Philip Mpango ana anything special?

Philip Mpango ana anything special?

Kabla hajateua baraza la mawaziri..weghine tulishauri humu Magufuli awe makini mno
na waziri wa Fedha....atakaemteua...
Sababu waziri wa fedha na mipango ndo tunaweza kusema anakuwa in charge kwenye uchumi

Sasa Magufuli akamteua Phillip Mpango......binafsi nilijizuia kusema chochote hadi alete bajeti
yake ya kwanza tuione

Baada ya kuleta hii bajeti ambayo binafsi naiona ni bajeti ya kuongeza umasikini
kwa kuongeza kodi kila sehemu na kodi zingine za ajabu ...kama vile kuwakomoa watu
na kuinyima serikali mapato....mfano ile ya wanaotaka kuweka majina kwenye magari

kutoka milioni 5 hadi 10 kiasi karibu kila alieweka mwanzo hataki tena...wakati wangepunguza
si ajabu watu maarufu zaidi wangejitokeza na serikali kupata zaidi.....

Achilia mbali ile sheria ya ajabu na aibu ya kutaka kumfunga mtu asipodai risiti......

Na mengi tu ya kushangaza...kodi ya gesi kuongezwa
ushuru wa mbuga za wanyama kuongezwa na kadhalika....


Swali ambalo bado najiuliza ni je huyu Philip Mpango ni mtu sahihi 'ku run the economy'?

Je ana chochote special kipya ambacho tunaweza sema atasaidia kuitoa hii nchi na kuipeleka mbali?
hasa kwa masuala ya uchumi?

Binafsi namuona 'hamna kitu'....ubunifu hakuna.....na sitashangaa uchumi wa nchi ukiyumba
zaidi kwa maamuzi yake......

Bajeti yake ni kama 'one of the worst'
hakuna 'new measures'
hakuna ubunifu mpya
hakuna mbinu za ku boost 'new economy'

Je nyinyi mnamtazamaje huyu Philip Mpango?
Hebu nisaidie jambo, tufanyie uchambuzi wa bajeti yake kwa kutazama vipengele mbalimbali ili utuelimishe sisi tusioelewa tuweze kuchangia humu maana umetoa hitimisho kwamba hafai na bajeti yake ni mbovu ila sijaona uchambuzi wowote wa maana. kila mtu anapaswa kuwajibika kwa maneno na vitendo vyake. kwa kuwa wewe ndio mleta mada, tunaomba uwajibike kutoa ufafanuzi/uchambuzi hapa JF. Tunasubiri
 
Ufipa waliambiwa walete bajeti mbadala, wakaishia kujiziba makaratasi mdomoni.

Hiki kiherehere cha kujadili bajeti ya JPM mmekitoa wapi??

Chadema hata bajeti ya kujenga ofisi nzuri ya chama imewashinda ,mtaweza vipi kujadili bajeti ya Dr Mpango
 
He is the one who architect the whole agenda ndio maana magu akamteua mapema kumleta mapato wakajua kawin lkn at the end VAT Zao za Bandar zikapeleka mizigo iende Beira[/QUOTE
Naomba yule mzee wa bandari arudi tra akaone yanayoendelea halafu atafakari fedha ya kutekeleza bajet ijayo ataipata wap
 
mimi nadhani badala ya kumdiscuss mhe.mpango ni bora kama tungekuwa tunakosoa nakutoa solution.mf.mtoa mada anasema hajaprovide vyanzo vipya vya mapato,kwanini mtoa mada usiainishe vyanzo unavyovyiona vingine vya mapato kuliko wote kukaa kulalamika tena kumlalamikia mtu mmoja na wengine kwenda mbali zaidi kumdiscuss hata maisha yake ambayo hawayahusu.............
 
teh teh teh

Narudia tena.

Dogo punguza mihemko, jifunze kujenga hoja na kuitetea hoja yako.

Pangua hoja kwa hoja achana na hizi mambo za pyuuuuuuuuuu.

Za kike hizo, jenga hoja dogo.
Kwikwikwi. Hunauwezo wowote kwenye kichwa chako wewe. Malengo yenu tunayajua mnataka kukwamisha mipango yetu. Tutaanza kuwakwamisha nyie kwanza. Na hatua ya kwanza tunawakwamisha humu humu. Mwaka huu hamchomoki mpaka muombe poo

Bhuuuuuuuuu!!!
 
mimi nadhani badala ya kumdiscuss mhe.mpango ni bora kama tungekuwa tunakosoa nakutoa solution.mf.mtoa mada anasema hajaprovide vyanzo vipya vya mapato,kwanini mtoa mada usiainishe vyanzo unavyovyiona vingine vya mapato kuliko wote kukaa kulalamika tena kumlalamikia mtu mmoja na wengine kwenda mbali zaidi kumdiscuss hata maisha yake ambayo hawayahusu.............
Siasa imefanya hata uwezo wa watu kufikiria umekuwa mdogo sana, serious eti analalamika serikali kuongeza gharama ya kuandika majina kwenye magari ?
Wengi waliokuwa wanafanya dili za kimagumashi wamebanwa wamebaki kulialia bila hoja za msingi
 
Mimi naona sio muda wakumlaumu dr mpango na naona mada ime base kwa kumshambulia mtu badala ya budget mbadala ata yeye akipita uku atajua kuna watu wanampa changamoto,sasa watanzania tukosoe na tuelekeze kipi cha kufanya tunamshambulia mtu
 
Dogo pole sana, naona mweupe sana kichwani.

Jifunze kujenga hoja na kuitetea, na pangua hoja kwa hoja.

Huwezi kupandisha kodi kwenye utalii bila kuangalia majirani ambao ni washindani wako jinsi watakavyo take advantage, wenzio wanashusha na kuwekeza katia kujitangaza wewe unapandisha?? Halafu waziri anaibuka na kusema hataki watalii masikini??.

Hizi buku 2 mnazopewa zinawapunguzia uwezo wa kufikiri tu.

Narudia tena dogo, jifunze kupangua hoja kwa hoja, mambo ya pyuuuuuuuuuuuu waachie watoto wa kike.
Hatutaki watalii maskini sawa. Hatutaki kuwa pupilation kubwa kwenye mbuga zetu.

Mbuga zeti tunataka hadi wajukuu wa wajukuu zetu wazikute zikiwa salama. Tunalinda mazingira yabuga zetu.

Halafu nakuona wewe bado mshamba sana. Unaongozwa na mihemko bila hata kutumia akili. Hainiigii akilini eti unaniita dogo namna gani ambavyo huwezi hata kutumia akili kidogo tu kiwango cha kuku.

Huna hata ufahamu wa kufikiria kuwa kuna kizazi na kizazi baada yetu. Toa mihemko ya washa washa kwenye moyo wako. Jifunze kureason sio kukurupuka tu bila hata ya kusoma budget na lengo la budget.

Narudia tena acha ushamba wa mbege hapa. Hii sio budget ya kwenda kuuza genge la nyanya.


Fyuuuuuuuuuuuu!!!
 
Tatizo sisi WatanZania ni watalaamu kila kitu, hata kama jambo hatulifahamu na hatuna utalaamu nao kwa sababu siyo fani yetu lkn bado unataka kujifanya watalaamu na wachambuzi, jifunzeni kwa Wazungu ambao siku zote mnajaribu kuwaiga ingawaje hamuwaelewi, Mzungu kama jambo halifahamu atakwambia ,,I can not talk about/ discuss about that, because I have no idea ..." sasa wewe nina uhakika siyo Mchumi na wala abc za Uchumi achilia mbali hata jinsi Bajeti ya nchi inavyotengenezwa lkn unakuja hapa unataka kuleta uchambuzi wa Kiuchumi, kwa nini tuko hivi?

Waziri Mpango(PhD) ni mtalaamu wa uchumi, amefanya kazi mpaka IMF alikuwa mchumi wa IMF, kwa nini usimpe muda afanye anavyonuia kufanya halafu uje umuhukumu kwa matokeo ya kazi yake?
Bajeti hata haijaanza kutekelezwa lkn tayari unakuja na ukosoaji kwamba ameshindwa wkt wewe hata abc za uchumi hauna, hii ni ajabu sana, una haraka gani? Ni Waafrika tu ndiyo tuko hivi sijui ni kwa nini?
Tatizo sio yeye anaefanya kazi.Angetakiwa asimame kama yeye na sio kimvuli cha mtu ndio maana amefeli.Unaweza ukawa na mbinu mpya za kukusanya kodi kumbe mkubwa wako anazo zake.
 
Tatizo sio yeye anaefanya kazi.Angetakiwa asimame kama yeye na sio kimvuli cha mtu ndio maana amefeli.Unaweza ukawa na mbinu mpya za kukusanya kodi kumbe mkubwa wako anazo zake.


Hapana! wewe ndiyo tatizo una IQ ndogo ndiyo maana unahukumu bajeti ambayo hata uelewa nao hauna, na isitoshe hata haijaanza kufanya kazi bado!
 
Hapana! wewe ndiyo tatizo una IQ ndogo ndiyo maana unahukumu bajeti ambayo hata uelewa nao hauna, na isitoshe hata haijaanza kufanya kazi bado!
Nimesoma bajeti yote na uchambuzi yakinifu nimeufanya, bila shaka mda utahukumu na ninaomba kwa Mungi uendelee kuwepo uku jf wakati bajeti ikishndwa kutekelezeka.
 
Kabla ya kumlaumu mtendaji tujaribu kujifunza kwa kujiuliza namna baraza la mawaziri linafanya kazi zake,na jinsi mawaziri hawa wanavyowajibika ndani ya serikali?
Dr. Philip Mpango kiujumla amebobea ktk masuala ya uchumi na ana uzoefu wa kutosha usiotia shaka,
licha ya umahiri wake huo siamini kama yeye ndio last say wa wizara husika,bali anafanya kazi zake kwa kuzingatia sheria zilizopo,sera,tafiti na ushauri wa viongozi na watendaji wengine pamoja na wataalamu wa uchumi wa serikali.
Cha msingi tumpe muda na ushauri badala ya hiki tunajokusudia kwani hajaharibu kiasi cha sisi kupoteza imani nae.
 
Hivi chagadema mtaacha lini kulalamika?
 
Kwikwikwikwi.

Unaona sasa akili zako chini ya kiwango cha kuku!!!?

Tunapiga promo tupate watalii wa maana sio mashamba boy wa ulaya kuja kujaza vinyesi vyao TZ.

Nina rudia tena kukwambia wewe ni empty bin kichwa boga.

Wewe umafikiria hii ni budget ya mangi ya mtaji wa genge la nyanya kibororoni!?

Halafu nimekuambia toa upupu kwenye kichwa chako uisome budget na usubilie utekelezaji.

Mabwana zako waliweka mpira kwapani na kukimbia bungeni. Lazima muombe po.
Halafu akili zako hizo kiwango kuku unaniita dogo. Kwikwikwi.
Lazima tuwakwamishe. Na jamaa yako kakamatwa anaenda kunyea ndoo.

Ungeleta wakati wa design ya budget tungejadili.

Hapa unaleta umbea kama mwanamke malaya. Peleka umbea kuleeee. Sio kuleta kwa wanaume. Sawa!!!!.

Kwikwikwikwikwi
Hiloooooooooo!
teh teh teh

Dogo unafurahisha sana aisee, sometimes kubishana na madogo kama nyie mlio empty kichwani kabla ya kulala huwa inasaidia sana kupunguza stress.

Sasa dogo uliambiwa hio promo inayopigwa mpaka kwenye viwanja vya mpira vya kata huko Leeds kuna matajiri??

Hivi unajua lakini hata matangazo ya bodi ya utalii huwa yanapelekwa wapi??

Narudia tena, dogo jifunze kujenga hoja na kuitetea, haya mambo ya hiloooo sijui pyeeeeeeee waachie watoto wa kike kule MMU.
 
Nimesoma bajeti yote na uchambuzi yakinifu nimeufanya, bila shaka mda utahukumu na ninaomba kwa Mungi uendelee kuwepo uku jf wakati bajeti ikishndwa kutekelezeka.


Hilo ndilo ulilopaswa kulisema kwamba waache watu wafanye kazi halafu tutawahukumu kwa matokeo ya kazi yao kama muda ukifika na yale walioyaahidi kuyafanya hayajafanyika basi tuna kila haki ya kuwaita failure na siyo kabla kwa maana siyo fair na kila binadamu anastahili fairness na haijalishi kama wana mtazamo tofauti na wetu au la!
 
Kwa idea ya 40% development hiyo ni innovation tayari. Lakini pia wamekata sana kwenye matumizi ya anasa kama ununuzi wa magari, furniture, per diems na posho. Lakini pia kwa ambition ya kuongeza trilion karibu nane kwenye bajeti ilikuwa lazima kuongeza baadhi ya kodi. Nadhani tumpe muda tuone ambitions zake kama zitafikiwa halafu ndio tumhukumu at least May mwakani. Binafsi nampongeza kwa kujaribu 40% development, zamani bajeti zilikuwa ni matumizi tu na utekelezaji unakuta maendeleo less than 10%
 
ili bajet itekelezeke kale ka ndoto ka 2.4 trioni kila mwezi lazma tukaote
 
Back
Top Bottom