Philosophy is a disease for both theists and atheists

Uwepo wa Mtoto anapokuwa tumboni anatumia uhai wa mama kuishi,anapoacha tumbo la mama uhai wa mama unatoweka anakufa anapita kwenye njia kwa maumivu ambayo ni makali na anatoka nje kwenye ulimwengu mwingine na kupokea pumzi yake ya kwanza ya uhai aanze kuhesabu siku ya kwanza katika kukikaribia kifo,yale maumivu huwezi kuyakumbuka maana hukumbuki ulivyozaliwa ilikuwaje anapokufa anarudisha ile pumzi ya kwanza ambayo ndo inabadilika kuitwa ya mwisho anapitia njia ileile kurudi alipotoka,kila kitu kinajigawa mwili mavumbuni,damu baharini,umeme juani,pumzi hewani,unajua yeye anenda wapi?
Uongo mtupuuuuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishatoka kwenye logic, anything is posible.

Yani si tu "nothingness is everything" is possible.

But also.

At the same time, it is impossible.

Plus.

Everything else imaginable and unimaginable is possible and actual.

And at the same time impossible.

It's basically unmitigated chaos.

Ukishatoka kwenye logic, kila kitu unachosema, hapo hapo unajipinga.

Kwa sababu huna logic ya kukuzuia kujipinga.

Yani. Ukisema Mungu yupo, hapo hapo umesema Mungu hayupo.

Kwa kuwa huna kanuni ya logic inayokataza contradiction kwamba kusema Mungu yupo ni tofauti na kusema Mungu hayupo.

Hata kukusoma hapa sitaweza, kwa sababu kwako herufi zote zitakuwa sawa.

Hesabu hutaweza kufanya.

Kwa sababu namba zote zitakuwa sawa.

Total chaos.
Ujajibu swali
 
Uwepo wa Mtoto anapokuwa tumboni anatumia uhai wa mama kuishi,anapoacha tumbo la mama uhai wa mama unatoweka anakufa anapita kwenye njia kwa maumivu ambayo ni makali na anatoka nje kwenye ulimwengu mwingine na kupokea pumzi yake ya kwanza ya uhai aanze kuhesabu siku ya kwanza katika kukikaribia kifo,yale maumivu huwezi kuyakumbuka maana hukumbuki ulivyozaliwa ilikuwaje anapokufa anarudisha ile pumzi ya kwanza ambayo ndo inabadilika kuitwa ya mwisho anapitia njia ileile kurudi alipotoka,kila kitu kinajigawa mwili mavumbuni,damu baharini,umeme juani,pumzi hewani,unajua yeye anenda wapi?
Unaifahamu mbegu ya kiume?
Je ikiwa ndani ya kokwa za Mwanaume ni hai au sio hai?

Wakati inatoka na kuingia ukeni kwa Mwanamke kabla haijakutana na yai
Ni hai au sio hai?

Je, yenyewe inakuwa imekopa uhai toka kwa baba?

Hii stori yako umeitoa wapi?

Unafahamu maumivu anayopitia mtoto ni kwa sababu ya atmospheric pressure ya nje ni kubwa kuliko kwenye mji wa uzazi na ndio maana analia.

Halafu kulia kule Kuna msaidia kupasua mshipa wa damu unapoita juu ya ubongo.

Lakini pia inasaidia kuziba tobo kwenye moyo ili damu izunguke ikiwa full circulation.

Pia inatanua mapafu kuondoa mucus

Hizi ndio sababu za kisayansi sio anakwambia blah blah blah na mtoto anazaliwa ubongo ukiwa empty.
 
Ukitoka kwenye logic hakuna swali wala jibu.

Ukishaongelea swali na jibu unaongelea logic.

Umeingia katika falsafa.

Ambayo unaiita "disease".

Sasa na wewe ni diseased?

Unatumia falsafa yenye ugonjwa?
Mimi si atheist wala theist na kwenye mabishano yenu ambayo ni endeless hayanisaaidi.

Nijibu swali langu can everything be without nothingness?

Yes/no

sio unatumia philosophical tricks kukwepa maswali,hizo kajanja ni zako ni hazinisaidii chochote ,jibu huwezi stay quiet
 
REALITY,
Kwanza nikupongeze kwa mada nzuri na ndefu. Kwa kipindi kirefu hatujaona mada fikirishi ndefu humu JF ukiacha hadithi.

At first, sikuelewa target ya hii mada niliona umegusa vitu vingi vya philosophy of which I declare to be a slow learner and widely unknowledgeable on the subject.
Nikuja kupata uelewa zaidi katika replies. Ikabidi ni reflect mada yako na replies. Ni kama vile mada yako ililenga kukutana na maswali ya uwepo wa Mungu hivyo ukatafuta premise nyingi za wasioamini na waamini Mungu ili muweze kukamatana.

Najua uwezo, usomi, uzoefu na maarifa tumezidiana. Lakini nikupongeze kwa kwenda maili nyingi zaidi mbele hasa kwa kutumia philosophy kupigana na waamini na wasio amino uwepo wa kinachoitwa Mungu. Nafkiri ktk mada nyingi za utetevu Mungu (ingawa Mungu si lazima sana atetewe kwa njia hii) umejitahidi sana sana. Nime imagine wakati unaandaa makala hii uli imagine baadhi ya members ambao ni waelevu katika philosophy na ukajaribu kupangua hoja zao ktk mada kwa hili nakupongeza.

Kwa Imani yangu, kumwelewa au kumwamini Mungu huyu ninayemuamini hakuhitaji elimu kubwa ya philosophy au nyingine yoyote kwa sababu imeandikwa kuwa elimu yake inaweza kufichwa kwa wenye elimu na kufunuliwa kwa watoto wadogo.

Nafatilia...
Dini yenyewe ni filosofi
 
Unaifahamu mbegu ya kiume?
Je ikiwa ndani ya kokwa za Mwanaume ni hai au sio hai?

Wakati inatoka na kuingia ukeni kwa Mwanamke kabla haijakutana na yai
Ni hai au sio hai?

Je, yenyewe inakuwa imekopa uhai toka kwa baba?

Hii stori yako umeitoa wapi?

Unafahamu maumivu anayopitia mtoto ni kwa sababu ya atmospheric pressure ya nje ni kubwa kuliko kwenye mji wa uzazi na ndio maana analia.

Halafu kulia kule Kuna msaidia kupasua mshipa wa damu unapoita juu ya ubongo.

Lakini pia inasaidia kuziba tobo kwenye moyo ili damu izunguke ikiwa full circulation.

Pia inatanua mapafu kuondoa mucus

Hizi ndio sababu za kisayansi sio anakwambia blah blah blah na mtoto anazaliwa ubongo ukiwa empty.
Mbegu inakufaa inapoingia kwenye yai ikizama inaanza maisha mapya na ikiwa na UWEPO wa uumbaji.
 
Science is just discovering what is already here, herenow we know ,we dont depend on scientists we depend on nature thats our best teacher not men/women,scientists depend on nature to create the unnatural ,they take real things and create toys,mwanasayansi anakuambia mti unakuwa hivi unafanya hivi so?ata asiposema ndo jinsi ilivyo na itakavyokuwa hakibadiliki kitu
 
Science is just discovering what is already here, herenow we know ,we dont depend on scientists we depend on nature thats our best teacher not men/women,scientists depend on nature to create the unnatural ,they take real things and create toys,mwanasayansi anakuambia mti unakuwa hivi unafanya hivi so?ata asiposema ndo jinsi ilivyo a itakkavyokuwa hakibadiliki kitu
Unaifahamu mbegu ya kiume?
Je ikiwa ndani ya kokwa za Mwanaume ni hai au sio hai?

Wakati inatoka na kuingia ukeni kwa Mwanamke kabla haijakutana na yai
Ni hai au sio hai?

Je, yenyewe inakuwa imekopa uhai toka kwa baba?

Naomba unijibu haya maswali kutokana na post yako uliyosema mtoto amekopa maisha toka kwa mama
 
Unaifahamu mbegu ya kiume?
Je ikiwa ndani ya kokwa za Mwanaume ni hai au sio hai?

Wakati inatoka na kuingia ukeni kwa Mwanamke kabla haijakutana na yai
Ni hai au sio hai?

Je, yenyewe inakuwa imekopa uhai toka kwa baba?
Kwenye kokwa ni hai inapoingia kwenye yai inakufa ikizama inakuwa hai inakuwa child ikitoka inakufa inaingia duniani ,duniani inakufa inasambaritika baada ya hapo inajiunga kwa maji,jua,hewa na chakula inarudi kwenye kokwa
 
Uhai upo katika kila hatua na ni uleule lakina lazima ufe uzaliwa upya ,ni ndiyo muunganiko wa maji,chakula,nishati na hewa unapoingia kwenye mwili unakufa unaingia kwenye kokwa unakuwa mbegu unakuwa hai ni kweli mbegu inakopa uhai kwa baba upo sawa
 
Kwenye kokwa ni hai inapoingia kwenye yai inakufa ikizama inakuwa hai inakuwa child ikitoka inakufa inaingia duniani ,duniani inakufa inasambaritika baada ya hapo inajiunga kwa maji,jua,hewa na chakula inarudi kwenye kokwa
Elezea inakufaje kufaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom