Kama nakula,nalala,naota,naamka,napunga upepo,nalima,navuna,nauza,nasex,naexcrete,naimba,nacheza,nacheka,nalia,nafurahi,nachukia YANI NAISHI naenjoy life sina stress huko kujua nacho ongea kuna faida gani hasa na kingine am just nobody just an ordinary human i love the way i am sitaki kuwa sijui special sijui msomi sijui engineer sijui mlokole sijui mlevi and so i DONT want to be anybody or somebody hiyo pretension ya nini ,kwanza why nipretend wakati najikubali nilivyo najipenda hata kama mguu wala mkono sina why?hakuna illusion of knowledge ,knowledge is just an illusion,life is a dream,ulale uote umekuwa kipepeo na kipepeo aote amekuwa mtu nani unadhani yupo kwenye reality,awareness is the only hut i sleep into.take it easy ISHI stress zitakumaliza