Philosophy is a disease for both theists and atheists

MIND secretes philosophy, creates philosophy, lives through it. Without philosophy the MIND cannot
EXIST for even a single MOMENT. The mind HAS to be a Hindu or a Mohammedan or a Christian or
a communist. The mind cannot remain for even a single moment in existence if it is not Hindu, not
Mohammedan, not Jain, not Christian. If the mind has no philosophy to depend on, it dies out of
starvation. If there are no props to support it, if a continuous nourishment is not given to it so that it
can think more and more, the process stops. Philosophy keeps it going.
 
In other words, wven this is philosophy.

You are contradicting yourself.

1. Everything that comes from tje mind is philosophy.

2. Here is something that comes from my mind, tjerefire, necessarily from 1 above, philosophy. Philosophy is bullshit.

Is philosophy bullshit or is your statement that "philosophy is bullshit" bullshit?
 
Ikishapitia kwenye neurons tu ni systematic bila hata wewe kujua.

Au unafikiri bila kutumia neurons?
Herufi zinaishia 6735124908 hazitumiki kuhesabia silabi kama i,ii,iii .

Hapo nimetumia neurons ama sijatumia?
Nimefikiri in a systematic way au lah?
Kwa hiyo statement ni philosophy au lah?

Maana ni MIND imechakata hivyo
 
In other words, wven this is philosophy.

You are contradicting yourself.

1. Everything that comes from tje mind is philosophy.

2. Here is something that comes from my mind, tjerefire, necessarily from 1 above, philosophy. Philosophy is bullshit.

Is philosophy bullshit or is your statement that "philosophy is bullshit" bullshit?
Is the way that you think is bullshit.
 
Herufi zinaishia 6735124908 hazitumiki kuhesabia silabi kama i,ii,iii .

Hapo nimetumia neurons ama sijatumia?
Nimefikiri in a systematic way au lah?
Kwa hiyo statement ni philosophy au lah?

Maana ni MIND imechakata hivyo
Umetumia neurons na umefikiri ina systematic way kutambua kuna herufi, kuwakilisha hizo herufi ki alphabet hapa JF, ku reply kwangu. Hata kama hoja yako haina mantiki.

Umetumia philosophy ya kuandika gibberish kutaka ku probe a point kwamba hufikirii ina systematic way.

Wakati kuandika gibberish kutaka ku prove hufikirii in a systematic way ni kufikiria in a systematic way.

Wewe ni kama mtu mwenye akili timamu, unayejifanya kuwa kichaaa ili usiondolewe hospitali uende kupigana vitani, wakati kile kitendo cha kujifanya kichaa katika njama ili usiondolewe hospitali ukapigane vitani kinakuonesha una akili timamu za kiwango cha kuweza kufikia kupanga hiyo njama.

Catch-22.
 
Even that statement is philosophy.
I agree thats why we are stuck in argumentations and no conclusions because philosophy is a disease ,people go on arguing by twisting words and goldpaint them to impress their MIND and if you want to avoid such kind of disease to attain a concrete solution is to drop down this disease called philosophy
 
If philosophy is indeed a disease.

Then.

Saying "philosophy is a disease" is a disease.

Because it is also philosophy.
 
Umetumia neurons na umefikiri ina systematic way kutambua kuna herufi, kuwakilisha hizo herufi ki alphabet hapa JF, ku reply kwangu. Hata kama hoja yako haina mantiki.

Umetumia philosophy ya kuandika gibberish kutaka ku probe a point kwamba hufikirii ina systematic way.

Wakati kuandika gibberish kutaka ku prove hufikirii in a systematic way ni kufikiria in a systematic way.

Wewe ni kama mtu mwenye akili timamu, unayejifanya kuwa kichaaa ili usiondolewe hospitali uende kupigana vitani, wakati kile kitendo cha kujifanya kichaa katika njama ili usiondolewe hospitali ukapigane vitani kinakuonesha una akili timamu za jiwango cha kuweza kufikia kupanga hiyo njama.

Catch-22.
Nacho maanisha mtu akiandika nonsense kwa kufikiria kwake timamu akijua anaandika something very intelligent hiyo nayo ni systematic na philosophy?

Mfano kichaa anaongea vitu ambavyo havieleweki nikamrekodi,then nikaja hapa nikaconvert into words,je yule kichaa alikuwa systematic na alikuwa anatumia philosophy ila ilikuwa haina mantiki japo ni sytematic na philosophy?
 
Hii mada ni tamu sana, ujinga mwingi na uzandiki wa kifikra umeletwa na hizi Falsafa na Mantiki. Nakuunga mkono kwa maana hii, huu ni ugonjwa hatari sana.

Ukitaka kuwa mjinga na usiwe una fikiria mambo katika uhalisia wake soma Falsafa na Logic kama Elimu.

Nilisoma Falsafa na kadhalika nikasema Logic, sikupata humo zaidi ya kufikiri kama walivyofikiri waasisi wa fikra hizo.

Ubaya Falsafa iliingizwa mpaka kwenye dini. Kwenye Uislamu Ilmu Al Kalam (Inaingia humo Falsafa na Mantiki) zikapelekea watu kuharibu imani na kukengeuka. Waislamu walio ingiza Falsafa ujinga huu waliutoa kutoka kwa wasio kuwa Waislamu.

Ndiyo maana kwetu sisi kujifunza Falsafa ni haramu.
 
If philosophy is indeed a disease.

Then.

Saying "philosophy is a disease" is a disease.

Because it is also philosophy.
Hiyo ni according na thought yako,wanasema philosophy ni STUDY of fundamental nature of KNOWLEDGE and knowledge ni skill/information aquired by education,na hii ni set of theories of a particular philospher(who is engaged in philosophy).

Kwenye hiyo study it means bado wana seek what they still dont understand or know,wakisha satisfy MIND zao ndo inakuwa sasa theory lakini sio reality maana reality ni illogical.

Thinking ni ideas /opinions/suggestions>MENTAL IMPRESSION ,kantian thought anasema philosphy ni concept of pure reason(power of the MIND to THINK and judgements LOGICALLY

illogical inakuwa termed as lacking sense kwahiyo mtu akitalk non-sense mtu anayefikiria logically anakuwa anaona GIZA maana haweza reason kwakuwa reason ni chakula cha MIND,Na kwenye hilo GIZA tu ndo yote mnayoyatafuta na kujifurahisha kwa vi idea na vi knowledge na kukosa majibu VIMEJIFICHA HUMO period.

Na mwisho thinking can be anything of anykind but philosophy is just an idea to impress your EGO.
 
Saying philosophy is a disease is a lazy overgeneralization.

Kwa sababu kwenye philosophy kuna logic.

Logic inatumika hata katika kuandika.

Sasa kuandika ni disease?
 
Hii mada ni tamu sana, ujinga mwingi na uzandiki wa kifikra umeletwa na hizi Falsafa na Mantiki. Nakuunga mkono kwa maana hii, huu ni ugonjwa hatari sana.

Ukitaka kuwa mjinga na usiwe una fikiria mambo katika uhalisia wake soma Falsafa na Logic kama Elimu.

Nilisoma Falsafa na kadhalika nikasema Logic, sikupata humo zaidi ya kufikiri kama walivyofikiri waasisi wa fikra hizo.

Ubaya Falsafa iliingizwa mpaka kwenye dini. Kwenye Uislamu Ilmu Al Kalam (Inaingia humo Falsafa na Mantiki) zikapelekea watu kuharibu imani na kukengeuka. Waislamu walio ingiza Falsafa ujinga huu waliutoa kutoka kwa wasio kuwa Waislamu.

Ndiyo maana kwetu sisi kujifunza Falsafa ni haramu.
Mkuu bora wewe umeliona hilo philosophy ni chakula cha akili ili kujifurahisha kuwa wewe ni mjuaji kumbe ni zezeta.
 
Hata hiyo ni philosophy, na wewe pia unajifurahisha ili ujione kuwa mjuaji wakati ni zezeta?
 
Saying philosophy is a disease is a lazy overgeneralization.

Kwa sababu kwenye philosophy kuna logic.

Logic inatumika hata katika kuandika.

Sasa kuandika ni disease?
Sijapinga logic ,nimetumia logic kukuelewesha the illogical,na mada inasema logic is arguably it has no solution maana ni MIND impression ,lakini through it you can understand the illogical through logic,ndo maana hapa kwenye mada unaambia drop down the logic and the illogical will PREVAIL
 
Hata hiyo ni philosophy, na wewe pia unajifurahisha ili ujione kuwa mjuaji wakati ni zezeta?
Hata hiyo ni philosophy according to somebody alileta huu ujinga na kukaririsha watu kuwa they to pass through this systematic order ili vitu viwe reasonable according to his own thoughts and rules.am not of knowledge am not of borrowing thoughts am ordinary i think on my own bases,but to me thats not philosphy rejea juu hapo kwenye definition kuwa ni STUDY ,i aint studying bro i WRITE me HYPOTHETICALLY aint PLATO .
 
Sijapinga logic ,nimetumia logic kukuelewesha the illogical,na mada inasema logic is arguably it has no solution maana ni MIND impression ,lakini through it you can understand the illogical through logic,ndo maana hapa kwenye mada unaambia drop down the logic and the illogical will PREVAIL
Unazunguka duara la kujicontradict.

Kwa kugha nyepesi unachosema hapo Waswahili wamekifupisha katika methali ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unamsema baniani (philosophy, logic) kuwa ni mbaya, lakini hapo hapo unakubali kiatu chake dawa (bila ya philosophy na logic huwezi hata kuandika hapa JF kusema philosophy ni mbaya).

You are contradicting yourself.

Huu mtandao tu unaotumia kukashifu falsafa unatumia teknolojia iliyowekwa kwa falsafa na logic gates.

Hiyo lugha tu unayotumia kuandika inatumia falsafa na logic ya grammar, herufi, fonetiki etc.

Ukitaka kuisema falsafa na logic, toka JF, toka kwenye internet, toka kwenye lugha, toka kwenye kutumia ubongo unaotumia electrical signals, kufa kabisa, halafu wasiliana na wenzako kwa njia isiyotumia mawasiliano, kwa sababu kuwasiliana tu ni aina ya logical connection na hivyo sehemu ya falsafa.

Halafu iponde falsafa kichawi huko. Kama utaweza.

Hapa unajishaua tu kuiponda falsafa, wakati hata katika kuiponda unaitumia bado.
 
Hata hiyo ni philosophy according to somebody alileta huu ujinga na kukaririsha watu kuwa they to pass through this systematic order ili vitu viwe reasonable according to his own thoughts and rules.am not of knowledge am not of borrowing thoughts am ordinary i think on my own bases,but to me thats not philosphy rejea juu hapo kwenye definition kuwa ni STUDY ,i aint studying bro i WRITE me HYPOTHETICALLY aint PLATO .
Mimi sijaiponda falsafa, kwa hiyo kutumia falsafa si tatizo.

Wewe unayeiponda falsafa hapa JF, wakati hata kuandika hapa JF ni lazima utumie falsafa ndiye kituko.
 
Unazunguka duara la kujicontradict.

Kwa kugha nyepesi unachisema hapo Waswahiki wamekifupisha katuka nethaki ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unamsema baniani (philosophy, logic) kuwa ni mbaya, lakini hapo hapo unakubali kiatu chake dawa (bila ya philosophy na logic huwezi hata kuabduka hapa JF kusema philosophy ni mbaya).

You are cintradicting yourself.

Huu ntandao tu unaotumia kukashifu falsafa unatumua teknolojia iliyowekwa jwa falsafa na logic gates.

Hiyo lugha tu unayotumia kuandika inatumia falsafa na logic ya grammar, herufi, fonetiki etc.

Ukutaka kuisema falsafa na logic, toka JF, toka kwenye internet, toka kwenye lugha, toka kwenye kutumia ubongo unaotumia elecyrical signals, kufa kabisa, halafu wasiliana na wenzako kwa njia isiyotumia mawasiliano, kwa sababu juwasikiana tu ni aina ya logical connectiin na hivyo sehemu ya falsafa.

Halafu iponde falsafa kichawi huko. Kama utaweza.

Hapa unajishaua tu kuiponda falsafa, wakati hata katika kuiponda unaitumia bado.
Mada inaongelea jinsi LOGIC inashindwa kumwelewa MUNGU ndo maana katika mada nikasema ukitaka kumjua MUNGU kwa kutumia logic huwezi,kama huwezi huo ni ugonjwa haukusaidii kufahamu kilicho non-reasonable kwa kutumia logic maana hicho mnacho bishana kipo nje ya logic ni illogical,atheists na theists wanafanya argumentation na sio understandings,kama mtu kakupa logic kuwa if you want to experience the illogical drop the logical,we utakubali na ndo unategemea hapo?mbona simple,philosophy haiwezi leta jibu la mabishano yao unless waachane nayo kwa hiyo mada mezani ni kama UGONJWA kama hujaelewa na hapa una matatizo au your prisoned in an ego
 
Mimi sijaiponda falsafa, kwa hiyo kutumia falsafa si tatizo.

Wewe unayeiponda falsafa hapa JF, wakati hata kuandika hapa JF ni lazima utumie falsafa ndiye kituko.
Falsafa katika kumtafuta Mungu ndo kituko au mada imeandikwa kiHAUSA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom