Philosophy is a disease for both theists and atheists

Sina uhakika unaelewa ulichoandika,
Hata zen Buddhism ni philosophy ndio maana kun miongozo yake.
Labda Kama unaongelea branch ya logical philosophy inayo husika na rational reasoning ambayo inatumika pia na wanayasansi .
Au unaongelea philosophy za Jiddu Krishnamurti aliyeandika vitabu kama free from the known sina uhakika unaongelea nini.
Falsafa ni nini hasa ?
 
Hivi vitu Hawa watu huwa tunawaambia kila uchao. Yaani huwa hawagusi hoja ya msingi zaidi ya kuikimbia, Hawa shughuliki na uhalisia.

Yaani wanajitungia au kijiwekea "Premise" Fulani Kisha wanatumia mlinganyo na kuhitimisha.
Hawataki kutoka kwenye logic maana kitendo cha kutoka kwenye logic maana yake ni KUFA kuna mtu wa kufa hapa ,wanazunguka zunguka ukileta kifo wanaleta uhai kumbe hawajui bila kifo hakuna uhai na death ndo inayo define life na ndo balance ya nature,when death meets life ndo hutokea temple ,logic exists only because there is illogic,hawa wanabase kwenye polarity moja wanashindwa kuelewa ama sijui ni makusudi kuwa two differents polarities just being different they are from the same source ,wao wanaweka dualities kwamba joto ni joto na baridi ni baridi kumbe ni kitu hicho hicho different degrees,imagine mtu anataka amjue Mungu ,sasa sijui akimjua atafanya nini maana kutaka kumjua Mungu hiyo ni mind game yani logic, anataka amjue kwa kutumia akili ili alinganishe na kile alichohisi kinafanania ndani ya ubongo pasipokujua God is presence is whole as total,mimi sibishani nashare nachofahamu tu
 
Wewe mwenyewe kwa kutumia maandishi, lugha, herufi, sarufi, kujenga hoja, hujatoka wala hujaweza kuanza kutoka kwenye logic bado.

Unawasema wasiotaka kutoka katika logic kwa style ya "Nyani haoni kundule".

Hata huelewi kwamba unaji contradict kwa kutumia logic kuwasema wengine hawataki kutoka katika logic .

Huu ni ujinga, unafiki, vyote viwili au nini?
 
How do you know you know and that you don't think that you know while you really don't know?
Knowing comes from an unknown intelligence source,its an aura or field of awareness,you dont need to think,why think of what you know?How?
 
You are basically saying you don't know shit.

A bunch of bullshit new agey mumbo jumbo malarkey that is neither here nor there.
 
Wewe mwenyewe kwa kutumia maandishi, lugha, herufi, sarufi, kujenga hoja, hujatoka wala hujaweza kuanza kutoka kwenye logic bado.

Unawasema wasiotaka kutoka katika logic kwa style ya "Nyani haoni kundule".

Hata huelewi kwamba unaji contradict kwa kutumia logic kuwasema wengine hawataki kutoka katika logic .

Huu ni ujinga, unafiki, vyote viwili au nini?
Kiranga bana, vyote vinavyoendelea hapa ni logic maana ili uweze ku analyse na ku understand unahitaji logic maana logic its a food of Mind,logic ina work only kwenye physical world/dimension ina work kwenye one polarity of life(living) kwahiyo everything as long as we live here on earth we reason it by logic,but if you want to move to the other polarity of the same source as to balance the law of universe you have to be illogical,non reasonable,non sense and uknown na hii inawezekana tu Mind ikifa yani No more mind no more thought all that depends on living must dissapear hence everything dies,we dont feed no more to the mind,we drop everything,you remain blank,we call it the initial death because you are no longer ,you are no body,you are non-doer,you are not a knower but just knowing,you just experience,you just witness,hapo ndipo threshold ufunguka unahamia kwenye the other polarity of life ,the life of no mind,silence,nothing,just quiet,you are a seer not a doer,hence you have awaken you are one together with whole ,you have joined the cosmic mirror,you are no body,just a presence, hapo unakuwa unaishi katikati ya + and -,hot and cold,bad and good,knower and unknown,logic and illogical,na hapo una experience the presence and nothing else its just timeless,eternal,endless joy and peace ,hicho ndo kifo cha kwanza ,when it comes to final death you will see it ,you will how they are burrying your body,and when you are reborn or resurrect ,you will be a living presence and not body you will a watcher seeing different of forms changing upon without time timeless just eternal.
 
You are basically saying you don't know shit.

A bunch of bullshit new agey mumbo jumbo malarkey that is neither here nor there.
Its because you use knowledge and not intelligence to see whats happening ,be hypothetical not a borrower,its very hard for you to swallow it because it is a pollonium to your Ego,your mind has become so attached to unnatural,time,fear,agony thats why its hard,surrender you might learn something is not that you want to accept is just your Mind is strong than YOU
 
Sawa, mimi nikikwambia mimi ndiye Mungu, chanzo cha ulimwengu na vyote vilivyomo.

Utakubali au utakataa?
 
Its because you use knowledge and not intelligence to see whats happening ,be hypothetical not a borrower,its very hard for you to swallow it because it is a pollonium to your Ego,your mind has become so attached to unnatural,time,fear,agony thats why its hard,surrender you might learn something is not that you want to accept is just your Mind is strong than YOU
Unalazimisha imani yako iwe kweli wakati ni uongo wa kuungunga tu.

Ndiyo maana ukiambiwa uthibitishe hicho unachoandika ni kweli huwezi.
 
You are basically saying you don't know shit.

A bunch of bullshit new agey mumbo jumbo malarkey that is neither here nor there.
These is how philosophy works ,twisting jargons to impress your foolishness
 
Unalazimisha imani yako iwe kweli wakati ni uongo wa kuungunga tu.

Ndiyo maana ukiambiwa uthibitishe hicho unachoandika ni kweli huwezi.
Silazimishi chochote na sio imani is just how it is not less not much just it,ukweli ni illogical its only no body can know the truth not somebody,what you call it truth in a logical dimension is illusion ,truth can never be told if truth is told it becomes philosophy it becomes logic it officialy becomes a LIE via philosphers,truth is reality its illogical its unknown unless you be no body ,non-knower then you will know
 
Balderdash.
 
Haya basi kubali unyamaze Mungu wako nimekuamrisha.
Hii dunia bana,nilivyokuambia nakubali ni kuwa wewe pia ni sehemu ya uwepo wake hata ukifa everything returns to God
Mwili=dust
Damu=ocean
Chi/fire=sun
Pumzi=air
Presence=rebirth

God is Totallity is within all,is balance if i say yes and you say no they are different polarities of the same thought
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom