ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 615
- 670
nasikia kenya wamepunguza kodi ya utaliiNi kama tunafukuza watalii sasa
nasikia kenya wamepunguza kodi ya utaliiNi kama tunafukuza watalii sasa
Wakuu uelewa wangu Kwa hili ni mdogo naombeni mnijuze vyanzo vipya ya mapato ndani ya tz ni vipi au ni njia gn tunaweza anzisha vyanzo vipya ili kumkomboa mtanzania Kama Mimi wa kipato cha chiniNilitegemea angeibuka Na bajeti tofauti Na tulizozizoea kwa kuja Na vyanzo vipya vya mapato lakini imekuja Na maajabu.!
Kamwe huwezi kutengeneza bajeti mbadala yenye figures bali unachoweza kufanya ni kuchambua bajeti iliyopendekezwa na serikali na kuifanyia maboresho kama yapo! Vinginevyo utakuwa unaumiza kichwa chako bure kwa kitu ambacho serikali itakitupilia mbali!!Wapinzani walipoteza nafasi ya kuleta budget mbadala.
Nina maana ya budget mbadala sio bla bla za kisiasa all the time. Ingekuwa na figures zake kabisa. Vyanzo vya mapato, vyanzo vipya, uwiano wa fedha ya matumizi ya kawaida na ile ya maendeleo. Vipaumbele vyao kama ni elimu afya nk.
What a lost opportunity!
Intension yako inajulikana tangu watu wabadili gia angani na wewe umebadili gia angani (unajaribu kuzunguka tu)
Its clear tangu JPM ameingia ikulu kila anachofanya lazima uanzishe maada kupinga,ulianza na Prof Muhongo,
Mimi nadhani tupige kimya tu. Tuachane kabisa na haya mambo ya kuikosoa serikali, hiyo kazi ya ukosoaji itafanywa viziri zaidi na akina Lizaboni na akina Faizafox kuliko tufanyavyo sisi.
Ni suala la muda tu.
Hawa jamaa ni wasomi sio wanasiasa Tanzania mtu akishakuwa na Phd their qualification entitles them to any governmental role without having necessary work experience.
Mwanasiasa anajua wananchi wanaishi vipi anapozunguka huko kwenye kuomba kura anajionea shinda zenyewe, lakini mawaziri kama akina Mpango wakisikia kuna kulipa madeni ya serikari (asilimia kubwa ya mapato wanatumia kufanya hivyo bila ya kujali huduma za jamii), wakiambiwa kukuza viwanda basi wanakuja na mawazo ya ajabu kulazimisha hayo mambo yanatokea bila ya kujali athari za jamii, wakitaka kuongeza mapato wanakamua kila kona bila kujali jinsi gani jamii inaumia; leo wanaolalamika shida ni wale wale serikari inayolenga kuwasaidia.
Kikubwa kwa watu kama bwana Mpango ni kumridhisha raisi kwa mwonekano wanalenga kufuata maagizo wakati aina ya utekelezaji wao unawaumiza wananchi kwa namna nyingine na kuwaacha worst off kuliko walivyo wakuta. Leo hii kuanzia raisi na mawaziri wote wa maendeleo; uchumi, kilimo, viwanda, utalii na uchukuzi wanategemea either direct foreign investment or other purchases/services as part of income to help their sectors. Wakati huo nchi ina sera ya kulazimisha growing businesses to sell their shares to the public, mwingine anadai atutaki watalii maskini, mwingine kodi kila sehemu. All those measures are put off to a majority of businesses and tourists in the world of competition.
Ndio unajiuliza hivi hawa jamaa wanadhani tourist destination ni Tanzania tu or nchi pekee inayohitaji FDI ni sisi tu kiasi kwamba atuhitaji kuwa na sera za ushindani kuwasaidia watanzania; kwenye vichwa vyao inaonekana kuna assumption za kwamba Tanzania is a special country so may be it will receive special treatment. Facts ni kwamba Tanzania is a special country indeed political stable, ina kila aina ya malighafi, imebarikiwa vivutio vya utalii wa nchi kavu na baharini ambavyo vingi duniani havipo, tatizo ni hawa tunaowaita Phd ni watu ovyo kweli wengi wao. As days go this guy Mpango is becoming more of a liability than an asset to the government to me he has already showcased his limited creativity in planning.
The Boss unaweza kufafanua kidogo hapo? Najua wewe ni mpinzani wa Rais Magufuli.
Wapinzani walipoteza nafasi ya kuleta budget mbadala.
Nina maana ya budget mbadala sio bla bla za kisiasa all the time. Ingekuwa na figures zake kabisa. Vyanzo vya mapato, vyanzo vipya, uwiano wa fedha ya matumizi ya kawaida na ile ya maendeleo. Vipaumbele vyao kama ni elimu afya nk.
What a lost opportunity!
Kwa idea ya 40% development hiyo ni innovation tayari. Lakini pia wamekata sana kwenye matumizi ya anasa kama ununuzi wa magari, furniture, per diems na posho. Lakini pia kwa ambition ya kuongeza trilion karibu nane kwenye bajeti ilikuwa lazima kuongeza baadhi ya kodi. Nadhani tumpe muda tuone ambitions zake kama zitafikiwa halafu ndio tumhukumu at least May mwakani. Binafsi nampongeza kwa kujaribu 40% development, zamani bajeti zilikuwa ni matumizi tu na utekelezaji unakuta maendeleo less than 10%
Creativity ni janga kwa nchi hii, watanzania wengi tunaelimu ya kukariri tu, vyeti vinangaa lakini kudeliver ni sifuri.
Labda wewe hufuatilii news
yote niliyo pigia kelele kumhusu Muhongo yamefanyiwa kazi
humuoni now hazungumzii kuhusu sekta binafsi kuiuzia umeme Tanesco?
Fuatilia news usiwe mtu wa kuunga mkono kila kitu
hawa mawaziri ni watu kama wewe..wengine ni watupu na wanabahatisha
wengine wana agenda zao.....lazima kuwa expose kwa faida ya kila mtu
Muhongo ameshakuwa neutralized hadi sasa...sera zake za kuuza generations ziko stopped
Naona unajigeuza kuwa kinyonga kila siku,Mawaziri walivyoteuliwa kila mmoja alikuwa anatangaza mikakati yake kwenye idara zote zinazowahusu mwanzo wenye idara walikuwa hawakubali now kila mtu kakubali watu wanafanya kazi unataka aongee nini while maagizo aliyotoa yanatekelezwa ?
Umemuona Majaliwa anaenda tena TPA?
Umemuona Ndalichako ameenda tena Necta ?
40 percent on development?
mkuu hivi 'development ni nini?
Labda useme 40 percent on infrastructure..
Development ni watu kwanza......
kama bajeti hai spend kwa watu huwezi sema ndo ya development...
Barabara na madaraja mazuri huku wananchi wanakufa njaa na wanafunga biashara kwa kodi kubwa
huwezi sema ndo bajeti ya kuwasaidia wananchi
wewe acha hizo, unataka kusema walioingia mikataba ovyo sio wasomi, richmond ni vilaz@, siku zote wanaoharibu uchumi ni wasomi, wanaofanya ufisadi ni wasomi, kamishna wa tra mwenye kesi ni msomi!! wasomi,wasomi ndio wenye uwezo wa hali ya juu kudanganya, hapa tutafute ukweli na uhalisia si kutetea usomi wa mtu.....Tatizo sisi WatanZania ni watalaamu kila kitu, hata kama jambo hatulifahamu na hatuna utalaamu nao kwa sababu siyo fani yetu lkn bado unataka kujifanya watalaamu na wachambuzi, jifunzeni kwa Wazungu ambao siku zote mnajaribu kuwaiga ingawaje hamuwaelewi, Mzungu kama jambo halifahamu atakwambia ,,I can not talk about/ discuss about that, because I have no idea ..." sasa wewe nina uhakika siyo Mchumi na wala abc za Uchumi achilia mbali hata jinsi Bajeti ya nchi inavyotengenezwa lkn unakuja hapa unataka kuleta uchambuzi wa Kiuchumi, kwa nini tuko hivi?
Waziri Mpango(PhD) ni mtalaamu wa uchumi, amefanya kazi mpaka IMF alikuwa mchumi wa IMF, kwa nini usimpe muda afanye anavyonuia kufanya halafu uje umuhukumu kwa matokeo ya kazi yake?
Bajeti hata haijaanza kutekelezwa lkn tayari unakuja na ukosoaji kwamba ameshindwa wkt wewe hata abc za uchumi hauna, hii ni ajabu sana, una haraka gani? Ni Waafrika tu ndiyo tuko hivi sijui ni kwa nini?
Kumbe huko ni kujitoa ufahamu? Leo ndiyo najua.Mkuu acha kujitoa ufahamu basi hata kidogo
wangejadili bunge ambalo liko edited na haliko live ungesikia?
Zitto alipojaribu kuijadili hii bajeti si uliona kilichomkumba?
sasa mbona unaongea kama haupo TZ?
Hata kama UKAWA wangeingia CCM ndio wenye maamuzi na ni wengi kwa idadi..nani anaweza kupinga amri ya RAIS kama sio kukosea nidhamu CHAMA. Hiyo bajeti ni yeti CCM inatekeleza ILANI yetu ya Hapa Kazi Tuu..Bajeti zilizopita zote zilikuwa zinaongeza kodi ya petroleum na hiyo ilikuwa inaongeza bei ya kila kitu; ni bajeti hii tu ndo kodi ya petroleum haijaongezwa, wabunge wa ukawa wameingia mtini kujadili bajeti kwa sababu waliona hawana point, zaidi ya kufanya upotoshaji Kama walivyojaribu kufanya kwenye kodi ya miamala ya simu na ATM.
Nilitegemea angeibuka Na bajeti tofauti Na tulizozizoea kwa kuja Na vyanzo vipya vya mapato lakini imekuja Na maajabu.!
Bajeti ya development inahusisha pia kujenga shule na hospitali. Kutengeneza miundombinu ya maji na umeme nk. Kwa nchi maskini kama hii ambayo zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wake hawachangii chochote bali wanatumia kidogo kinachopatikana ukisema ujiendekeze kuponya njaa utabakia kuponya njaa mwaka hadi mwaka na hautakaa ujenge standard gauge au bomba la gesi. Cha kufanya ni kama Dr Mpango alivyofanya kulazimisha kubana matumizi yasiyo na lazima hela zikajenge reli ambayo itaongeza mapato bandarini na kuongeza ajira na kuongeza ajira na idadi ya walipa kodi hadi tutakapo "break even"40 percent on development?
mkuu hivi 'development ni nini?
Labda useme 40 percent on infrastructure..
Development ni watu kwanza......
kama bajeti hai spend kwa watu huwezi sema ndo ya development...
Barabara na madaraja mazuri huku wananchi wanakufa njaa na wanafunga biashara kwa kodi kubwa
huwezi sema ndo bajeti ya kuwasaidia wananchi