Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
I love the pic... I love all pics with sun rays disguised or peeking.. When i look
Mara ya kwanza nilipooiona i thot .. Post card but then when i realised umepiga mwenyewe
I appreciated the picture's quality and clarity... for kupiga picha za portraiture yahitaji a
qulified eye ili iweze toka vizuri...
Usinge taja neva would have thot ni hapa kwetu... Kwa jinsi hilo jua lina peek naomba
Nijua exactly how long inachukua for the sun to go down na inakuwaje utime hivyo..
Kusema kweli sijawahi kutime inachukua muda gani now that you have mentioned nitatime, hii picha haikuwa planned kupata hii picha nilipiga picha kama tano mbili tu ndio zilitoka vizuri(kama watu wako interested naweza kushare rest of the shots) vile vile kumbuka kuwa boti lilikuwa linatembea nadhani mwisho wa siku naweza kusema it was pure luck that it came out this way.
Sunset shots nyingi zinataka patience maana unaweza kusubiria masaa mawili for perfect shot ambayo inalast few seconds.
**Tripod haikutumika ilikuwa ni handheld.
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
wapi? wengine hatuko dar mkuu
Wooosh!!!Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
Poa mkuu, hapo ni CBE na jengo ambalo halijakamilika ni umoja wa vijana ,picha hii itakua imepigwa kutoka Elia complex karibu na akibawapi? wengine hatuko dar mkuu
Source. getty images, google, i couldnt get the specific name of the photographer.
For me this pic is the most romantic ever. In the middle of a riot after Canucks lost to the Bruins, i know the dude was just trying to calm down her gf, but how did the idea of kissing her came up in that situation?
Congrats to the photographer too.
I saw this clip couner fulani... really wanted to know source..
Saddening but erotic whether you like it or not...
Mapenzi yana run dunia i guess..
It is saddening just after the incident one of them was injured,
Hopefully not bad!
I saw this clip couner fulani... really wanted to know source..
Saddening but erotic whether you like it or not...
Mapenzi yana run dunia i guess..
It is saddening just after the incident one of them was injured,
Hopefully not bad!
the gf was injured but no seriously injured n they were on the news couple days ago talking about it.