kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner
hii mbaya sana
ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani
Majanga!
Picha tumeona nini kifanyike sasa???????
Hiyo number 2 ....... Ndio maana hakuna katika site plan ya jiji Jangwani inaonesha ni makazi ya watu. Na cku zote serikali imekuwa ikiwataka watu wa mabonde yasio makazi ya watu wahame. Acha walale kwenye mapaa ya nyumba, na inyeshe tu hata kwa siku 100 mfululizo\
unapojenga nyumba na kufanya specification ya sitting room , dinning room and bedding room this is your plan kama baba mwenye nyumba
hii inapaswa kutumika kwa viongozi wetu pia (city planner)
- shule wapi
- makazi ya watu wapi(high and low density)
- industrial area wapi
- market wapi
- play grounds wapi
- kanisa wapi na misikiti wapi
yote hapo juu yanatakiwa kuwa specified by the government through their city planners, Rafiki yangu mwenye uelewa wa mashaka kama kiwanja kinauzwa na mabalozi wa nyumba kumi kwanini kusiwe na shida
Kiongoz sio Dar nzima bali ni baadhi ya maeneoPoleni wahanga Dar sio sehemu salama tena.