1.Unaniuliza wimbo wa taifa una rangi gani?
2.Number inaanzia ngapi?
Kwa akili yako hizi sentensi mbili zinauwiano na mfano wa kijinga kabisa uliotoa?
Wimbo na rangi ni contradiction,Number zina sequence
Unaenda mwenge kumnunulia mtoto wako wa miaka miwili viatu,muuzaji anakuuliza mwanao anavaa number ngapi?utamjibu unauliza wimbo wa taifa una rangi gani?
Atakuambia sawa atakupa number 10,unamwambia hiki kikubwa nipe number 3 ,sasa kila mtu huwa anazaliwa na kupewa number kwa mtiririko kwa kadri anavyokuwa ,hapo kuna sequence kwa kadri mtu anavyokuwa kuna number zinatangulia na kuna number zinafuata
Number inaanzia ngapi?
Kama haina mwanzo ,unajibu number hazianzi na kama hazianzi ,mtiririko umetokea wapi?