muzi wa wamekuja kusikiliza muziki na show ikiisha nawao wanaondoka hawakai kusikiliza biashara pembe za ndovu
 
Pamoja na usanii na unazi tulioufikiria wa wana-Morogoro kwa CCM, bado hawakujitokeza wengi kama tulivyokuwa tunaaminishwa hapa jukwani. Kweli kuona ni kuamini! Kumbe Picha inasema sana! Mbele mbele kwa mbele mpaka kieleweke. Saa ya Ukombozi imewadia, Mama Makinda kaa kando!

Wanacheza makidamakida na wanafikiri watu wanaweza fanyiwa sanaa ya usanii wakaiona ni sanaa ya siasa!Wakifanyiwa yale yalowakuta wenzao Lindi sijui Mtwara wanaanza kutafuta mchawi.Watafrah bila kufurahishwa.
 
hapo vipi?
DSC_4913.JPG
5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg
4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg
1.+KINANA+AKIHUTUBIA+MAELFU+YA+WANANCHI+KATIKA+MKUTANO+WA+HADHARA+MJINI+mOROGORO.jpg
samahani kwa kuquote picha na usumbufu wake bali nilitaka kujua yafuatayo:
1. hivi kwani hapo Morogoro ilikuwa onyesho la muziki au mkutano wa siasa?
2. Upigaji wa sarakasi na 'kata-K' umo kwenye irani ya ccm?
3. hizi picha zenye watoto ni za kweli au zimetengenezwa (photoshop)?
 
tofaut nayoona ni kua wengi ktk mkutano wa mz ni raia wa kawaida na wako makin kuskiza kinachoongelewa na pia wamevutwa na si kingine bali matakwa yao ya kusikiliza kinachosemwa iwe kwa kuwaunga mkono au vinginevyo akat huo wa moro asilimia kubwa ni wanifaika na raia wachache wamevutwa na Diamond.
mtazamo wangu

Mtazamo wako ni sahihi mkuu,hao watoto hapo huwezi sema walikuwa wanafuatilia kinachoongelewa hata baadhi ya watu wazima wamekuja tu coz kulikuwa na magari ya bure.
 
Chama kinachounda serikali ambacho kimeshindwa kuwasemea hata wanafunzi waliofeli kwa kiwango cha kutisha...inatumia masaa kadhaa kushambulia CHADEMA ambayo kila siku inasikika ikizungumzia hoja za maendeleo ya watu wa nchi hii.

Kweli, when God wants to destroy u, he makes u blind. CCM ni sikio la kufa.

Ndiyo maana Wasukuma husema, kwigwa kwa mbulu, mpaka mininga mugoto, kusikia kwa kenge hadi damu sikioni.
 
nasikia walipita mashuleni kuomba walimu na wanafunzi wawepo siku hyo eti katibu mkuu wa ccm atakuwepo,kumbe ndivyo kwa kutumia uongozi wa kata.dahaa,imekula kwao.poleni chama tawala,mjirekebishe mtaeleweka kwa wananchi.....siyo vilaza kama wale wa zamani.
 
nasikia Nape aligusia 'elimu ndogo' ya Mh. Mbowe na Mh. Mnyika lakini wanasahau wakati ccm inaongozwa na Mzee Rashidi Kawawa ambaye elimu yake haikuwa kubwa ilikuwa na kiwango cha juu sana cha uwajibikaji na mwelekeo.
Masikini chama cha Mwalimu!
 
Mkuu Kibanga!

Hapa umeua kabisa mkuu. Yaani licha ya TBCCM&TBC Radio/ATV&AR na ABOOD BUS kusomba watu, na kupiga kambi siku 8 mkoani Morogoro, Wasanii, Matusi na mambo mengine, watu walio hudhuria ndio wale? Lazima MAGAMBA wakauane Lumumba mwaka huu.

2015 MAGAMBA chali. Hata wang'oe watu kucha na macho, imekula kwao.
CCM kwa kupenda "ULUSINDE" = MATUSI. Hebu ona huyo msanii suruali yake "KATA K" mbele ya watoto!! Hawa watoto wakikua na kuwa Wabunge wa CCM si nao watavaa "Kata K" bungeni??
 
Chama kinachounda serikali ambacho kimeshindwa kuwasemea hata wanafunzi waliofeli kwa kiwango cha kutisha...inatumia masaa kadhaa kushambulia CHADEMA ambayo kila siku inasikika ikizungumzia hoja za maendeleo ya watu wa nchi hii.

Kweli, when God wants to destroy u, he makes u blind. CCM ni sikio la kufa.

Ndiyo maana Wasukuma husema, kwigwa kwa mbulu, mpaka mininga mugoto, kusikia kwa kenge hadi damu sikioni.

Makene wabeja sana ngoosha.Ukunu shinyanga i-ccm dabizii-itana guma-mahame.CCM ng'wagiti gete dodolooo!!!
 
Hiyo nyomi iliyokuwepo Mwanza viwanja vya mbugani baada ya mkutano nyomi nzima ilitembea kusindikiza gari la wabunge kwa mwendo wa kilometa zaidi ya 3.
CHADEMA kweli ni chama pendwa. Ukilinganisha na mkutano wa viongozi wa kitaifa kina Kinana na Nape unaona kabisa CCM iko kwenye jeneza ikitolewa salam za mwisho tayari kwa mazishi...
 
Sasa nimeelewa kwa nini CCM wanaitukana CHADEMA kama SHETANI anavyomtukana MUNGU!..Kumbukeni Kwa CHADEMA hakuna aliyelipiwa nauli wala kupewa maji ya kunywa...Kwa CCM bila hayo na muziki wataishia kujihutubia!Tufanye utafiti huenda wakuu wa shule za msingi walipewa bakshishi kuwakusanya wanafunzi kwenda kwny mkutano waCCM...
Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeploooooooooooooooooooooooooooooooooooooos!
 
Back
Top Bottom