Bora hata wee usemee, maana watu wameshachoka kudanganywa na story za uongo ambazo hata hazipo.Sioni anachoonyesha huyu mtu
Sioni anachopinga
Sioni kitu kipya kwake alichokileta
Anaikataa falsafa ila anatumia falsafa hiyo hiyo kujipinga.
Mkuu endelea kupiga misumari
Piga nondo mpaka akili yeye ni popoma wa Intelligence
Umejuaje kifo ndo mwisho?Bora hata wee usemee, maana watu wameshachoka kudanganywa na story za uongo ambazo hata hazipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya uhai ni kifo.Umejuaje kuna nje ya uhai?
Nje ya uhai ni wapi?
Kiumbe hai chochote mwisho wake ni kifooo.Umejuaje kifo ndo mwisho?
Unajua maana ya kila kitu?
Hewa na Maji vinakufaje maana navyo vinaishi.







Shida yenu Iko hapa, kwa ujinga wenu na kuwa na fikra finyu, maswali mepesi mnashindwa kujibu.Hayo maneno herufi ya kwanza mbona huweki mwisho unafuata huo mpangilio ulioukuta...
Anyway I have no time to argue with foolish
Amekwambia nani hizi habari ?Kiumbe hai chochote mwisho wake ni kifooo.
Full stop, hakuna uongo mwingine hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwepo wa Mtoto anapokuwa tumboni anatumia uhai wa mama kuishi,anapoacha tumbo la mama uhai wa mama unatoweka anakufa anapita kwenye njia kwa maumivu ambayo ni makali na anatoka nje kwenye ulimwengu mwingine na kupokea pumzi yake ya kwanza ya uhai aanze kuhesabu siku ya kwanza katika kukikaribia kifo,yale maumivu huwezi kuyakumbuka maana hukumbuki ulivyozaliwa ilikuwaje anapokufa anarudisha ile pumzi ya kwanza ambayo ndo inabadilika kuitwa ya mwisho anapitia njia ileile kurudi alipotoka,kila kitu kinajigawa mwili mavumbuni,damu baharini,umeme juani,pumzi hewani,unajua yeye anenda wapi?
Poa.Hii yako ndio posti ya hovyo kabisa ya kufungia mwaka.
Kwanini iwe mwisho na si mwanzo ama mwendelezo,we ulijua utakuja duniani ?unajuaje kifo ndo mwisho?Kiumbe hai chochote mwisho wake ni kifooo.
Full stop, hakuna uongo mwingine hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaNaona unachanganya vitu.
Kuna intellect, memory na hiyo mind.
Hujui whats is mind and your pretending to know.
Memory ni uwezo wa kukumbuka tu.
Btn unaonekana ni newbie kwenye philosophy, Buddhism na argument.
Take time jielimishe kwanza sio unasoma stori ya swami Vivekananda unajua umemaliza.
Ila kama unalengo la kuonenakan unajua you can continue to argue.
Kiranga,Nisaidieni kumueleza, maana pengine anaona kuwa ni mimi tu ninampinga kwa sababu zangu binafsi.
Ujue anachokiandika mimi nilikisoma sana miaka ya 1995-1999. Nilisoma sana esoteric philosophies na religions, especially Budhism. Kuna Budhist monk mmoja anaitwa Pannasekara alikuwa pale Buddhist Temple and Meditation Center Dar es salaam, alikuwa rafiki yangu sana. Wale jamaa walikuwa na library ina vitabu kibao vya Buddhism.
Basi nikawa nasoma sana. Hata nilivyoondoka Dar nikirudi likizo nilikuwa nakwenda kumuona.
So haya mambo si kwamba nayasikia leo kwake, nishayasoma sana kwenye Buddhism. Hata hiyo Satori anayoisema ni aina ya falsafa ya awakening ya Japanese Buddhism.
Satori - Wikipedia
en.wikipedia.org
Sasa, anapopitia huyu, mimi nilipitia in the 1990's, tena bado kidogo tu niende kusomea kuwa Buddhist monk, ila nikaona contradictions zilizomo katika hizi falsafa, ikawa elimu tu nimepata kwamba hiki kitu kipo.
Mwenzangu ndiyo kaishia hapo.
You mean Buddhist Philosophies or Philosophy in general?Kiranga,
Nimekwoti hii post makusudi. Kama ikiwezekana utuwekee contradictions ulizokutana nazo katika usomaji wa wa philosophy na je nyingi zilitoka ktk kioengele gani? Yaani huo upingani uliibuka sana katika mada gani.
Shukrani.
Nafatilia ...
ShukraniYou mean Buddhist Philosophies or Philosophy in general?
Kwenye Buddhism na hizi esoteric philosophies/ religions kuna mambo mengi yana matatizo, mengine nimeyataja hapa.
Habari za kusema Mungu ni nothingness na hapo hapo Mungu kila kitu, that is an obvious contradiction. Nothingness is not everything and everything is not nothingness.
A lot of this is allegorical and metaphorical, not to be taken literally.Mtoa maada takes it literally.
Kuna mengi sana, na yanahitaji thread yake pekee. Lakini, kwa kuanzia, kuna hii JSTOR article imeyaandika kiuanazuoni zaidi ya mimi nitakavyoelezea.
Kwenye falsafa kiujumla, Bertrand Russell wrote a very good, very nuanced book on "The Problems of Philosophy".
Meaning, Philosophy has problems, but philosophy itself is not a problem.
I am not sure mtoa mada understands the difference.
The Problems of Philosophy | Project Gutenberg
www.gutenberg.org
KWENYE HAKUNA KITU KUNA KITU/INSIDE NOTHING THERE IS SOMETHING.You mean Buddhist Philosophies or Philosophy in general?
Kwenye Buddhism na hizi esoteric philosophies/ religions kuna mambo mengi yana matatizo, mengine nimeyataja hapa.
Habari za kusema Mungu ni nothingness na hapo hapo Mungu kila kitu, that is an obvious contradiction. Nothingness is not everything and everything is not nothingness.
A lot of this is allegorical, poetic and metaphorical, not to be taken literally.Mtoa maada takes it literally.
Kuna mengi sana, na yanahitaji thread yake pekee. Lakini, kwa kuanzia, kuna hii JSTOR article imeyaandika kiuanazuoni zaidi ya mimi nitakavyoelezea.
Kwenye falsafa kiujumla, Bertrand Russell wrote a very good, very nuanced book on "The Problems of Philosophy".
Meaning, Philosophy has problems, but philosophy itself is not a problem.
I am not sure mtoa mada understands the difference.
The Problems of Philosophy | Project Gutenberg
www.gutenberg.org
Shukrani tuzidi kueleweshana wote ni entity ya source moja ,tunatofautiana kwenye kuona rangi ijapokuwa wote tunaona rangiREALITY,
Kwanza nikupongeze kwa mada nzuri na ndefu. Kwa kipindi kirefu hatujaona mada fikirishi ndefu humu JF ukiacha hadithi.
At first, sikuelewa target ya hii mada niliona umegusa vitu vingi vya philosophy of which I declare to be a slow learner and widely unknowledgeable on the subject.
Nikuja kupata uelewa zaidi katika replies. Ikabidi ni reflect mada yako na replies. Ni kama vile mada yako ililenga kukutana na maswali ya uwepo wa Mungu hivyo ukatafuta premise nyingi za wasioamini na waamini Mungu ili muweze kukamatana.
Najua uwezo, usomi, uzoefu na maarifa tumezidiana. Lakini nikupongeze kwa kwenda maili nyingi zaidi mbele hasa kwa kutumia philosophy kupigana na waamini na wasio amino uwepo wa kinachoitwa Mungu. Nafkiri ktk mada nyingi za utetevu Mungu (ingawa Mungu si lazima sana atetewe kwa njia hii) umejitahidi sana sana. Nime imagine wakati unaandaa makala hii uli imagine baadhi ya members ambao ni waelevu katika philosophy na ukajaribu kupangua hoja zao ktk mada kwa hili nakupongeza.
Kwa Imani yangu, kumwelewa au kumwamini Mungu huyu ninayemuamini hakuhitaji elimu kubwa ya philosophy au nyingine yoyote kwa sababu imeandikwa kuwa elimu yake inaweza kufichwa kwa wenye elimu na kufunuliwa kwa watoto wadogo.
Nafatilia...
Ukishatoka kwenye logic, anything is posible.KWENYE HAKUNA KITU KUNA KITU/INSIDE NOTHING THERE IS SOMETHING.
hii statement ipo very subtle na hard to comprehend ila ngoja nitumie busara zaidi na hekima kulifungua hili fumbo ,umesema nothingness na everything zinaleta contractions maana ni two different polarities,its owkey kwa logic ipo hivyo,sasa natumia hiyo hiyo logic kukuelewesha ,ndani ya hakuna kitu kuna kitu kwasababu ili kuwa na kitu lazima kuwa na hakuna kitu,hakuna kitu ndo nafasi ya kubeba ama kuhifadhi kitu ,kitu hakiwezi kuwa ndani ya kitu,kitu kitabebwa na kitu chenzake na si vinginevyo,vyote vilivyopo vipo ndani/kwenye nafasi(space),something cant exist if there is nothing,something depends on SPACE which is carried by nothing to settle and process without space where will something be?nothingness is totallity ,if there was no nothingness where could have totallity stay,nafasi ni ndani ya utupu,na utupu unaibeba nafasi na nafasi inabeba kitu bila utupu kitu kitakaa wapi?
God is nothingness,God is Totallity God is whole.