UkoowaMagorombe
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 191
- 45
Tuingize kipengele cha picha za mafuriko kwenye katiba mpya
Hayo ni mawazo binafsi?
Kwanza naomba kujua wewe ni muumini wa serikali ngapi??
Tuingize kipengele cha picha za mafuriko kwenye katiba mpya
mkipewa habari hivihivi mnataka picha, mkipewa picha, mnauliza kipi kifanyike, kweli ubinadamu kazi. ila ni vyema swali lako ukalielekeza kwa kitengo kinachosubiria maafa yatokee ndio kifanye kazi.