Picha: Ben Paul ndani ya Emirates first class to USA

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,783
Points
2,000

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,783 2,000
Huyu nae mxieew toka uolewe huko Kenya hatupumui, yan janaume zima linajishaua na pesa za wanawake, yan katika wasanii niliokua nawaona na gentleman ni Ben Paul , kumbe na yeye nae Ndo wale wale , mxieew kupenda mteremko tu , mwenzenu Diamond yuko busy kufanya Kazi nyie mko busy kudanga na wanawake, yan tunajua apo sauti huna shoga angu , unaperekeshwa tu kama punda Kisa pesa , na siku ngoja uachwe tutakavyokuchamba mbwa wewe, we Ngoja tu your days are numbered .

Ila wanazengo huyo annerlisa yuko vizur bwana , kwao wana pesa chafu, unaambiwa anamiliki mansion huko Maeneo ya runda jijini Nairobi Ana investment kama zote, huyu sio bosslady wa insta kama akina Tunda na lulu , yan inshort bibie pesa kwake c Tatizo, Tatizo tu mwanaume wa kumtumia( sex worker) , yan apo yupo na Ben Paul Coz hajapata mbadala wake kwa sasa , na vile wanaume wa Kenya hawapendag ujinga na kwanza hawapo romantic , wengi ni matapeli, so bibie kapata zoba from Tz atamtumia wee akimchoka anamuacha, hat wafunge ndoa mbinguni bibie siku yakimfika hapa anamuacha kaka yetu kweupe, wanawake wakikenya hawapendag ujinga kabisa.

Ila shoga angu Ben nae kaangukia bwana , maisha yenyewe mafupi, wacha tu ale bata, mie nae wivu tu mbwa mie , ila shoga usije kujisahau tu ukala bata ukafikir pesa za baba ako hizo, we acha ku invest kwa mtoto wako ujifanye unampenda sana annerlisa , sio mama yako yule , utalia mpaka uchanganyikiwe.

Sasa na nyie akina sheta na harmonize , kabisa mkafikiri annerlisa anaweza kuwakubalia nyie over Ben Paul ? We shetta ulivyokua mfupi kama jeneza na mimacho kama joyce wowowo mxieew, na wewe harmonize msura umekukomaa kama mawe ya mwanza kwa akili zako kabisa ulifikir utaweza mtoa benpaul kwa annerlsa? .

Benpaul handsome bwana , kakamilika kila idara, Ana mvuto, mrefu yan pale shoga angu kapata kwa kweli , na nasikia ben kafungashia balaa, shughuli yake kiboko, yan kusemezana tu ukweli , benpaul kifaa bwana , hata mimi ningekua na pesa za kuchezea ningemfuga kwan sh ngap? Maisha yenyewe mafupi

We endelea kula bata , wanazengo tunakusubir tu hapa uachike uanze kupokea kichambo
IMG_0833.JPG
IMG_0832.JPG
 

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,575
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,575 2,000
Ukikipata kitumie
Alijisemea mzee wa upako, "Ukipata nafasi hakikisha unaitumia vizuri,,,vinginevyo ukifa maskini we ni fala tu!"..."Eeh kufa maskini ni ufala tu!"

Sasa Benpol toka kwa Ebitoke mpaka level za Beyonce unafanya masihara niniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wabongo ni wivu tu!!!....Vijana wengi wanaitamani hio nafasi hasa awamu hii ya vyuma kukaza kwahio majungu yasiwe mengi wengine wamejiongeza D.M huko na mmesikia.

Hakuna raha kama kuwa na mwanamke romantic anaejiweza haswaa!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila Sie tupambane na mizinga kwanza ya tuma na ya kutolea.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
40,352
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
40,352 2,000
Alijisemea mzee wa upako, "Ukipata nafasi hakikisha unaitumia vizuri,,,vinginevyo ukifa maskini we ni fala tu!"..."Eeh kufa maskini ni ufala tu!"

Sasa Benpol toka kwa Ebitoke mpaka kwa Beyonce unafanya masihara niniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ni wivu tu!!!....Vijana wengi wanaitamani hio nafasi hasa awamu hii ya vyuma kukaza kwahio majungu yasiwe mengi wengine wamejiongeza D.M huko na mmesikia.

Hakuna raha kama kuwa na mwanamke romantic anaejiweza haswaa!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila Sie tupambane na mizinga kwanza ya tuma na ya kutolea.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,783
Points
2,000

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,783 2,000
Alijisemea mzee wa upako, "Ukipata nafasi hakikisha unaitumia vizuri,,,vinginevyo ukifa maskini we ni fala tu!"..."Eeh kufa maskini ni ufala tu!"

Sasa Benpol toka kwa Ebitoke mpaka level za Beyonce unafanya masihara nini wabongo ni wivu tu!!!....Vijana wengi wanaitamani hio nafasi hasa awamu hii ya vyuma kukaza kwahio majungu yasiwe mengi wengine wamejiongeza D.M huko na mmesikia.

Hakuna raha kama kuwa na mwanamke romantic anaejiweza haswaa! ila Sie tupambane na mizinga kwanza ya tuma na ya kutolea.
Tupambane na K-vant zetu, champagne life tuachie benpol
 

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,575
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,575 2,000
Hivi unadhani Kaka maisha ya ku push Range Rover Velar angeyafikia lini kwa mziki wetu wa kuunga unga. Media zinakutengenezea jina kubwa ila unaishia kuendesha Toyota Porte na nyumba ya kuunga unga kama sio kupanga mjiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukijitahidi ni Harrier Old model ya 1999.
Kwisha habari yako...tunasubiri story za "Tumsaidieni BenPol ameanza kubwia unga kwa stress!" warumi
 

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
3,119
Points
2,000

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
3,119 2,000
Wakenya jamani acheni tuwagonge tu jana wamenitia hasira sana kuifunga Makonda stars!
Konde boy
Sheta
Dog janja
Weusi
Na wengine wote nendeni mkachukue mademu Nairobi!
Mie nakaribia kuvuka border ya Namanga hapa yaani nimepanga kukaa Nairobi mwezi mzima nawagonga tu na mmoja ntarudi nae Bongo!
 

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,783
Points
2,000

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,783 2,000
Hivi unadhani Kaka maisha ya ku push Range Rover Velar angeyafikia lini kwa mziki wetu wa kuunga unga. Media zinakutengenezea jina kubwa ila unaishia kuendesha Toyota Porte na nyumba ya kuunga unga kama sio kupanga mjini ukijitahidi ni Harrier Old model ya 1999.

Kwisha habari yako...tunasubiri story za "Tumsaidieni BenPol ameanza kubwia unga kwa stress!" warumi
Kama kawaida yetu wapambe nuksi aka akina yuda, we are here waiting
 

Forum statistics

Threads 1,381,737
Members 526,186
Posts 33,810,583
Top