PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

Nasikia watu wa magomeni wameamia kwenye vile vibanda vya kupunzikia watu vinavyojengwa na strabag
 
Unakuta serikali huwa inasisitiza watu wasikae mabondeni ila hawasikii.
Dah ndo maana naichukia dar

Hata mimi naichukia dar ila ndio hivy tena tunaichukia kuhama hatuhami
 
[h=2]Saturday, April 12, 2014[/h][h=3][/h]


bongo5.jpg

MVUA.jpg




Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu

Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....

12.jpg

Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano mkubwa wa mago kuanzia jana jioni na leo.


Barabara ya kuelekea Goba....


Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.


Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...


Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.


Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....



Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....


Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....


Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.


Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati


Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....


Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...


Mwenge eneo la Nakiete......



Maji yakikatiza barabara eneo la ITV.



source; MasaiNyotambofu




 
Ndio MATATIZO ya CHAMA CHETU TAWALA... Kuajiri NDUGU; MARAFIKI na FAMILIA ndio sababu UZEMBE kama huu hautarekebishwa...

Angalau wangejaribu kulibadilisha AZIMIO LA ARUSHA kuliko kulivunja sababu no one in this GVT is ETHICAL...
 
tatizo la miundo mbinu ya ku accomodate watu 3000 inapolazimika ku accomodate watu zaidi ya milioni 4
 
Hakika hiyo sehemu serikali isipoingilia kati ipo siku yatakuwa mabaya zaidi
 
Ndiyo maana wajanja wamekimbilia mbezi juu, makongo, goba, ....
 
leo nimeogelea leo mpaka basi.... hiyo hali ya hapo siyo nzuri kabisa... TANESCO yageuka DAWASCO
 
LEo ni majanga kila kona. Nilikuwa na kikao na DC bagamoyo. Nimefika mapinga daraja ukingo umekatika. Nimerudi nipite Tamco kibaha nakuta foleni kali Kibamba, naambiwa daraja la Kabila ya Mizani Kibaha nalo limekatika.eeeeheh.hayo yote ukandarasi wa KI CCM.

Daraja la kabla la mizani kibaha halijakatika nimepita saa tatu hii ya usiku but maji yamejaa magari yanapita mojamoja ndio maana foleni mkuu ni hatari
 
kinachosikitisha makosa haya yaliyofanyika jangwani yanaendelea kufanyika mbezi, kimara na ubungo wananchi kujenga kwenye mikondo ya mito like there is no city planner

hii mbaya sana


ni madhara ya kuendelea kuweka CCM madarakani
Inanisikitisha hata suala hili nalo mnaliingiza kwenye siasa, hasa kwa kuilaumu ccm utadhani wao ndio wana leta mvua. Ni mara ngapi watu wameambiwa watoke mabondeni hawataki kusikia? Hata kama chama unacho kitaka wewe kingekuwa madarakani ndio kingeweza kuzuia mafuriko? Jaribuni kufikiri kabla ya kuanza kuilaumu serikali moja kwa moja wakati taadhari iliishatolewa, ukizingatia mamlaka za hali ya hewa ziliisha tangaza kwa kipindi hichi kutakuwa na mvua kubwa mpaka mwezi wa tano, mka wapuuzia na kudhani ni wango kama mlivyo zoea kawaida yenu mpaka muone madhara ndio muamini. Poleni nyote mliokumbwa na mafuriko,tumuombe mungu atuepushe na yote pia tukumbuke mungu yupo tumejisaha sana na ndio maana anatukumbusha kwa staili hii.
 
ata uje na greda sitoki bondeni raha sana pia bondeni karibu na mjini

Hakuna tatizo we kaa tu unadhani tutaleta boti za kuwaokoa kama mwaka jana, kwanza tunashughulikia madaraja na wengine tupo Dodoma tunatetea Muungano wa S2. Najua hatma yake tutawaokota baharini.
 
Polen wapendwa wetu waliopatwa na matatizo ya mvua

nilikuwa nasikia ya jangwani lakni nimeona live usiku huu nyumba mbili kubwa zinavyochotwa na maj


popote mlipo serikali tuwasaidie nduguzetu hawa njia ya kupita ni rahsi kuptia njia ya kwenda kanisa la victoria kabla ujafika rainbo

watu wamepona ingawa baadh ya vitu vimesombwa na maj

si serikali tu mwenye kujickia kutoa msaada aje vitu vimepangwa njian swala wanalala wap

vyoo vya kuhfadhi hajakubwa na ndogo navyo vimekwenda msada wenye vyoo vya temp
 
Ukinyoosha na hiyo njia mtakuta wahanga wamehfadhi vitu vyao njian na hapo itakuwa mwishowasafari yako mpaka wapatemsada wa kuvifadhi sehemu salama zaidi
 
Back
Top Bottom