makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 2,025
- 1,539
"Mimi nimekuwa nikimdefine Mungu karibu kwenye kila post, wewe unajua kusoma?"Kwani wewe umekuwa unaenda on and on kuhusu Mungu unamaanisha nini?
Mimi nimekuwa nikimdefine Mungu karibu kwenye kila post, wewe unajua kusoma?
Au hutumii logic kusoma, unataka ku "know" ninachoandika bila kusoma?
Unakuja kuniuliza namaanisha Mungu ni nini post ya 187? Really?
Kati ya Falsafa, Mantiki ambayo ni sehemu ya Falsafa na Maneno na kujenga hoja, kipi kilianza ?Usiongelee philosophy ambayo huijui your misleading people
Naomba utumie misingi ya Falsafa na Logic utuambie au utupe ukweli kuhusu chanzo Cha Ulimwengu na utuambie kwanini tunaishi ?Huyu ni mwanafunzi wa falsafa
Ni kawaida darasa la falsafa kuwafanya wanafunzi wajinga wajidharirishe kwa wenzio na kuutafuta ukweli ndani ya illusion aliyomo.
Na mwalimu wako hasipokuja kukufundisha matumizi ya falsafa kutafuta logic,ujinga, ukweli, uongo, nature na kinachokuja au kilichojificha utakuwa hopeless man.
Nimekuwa nikiandika "Mungu mjuzi a yote, mwenye uwezo wote na upendo wote" karibu kila post ninayoandika kuhusu Mungu."Mimi nimekuwa nikimdefine Mungu karibu kwenye kila post, wewe unajua kusoma?"
Tuambie basi ulivyomdefine,tena kila post inaonekana unauelewa mzuri kuhusu Mungu
Usipanic bro naona mpaka herufi zina anza kukukimbia,umejuaje ni mjuzi wa yote,umejuaje ana uwezo wote na umejuaje anaupendo wote?halafu bwana kiranga kwanini sio mjuzi wa kote au lote?kwanini upendo usiwe kote na uwezo usiwe pote?Nimekuw nikiandika "Mungu mjuzi a yote, mwenye uwezo wote na upendo wote" karibu kila post ninayoandika kuhusu Mungu.
Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unatumia illogical pyrotechnics kusoma?
Kama hujui kusoma kw aufahamu na hutaki kutumia logic, tutawasiliana vipi hapa JF?
Akijibu ntagKati ya Falsafa, Mantiki ambayo ni sehemu ya Falsafa na Maneno na kujenga hoja, kipi kilianza ?
Naona mwenzako ameshupaza shingo kusema ya kuwa hata hizi herufi ni logic imetumika ? Sijui anafikiria kwa kutumia nini ?
Kwa mujibu wa Historia tumeona wazi ya kuwa Falsafa ni fani mpya katika fani za kielimu. Sasa vipi utuambie ya kuwa hata herufi tu zilivyo hiyo ni logic.
hapa mkuu nakuunga mkonoNaomba utumie misingi ya Falsafa na Logic utuambie au utupe ukweli kuhusu chanzo Cha Ulimwengu na utuambie kwanini tunaishi ?
Mimi niko tofauti na mtoa mada, Mimi nimefika mbali sana kuhusu Falsafa, yaani Falsafa kujifunza tu fani hii ni kosa, sababu inawafanya watu wasifikirie mambo kwa usahihi, bali inawafanya watu kuwa wajinga kama walivyo kuwa waanzilishi wao.
You don't have the intellectual wattage to make me panic, do not flatter yourself, that is just my style.Usipanic bro naona mpaka herufi zina anza kukukimbia,umejuaje ni mjuzi wa yote,umejuaje ana uwezo wote na umejuaje anaupendo wote?halafu bwana kiranga kwanini sio mjuzi wa kote au lote?kwanini upendo usiwe kote na uwezo usiwe pote?
Hayo maneno herufi ya kwanza mbona huweki mwisho unafuata huo mpangilio ulioukuta...Kati ya Falsafa, Mantiki ambayo ni sehemu ya Falsafa na Maneno na kujenga hoja, kipi kilianza ?
Naona mwenzako ameshupaza shingo kusema ya kuwa hata hizi herufi ni logic imetumika ? Sijui anafikiria kwa kutumia nini ?
Kwa mujibu wa Historia tumeona wazi ya kuwa Falsafa ni fani mpya katika fani za kielimu. Sasa vipi utuambie ya kuwa hata herufi tu zilivyo hiyo ni logic.
Kuna sehemu kwenye hii thread nimesema huyo unayemkataa wewe kuwa HAYUPO yupo?You don't have the intellectual wattage to make me panic, do not flatter yourself, that is just my style.
Mimi nakwambia Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo, unaniuliza nimejuaje Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.
Have you got shit for brains?
Nakwambia sikubali kwamba yupo, huyo ndiye Mungu anayeelezewa na watu wengi kwenye dini, Ukristo, Uislamu, Uyahudi etc.
Si mimi ninayesema yupo, kwa hiyo kama una swali la "umejuaje ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote" waulize hao wanaosema yupo.
Mimi nasema hayupo.
Kama una mwingine, muelezee uthibitishe yupo.
Hapana.Kuna sehemu kwenye hii thread nimesema huyo unayemkataa wewe kuwa HAYUPO yupo?
Mpaka uanze kunitaka nithibitishe?
Na kwanini unataka uthibitishiwe ilhali unajua hayupo?ili iweje?kama hayupo si hayupo ,kwanza ukipata huo uthibitisho ndo umeprove nini? na ili iweje?
wewe kama unajua hayupo chill,unataka uthibitishiwe kwani unaogopa?
"Kama una mwingine, muelezee uthibitishe yupo."You don't have the intellectual wattage to make me panic, do not flatter yourself, that is just my style.
Mimi nakwambia Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo, unaniuliza nimejuaje Mungu ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.
Have you got shit for brains?
Nakwambia sikubali kwamba yupo, huyo ndiye Mungu anayeelezewa na watu wengi kwenye dini, Ukristo, Uislamu, Uyahudi etc.
Si mimi ninayesema yupo, kwa hiyo kama una swali la "umejuaje ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote" waulize hao wanaosema yupo.
Mimi nasema hayupo.
Kama una mwingine, muelezee uthibitishe yupo.
Hujathibitisha Mungu yeyote au wa aina yoyote kuwapo."Kama una mwingine, muelezee uthibitishe yupo."
kwa kuwa sasa hili swali ndo linanihusu mimi ngoja twende taratibu,kwanini uniulize mimi ambaye siko katika hilo kundi la "Mungu huyu...."kuwa kama una mwingine na sio Mengine,Nyingine ama jingine na kingine kwanini nimekuambia hili "YUPO "unalitumia ,ukawarushia mpira wakristu,waislamu........nikasema sawa,umejuaje wangu naye ni "YUPO" ni si YAPO ama KIPO
Unajua hata unacho relate nacho mpaka utumie mfano huu?Hapana.
Kama kuna ugonjwa, hauna dawa, halafu kuna watu waongo, wanasema kwamba wana dawa ya ugonjwa huo, wanawapa watu matumaini ya uongo, wanawauzia hiyo dawa ya uongo, hatimaye watu wanakufa bila kupata dawa, na wanaibiwa hela.
Ikiwa hilo linatokea.
Watu wanaojua kwamba hii habari ya kuwepo kwa dawa ni utapeli tu, hiyo dawa haipo, watu wanapewa matumaini ya uongo, watu wanaibiwa tu, watu hao wanaojua hilo, wana wajibu wa kuielimisha jamii.
Kwamba huu ni uongo, hakuna hii dawa, watu kuweni waangalifu mjikinge na huu ugonjwa usio na dawa.
Mimi hapa, ni sawa na umenikuta naielimisha jamii kwamba kuna ugonjwa usio na dawa, jihadharini na watu wanaosema wana dawa ya ugonjwa huu, habari hizo ni za uongo.
Halafu, wewe unakuja kunihoji, kwa nini nashikilia sana kuonesha kwamba ugonjwa huu hauna dawa, kama dawa haipo kwa nini nishikilie sana kusema haipo, si haipo tu?
Mimi nakwambaia kuondoa ujinga kwamba dawa ipo kutasaidia watu kujikinga na uongo huu, kutaondoa habari ya watu kuwa na matumaini potofu kwamba kuna dawa itawasaidia, kutasaidia kupunguza vifo watu wakijihadhari wasipate ugonjwa badala ya kutegemea kupona baada ya kupata ugonjwa kwa dawa.
Wwewe unauza dawa ya uongo. Mimi nawaonesha watu kwamba hii dawa ni ya uongo.
Sioni anachoonyesha huyu mtuHujathibitisha Mungu yeyote au wa aina yoyote kuwapo.
Kama unabisha, thibitisha.