johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,028
Maji yamejaa Jangwani na kusababisha barabara kufungwa
Tumia njia Mbadala
Njia ya Jangwani, Barabara ya Dar es Salaam - Morogoro imefugwa muda huu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam.
Wasafiri wanashauriwa kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara.
Kwa wasafiri wanaoelekea Posta kutoka Kimara, wameshauriwa kuchukua mabasi ya DART mpaka Morocco ambapo wanaweza kuchukua usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Posta, Kariakooo na sehemu nyingine za Jiji.