Msiba wakujitakia hauna kilio kama wamegoma wenyewe watasaidiwaje?
Wakiamka watazuia isinyeshe?
Mda mwengine nafsi inanisuta kuilaumu serikali kwa mambo kama haya, inahusikaje?
Ni kama ajali tu hii usilete dharau...Watoto wamefariki kwa kushindwa kuvuka mito iliyofurika, wengine nyumba zimeingia maji kwa sababu ya miferej kushindwa kupitisha maji, madaraja yamevunjika nk.hapo wamejitakia vp.inawezena ww una akili ndogo sana au dharau sana lkn si vyema ukaionyesha wazi baki nayo tu moyoni ipo siku itakusaidia
watu8 sikatai yote hayo ila nikweli Tanzania pekee ndio tunaathika na mvua? Mambo mengine hayakwepeki mkuu hii mvua ni kubwa sana, siku nne non stop
tatizo sio mvua Dar ina poor infrastuctures almost jiji zma mfano kama sinza hamna mitaro ya kupitisha maji hapo lazma mvua ilete madhara watu wanajenga mabondeni unategemea nin kuna sehemu mvua inanyesha mwezi na madhara hayaonekani miundo mbinu yenyewe haina standards unategemea nin
Kamwe serikali huwa haikwepi lawama...mathalani jaribu kupita katikati ya jiji la Dar es Salaam uone namna barabara zilivyogeuka mito...
Hakuna drainage system inayofaa kama si hazikujengwa kabisa.
Zile zilizojengwa hazikusanifikiwa kukabili mvua za kiwango kikubwa kama hizi za sasa kiasi kwamba mji haupitiki kwa sisi tuendao kwa miguu...
Kuna nchi mvua zinanyesha zaidi ya hizi na bado wanatolerate kwani miundombinu imesanifiwa kukabili majanga kama haya...
Hadi sasa kwa Dar es Salaam pekee kuna madaraja kadhaa yashasombwa na maji...
Jana nilikuwa maeneo ya Chanika, kuna mahali maji yalikuwa yanapita juu ya daraja kiasi kwamba njia haionekani kabisa.
Sasa utanielewesha vipi kuwa aliyejenga hilo daraja alifanya kazi yake ipasavyo?
Maana kazi ya daraja ni kuhakikisha maji yote yanapita chini na si juu...
Well said, (watu wanajenga mabondeni) ni watu ndio tatizo, mtu kabisa na akili zake anaenda kusimamisha nyumba katikati ya njia ya maji, mvua kama hii anaigeukia serikali, tukubali tu tunajenga ovyo, angali hii picha mji wetu huu
View attachment 151027
Kama wewe ndio maji ungepita wapi hapo?
Mda mwengine nafsi inanisuta kuilaumu serikali kwa mambo kama haya, inahusikaje?
Watu wa huko sio wajasiriamali kabisa, sijaona mtu wa Dar anaongelea fursa ya ufugaji wa samaki.
Hapo ni kutupia vifaranga vya samaki then unasubiri mwezi mmoja kila dimbwi lina samaki wa kumwaga