The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,227
- 116,839
Kabla hajateua baraza la Mawaziri..wengine tulishauri humu Magufuli awe makini mno na waziri wa Fedha atakaemteua.
Sababu waziri wa fedha na mipango ndo tunaweza kusema anakuwa in charge kwenye uchumi
Sasa Magufuli akamteua Phillip Mpango, binafsi nilijizuia kusema chochote hadi alete bajeti yake ya kwanza tuione
Baada ya kuleta hii bajeti ambayo binafsi naiona ni bajeti ya kuongeza umasikini.
Kwa kuongeza kodi kila sehemu na kodi zingine za ajabu ...kama vile kuwakomoa watu.
Na kuinyima serikali mapato, mfano ile ya wanaotaka kuweka majina kwenye magari
Kutoka milioni 5 hadi 10 kiasi karibu kila alieweka mwanzo hataki tena...wakati wangepunguza si ajabu watu maarufu zaidi wangejitokeza na serikali kupata zaidi.
Achilia mbali ile sheria ya ajabu na aibu ya kutaka kumfunga mtu asipodai risiti.
Na mengi tu ya kushangaza...kodi ya gesi kuongezwa.Ushuru wa mbuga za wanyama kuongezwa na kadhalika.
Swali ambalo bado najiuliza ni je huyu Philip Mpango ni mtu sahihi 'ku run the economy'?
Je, ana chochote special kipya ambacho tunaweza sema atasaidia kuitoa hii nchi na kuipeleka mbali?
Hasa kwa masuala ya uchumi?
Binafsi namuona 'hamna kitu'....ubunifu hakuna.....na sitashangaa uchumi wa nchi ukiyumba zaidi kwa maamuzi yake.
Bajeti yake ni kama 'one of the worst'
hakuna 'new measures'
hakuna ubunifu mpya
hakuna mbinu za ku boost 'new economy'
Je, nyinyi mnamtazamaje huyu Philip Mpango?