Philosophy is a disease for both theists and atheists

Philosophy is a disease for both theists and atheists

kwanini unafikiri hazina?
Kwani wapi nimesema hazina?

Nimekuuliza kwa nini unafikiri namba zina mwanzo?

Hujajibu.

Unaweza kufikiri kimantiki na kujua kwamba mtu akikuuliza swali "Kwa nini unafikiri namba zina mwanzo?" Hajakuambia namba hazina mwanzo, whethet anafikiri hivyo au hafikiri hivyo?
 
Nimekuelewa sana turudi hapa

Kwani wapi nimesema hazina?

It means umekubali zina mwanzo ,sasa nijibu logically mwanzo wake ni upi? halafu ntakujibu kwanini nafikiri namba zina mwanzo.
 
Wewe hujui kusoma kwa ufahamu.

Halafu unani troll.

Stay off my dick.
U mean ur tiny d**k , see you are such dumb person,

Yan uwaga nasikia kubwa jinga wapo today i have just witnessed one.
Pathetic atheist unae kalili philosophy na vtabu na kujiona very bright!

Dunderhead idiot.
 
Kwani wapi nimesema hazina?

Nimekuuliza kwa nini unafikiri namba zina mwanzo?

Hujajibu.

Unaweza kufikiri kimantiki na kujua kwamba mtu akikuuliza swali "Kwa nini unafikiri namba zina mwanzo?" Hajakuambia namba hazina mwanzo, whethet anafikiri hivyo au hafikiri hivyo?
If you can't even believe in existence of supernatural power (GOD),

Can you even understand the Quantum entanglement?

Can you even instill the way electron behave as wave and particle?

If you thought that you are a great thinker, let be known today you are arguing with one!
 
Kwa nini unafikiri namba zina mwanzo?
Hapo awali wakati unatafuta uthibitisho wa Mungu wa kundi la YUPO ulitoa mfano wa ugonjwa na dawa,ulijuaje kwamba mfano ule ulinganifu wake unaendana na kile ambacho hukupewa uthibitisho bado,ulitumia vigezo/kigezo gani kufananisha mfano ule na kile angali bado hakijathibitisha?ilibidi tukielewe kwanza kwa upana baada ya uthibitisho halafu ndo tuweze fanya ulinganifu.ulijuaje mfano wako una match na kile ambacho hakijathibishwa uhalisia wake bado?
 
U mean ur tiny d**k , see you are such dumb person,

Yan uwaga nasikia kubwa jinga wapo today i have just witnessed one.
Pathetic atheist unae kalili philosophy na vtabu na kujiona very bright!

Dunderhead idiot.
Straight to ignore list.

Kuanzis hapa sitaona post yako yoyote.

Sina muda na trolls.
 
If you can't even believe in existence of supernatural power (GOD),

Can you even understand the Quantum entanglement?

Can you even instill the way electron behave as wave and particle?

If you thought that you are a great thinker, let be known today you are arguing with one!
Naona umerudi na Nukes
 
Naona umerudi na Nukes
Tell me what do you know about GOD?

Mkisoma philosophy na vitabu walivoviandika wenzenu
mnajisahau kbsa mnaridhika mnajikuta atheist,

Tupo tuliokua wapweke tangu tuna 2yrs marafiki wakubwa walikua ni vitabu na hizo Philosophy

Reasoning capacity tunayokubwa ya kuelewa deep meaning of Free Will existence

Tumezisoma Physics na hesabu to the level you guys hamuwez fikia we understand how things works

Just because umesoma sana vitabu na Philosophy za watu it doesn't change the fact that the entire universe works in a mystery Way and it's only a dumb atheist can't comprehend

So because he can't comprehend he create his fantasy world and assume GOD doesn't exists so that he can make sense out of complex realities

It doesn't alter the course of Omniscient sacred GOD
 
Fikra na mawazo yangu ningali hai huchagiza kuyatambua, kuyaelewa na kuuliza mazingira yangu ningali hai.Fikra na mawazo hupata majibu sahihi au kutopata kutokana na fikra na mawazo yaliyo ndani ya uhai wangu.

Majibu ya fikra na mawazo yangu hutokana na tafiti halisi katika mazingira yangu pamoja na majumuisho ya watu ambao wamefanya tafiti halisi zinazo endana na fikra na mawazo yangu.

Fikra na mawazo yangu huenda mbali nje ya mazingira ya uhai wangu na kuuliza maswali mengi ambapo majibu yake huwa hayana hitimisho maana nje ya uhai hakuna tafiti wala mawazo ya mtu fulani ambaye amewahi leta shuhuda nje ya uhai kutokana na fumbo lililopo.
Hakuna maisha nje ya uhai. Kifo ndo mwisho wa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini utumie "yupo" na si "lipo" ama "kipo" ama "yapo" umejuaje Mungu anasifa ya YUPO na sio haya mengineyo,huyu wa YUPO uliyemleta hapa nani anaweza thibitisha zaidi yako wewe binafsi,na umesema HAYUPO kwanini isiwe HAKIPO,HAYAPO ama HALIPO unataka nani akuthibitishie na umeleta hiyo sifa mwenyewe bwana kiranga we si ndo "unamjua" kwa kuleta neno YUPO
nomaaa sanaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom