Philip Mpango ana anything special?

Philip Mpango ana anything special?

I think bajeti haiandaliwi na waziri tu, yeye ni mtu wa mwisho na hata his position ni political, I would look into PS wa wizara na washauri wakuu (technical leads) wa kila kitengo hasa cha mipango na kwa kushirikiana na idara za uchumi na mipango za wizara zote kabla ya kumnyooshea vidole mpango

To me, tatizo sio Mpango, bali system nzima ya mipango, pesa na uchumi wa tanzania - shida ni uchumi, wachumi na mfumo mzima wa uchumi (macro na micro)

Yote hayo uliyoyaandika ni sawa lakini as far as the annual budget of a country is concerned the buck stops kwa waziri wa fedha; yeye ndio anatakiwa kutoa muelekeo wa mapato na matumizi na wengine wanaelekeza mipango yao kwenye priority areas alizozianisha!!! Kama huyu Mpango hakufanya hivyo he does not own the budget na alikuwa hana uhalali wa kuitetea budget hiyo bungeni!!!!
 
Thanks mkuu

salute
 
The Boss nashauri ujikite kushauri kina dada jinsi ya kuishi kwenye dunia ya mapenzi huko jukwaa la mapenzi. Hiyo ndio idara unayoijua zaidi haya mengine unalazimisha tu.
 
Magufuli akitaka economy ya nchi ikuwe kwa haraka, awaite wafanya biashara wakubwa na wadogo (wenye mafanikio) ajifungie nao Ikulu mwezi mzima na Mpango awepo kuandika notes, wakitoka hapo mpango akayafanyie kazi tu. Tutaona mabadiliko ya ukuaji uchumi wa ajabu.

Mchumi anamtegemea kuajiriwa hata siku moja hana mbinu za kuitajirisha nchi, hata iweje. Yeye sana sana atajuwa formula za hesabu na takwimu tu.

Huo ndiyo ukweli.
Hapo inabidi wabadili sheria ya budget formulation. Sheria zetu zinawapa hao wafanyabiashara kutoa maoni yao tu kwenye budget iliyokwishaandaliwa. Lakini wazo lako ni zuri.
 
Kabla hajateua baraza la mawaziri..weghine tulishauri humu Magufuli awe makini mno na waziri wa Fedha atakaemteua.

Sababu waziri wa fedha na mipango ndo tunaweza kusema anakuwa in charge kwenye uchumi

Sasa Magufuli akamteua Phillip Mpango, binafsi nilijizuia kusema chochote hadi alete bajeti yake ya kwanza tuione

Baada ya kuleta hii bajeti ambayo binafsi naiona ni bajeti ya kuongeza umasikini.

Kwa kuongeza kodi kila sehemu na kodi zingine za ajabu ...kama vile kuwakomoa watu.

Na kuinyima serikali mapato, mfano ile ya wanaotaka kuweka majina kwenye magari

Kutoka milioni 5 hadi 10 kiasi karibu kila alieweka mwanzo hataki tena...wakati wangepunguza si ajabu watu maarufu zaidi wangejitokeza na serikali kupata zaidi.

Achilia mbali ile sheria ya ajabu na aibu ya kutaka kumfunga mtu asipodai risiti.

Na mengi tu ya kushangaza...kodi ya gesi kuongezwa.Ushuru wa mbuga za wanyama kuongezwa na kadhalika.

Swali ambalo bado najiuliza ni je huyu Philip Mpango ni mtu sahihi 'ku run the economy'?

Je, ana chochote special kipya ambacho tunaweza sema atasaidia kuitoa hii nchi na kuipeleka mbali?

Hasa kwa masuala ya uchumi?

Binafsi namuona 'hamna kitu'....ubunifu hakuna.....na sitashangaa uchumi wa nchi ukiyumba zaidi kwa maamuzi yake.

Bajeti yake ni kama 'one of the worst'
hakuna 'new measures'
hakuna ubunifu mpya
hakuna mbinu za ku boost 'new economy'

Je, nyinyi mnamtazamaje huyu Philip Mpango?
yaani nakuunga mkono kwa kila ulicho kiandika huyo waziri wa fedha hajawahi tokea ha tanzania,kwenye kampeni mkuu alinadi kumsaidia masikini lkn sasa maskini anakomolewa mpaka usafiri wa chini yaani bodaboda umeongezewa kodi,sijui kama ni mshauri mzuri huyu jamaa kwa Rais au kaja kumkwamisha.
 
Ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha ongezeko la 18% kama VAT katika gharama zote za kibenki kuanzia 01.07.2016 kama ilivyoainishwa kwenye bajeti ya 2016/2017 he is very special you and me clap ya hands men
 
Nyie mpo na mawaziri wenu wa mioyo yenu. Waliweka mpira kwapani wakakimbia bunge na kuanza kujiziba makaratasi midomoni.

Hapa sasa unaleta ni upuuzi tu.
Nakuona kama mtu fulani ambae hafikirii vizuri. Mda mlikuwa nao tangi mwezi wa kwanza kupeleka mawazo yenu.

Design ya budget ilitolewa January. Mkaweka mpira kwapani. Sasa hivi kaa kimya. Uache kuropoka ropoka. Sisi hapa kazi tu. Na kama hamtaki basi serikali itatekeleza sehemu ya majimbo ya wabunge wanaotaka maendeleo.
Pyuuuuuuuu!!!
Kumbe anaekosoa serikali lazima awe mpinzani
 
Hilo swali kamuulize yeye mwenyewe Waziri Mpango, ninachojua kulingana na CV yake alifanya kazi kama mchumi IMF!

IMF kuna kazi nyingi sana, anaweza kuwa alikuwa hana cheo chochote huko.

Tunataka tuuone ubunifu wake ambao hadi sasa mimi binafsi sijauona na kama usomavyo wachangiaji wengine wengi humu, hawajaliona jipya la kusifia kutoka kwa Mpango.
 
Ivi ilishawahi kutokea jambo lolote kwenye teuzi au kupanga bajeti likawafurahisha watu wote??
 
Ivi ilishawahi kutokea jambo lolote kwenye teuzi au kupanga bajeti likawafurahisha watu wote??

Wewe hata hili la benki kuambiwa walipe VAT huku Benno Ndulu analipinga huoni kuwa ni ushahidi huyu Mpango hakuna kitu?
 
Wewe hata hili la benki kuambiwa walipe VAT huku Benno Ndulu analipinga huoni kuwa ni ushahidi huyu Mpango hakuna kitu?
Sawa ila mkuu ulipenda nani awe waziri wa fedha??
 
IMF kuna kazi nyingi sana, anaweza kuwa alikuwa hana cheo chochote huko.

Tunataka tuuone ubunifu wake ambao hadi sasa mimi binafsi sijauona na kama usomavyo wachangiaji wengine wengi humu, hawajaliona jipya la kusifia kutoka kwa Mpango.

IMG_20160702_111930.jpg
 
Sawa ila mkuu ulipenda nani awe waziri wa fedha??

Kuna thread niliweka humu nani awe waziri wa Fedha
Benno Ndulu yupo kwenye list yangu
au amuweke Prof Wangwe
 
IMF kuna kazi nyingi sana, anaweza kuwa alikuwa hana cheo chochote huko.

Tunataka tuuone ubunifu wake ambao hadi sasa mimi binafsi sijauona na kama usomavyo wachangiaji wengine wengi humu, hawajaliona jipya la kusifia kutoka kwa Mpango.

Kwa kuwa tu wewe na hao wachangiaji wengine hamjauona huo unaouita ubunifu wake haimaanishi kwamba Waziri Muhongo hana huo ubunifu, hayo ni maoni yenu kwa jinsi muonavyo ninyi hivyo msitake kulazimisha maoni yenu yawe ya wote isitoshe Waziri Muhongo alifanya kazi IMF kama mchumi lkn siyo kazi yangu kukuthibitishia hilo kama haukubali basi wacha iwe hivyo!
 
baada ya bajeti ya leo nimeona kweli huyu mtu ni bomu
 
Back
Top Bottom