Picha: Ben Paul ndani ya Emirates first class to USA

Acheni Diamond na Kiba wabaki kua pale Juuu...hawajawahi Lelewa hawa viumbe wawili wana fight zao...sema benpol sio kwamba raia wanamuonea wivu sema anaboa kuleta mapicha picha yake hayo..angekua mtu wa hivyo kabla watu wasngeshangaa.

ila ameibuka ghafla na kuonyesha watu tabia ambazo watu hawakufikiri anazo...ndio mana nawambiaga watu Wanasema Alikiba hana show off...bwana weeeeee HAJAPATA HELA HUYO ata onyesha nini bana kama mwenzake DOMOO?\

Yani ukiwa huna hela watu wanajua kua kama malaika..umaskini mbaya jamani...Haya sasa benpol huyo hapo Pele limemkuta mkunaji...na roho zitauma sana kwakweli Ben nyoosha hawa viumbe.

ila Broooooooooooo omba usiachike
 
nimekuja gundua mwanaume mwenye pesa hataki mwanamke mwenye pesa kadhalika na kwa mwanamke...huwa sjui wanaogopa nini...

sema ben saivi anaimba kama ushahidi tu shenzi type....Broooooo ombea dua sana hiyo ndoa ukiachika usrud bongo maaana sikupatiii picha
 
Acheni Diamond na Kiba wabaki kua pale Juuu...hawajawahi Lelewa hawa viumbe wawili wana fight zao...sema benpol sio kwamba raia wanamuonea wivu sema anaboa kuleta mapicha picha yake hayo..angekua mtu wa hivyo kabla watu wasngeshangaa.

ila ameibuka ghafla na kuonyesha watu tabia ambazo watu hawakufikiri anazo...ndio mana nawambiaga watu Wanasema Alikiba hana show off...bwana weeeeee HAJAPATA HELA HUYO ata onyesha nini bana kama mwenzake DOMOO?\

Yani ukiwa huna hela watu wanajua kua kama malaika..umaskini mbaya jamani...Haya sasa benpol huyo hapo Pele limemkuta mkunaji...na roho zitauma sana kwakweli Ben nyoosha hawa viumbe.

ila Broooooooooooo omba usiachike
Pesa ikifata mkondo vizuri huwa haijifichi kiukweli😀😀😀
 
Huyu nae mxieew toka uolewe huko Kenya hatupumui, yan janaume zima linajishaua na pesa za wanawake, yan katika wasanii niliokua nawaona na gentleman ni Ben Paul , kumbe na yeye nae Ndo wale wale , mxieew kupenda mteremko tu , mwenzenu Diamond yuko busy kufanya Kazi nyie mko busy kudanga na wanawake, yan tunajua apo sauti huna shoga angu , unaperekeshwa tu kama punda Kisa pesa , na siku ngoja uachwe tutakavyokuchamba mbwa wewe, we Ngoja tu your days are numbered .

Ila wanazengo huyo annerlisa yuko vizur bwana , kwao wana pesa chafu, unaambiwa anamiliki mansion huko Maeneo ya runda jijini Nairobi Ana investment kama zote, huyu sio bosslady wa insta kama akina Tunda na lulu , yan inshort bibie pesa kwake c Tatizo, Tatizo tu mwanaume wa kumtumia( sex worker) , yan apo yupo na Ben Paul Coz hajapata mbadala wake kwa sasa , na vile wanaume wa Kenya hawapendag ujinga na kwanza hawapo romantic , wengi ni matapeli, so bibie kapata zoba from Tz atamtumia wee akimchoka anamuacha, hat wafunge ndoa mbinguni bibie siku yakimfika hapa anamuacha kaka yetu kweupe, wanawake wakikenya hawapendag ujinga kabisa.

Ila shoga angu Ben nae kaangukia bwana , maisha yenyewe mafupi, wacha tu ale bata, mie nae wivu tu mbwa mie , ila shoga usije kujisahau tu ukala bata ukafikir pesa za baba ako hizo, we acha ku invest kwa mtoto wako ujifanye unampenda sana annerlisa , sio mama yako yule , utalia mpaka uchanganyikiwe.

Sasa na nyie akina sheta na harmonize , kabisa mkafikiri annerlisa anaweza kuwakubalia nyie over Ben Paul ? We shetta ulivyokua mfupi kama jeneza na mimacho kama joyce wowowo mxieew, na wewe harmonize msura umekukomaa kama mawe ya mwanza kwa akili zako kabisa ulifikir utaweza mtoa benpaul kwa annerlsa? .

Benpaul handsome bwana , kakamilika kila idara, Ana mvuto, mrefu yan pale shoga angu kapata kwa kweli , na nasikia ben kafungashia balaa, shughuli yake kiboko, yan kusemezana tu ukweli , benpaul kifaa bwana , hata mimi ningekua na pesa za kuchezea ningemfuga kwan sh ngap? Maisha yenyewe mafupi

We endelea kula bata , wanazengo tunakusubir tu hapa uachike uanze kupokea kichamboView attachment 1140966View attachment 1140968
Unachokifanya ni kupaka rangi ukuta alafu unachafua kuwa straight...stori inatufundisha nn?
 
Bibie na wewe katafute danga lako likupetipet acha danga la watu mwenzako kadata na jang'ombe la dar wewe nani kadata na yako??
Unaambiwa mjini kucheza kwa stepu kukanyagana ndio soo .
Diamond afanye kazi ipi?? Kila mtu yupo sawa na ben paul ila kisa haitusaidii basi naangalia kwa macho.

Ahahaah ahsante shoga , sio kwa kichambo hiki , kila mtu apambane na hali yake , mji mgumu huu
 
Acheni Diamond na Kiba wabaki kua pale Juuu...hawajawahi Lelewa hawa viumbe wawili wana fight zao...sema benpol sio kwamba raia wanamuonea wivu sema anaboa kuleta mapicha picha yake hayo..angekua mtu wa hivyo kabla watu wasngeshangaa.

ila ameibuka ghafla na kuonyesha watu tabia ambazo watu hawakufikiri anazo...ndio mana nawambiaga watu Wanasema Alikiba hana show off...bwana weeeeee HAJAPATA HELA HUYO ata onyesha nini bana kama mwenzake DOMOO?\

Yani ukiwa huna hela watu wanajua kua kama malaika..umaskini mbaya jamani...Haya sasa benpol huyo hapo Pele limemkuta mkunaji...na roho zitauma sana kwakweli Ben nyoosha hawa viumbe.

ila Broooooooooooo omba usiachike

Na afunge Kwa kweli , maana hiko kichambo chake, atajutraa
 
jamaa kapendana na msichana anayemzidi pesa eti anadanga.......sasa mlitaka aache mapenzi yake kisa ataonekana anadanga????
dah ndio ni celebrity forum Ila............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom