Well said, (watu wanajenga mabondeni) ni watu ndio tatizo, mtu kabisa na akili zake anaenda kusimamisha nyumba katikati ya njia ya maji, mvua kama hii anaigeukia serikali, tukubali tu tunajenga ovyo, angali hii picha mji wetu huu
View attachment 151027
Kama wewe ndio maji ungepita wapi hapo?
walikula mweleka na dada du wa watu akalowa chepechepe!kilichotokea baada ya hapo unakijua?
Kiongoz sio Dar nzima bali ni baadhi ya maeneo
Unajua ulichokiandika?Kuna mto unaotenganisha mitaa hapa yaani ni majanga ndg zangu wa huku hakuna kwenda huku
Mkuu uliandikia chooni nini? Unaandika kitu ambacho kinawaacha wasomaji na maswali kibao.Kuna mto unaotenganisha mitaa hapa yaani ni majanga ndg zangu wa huku hakuna kwenda huku
Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.
Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito.
![]()
![]()
Aprili 12, 2014