Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
The bottom line: CCM na wapinzania hawawezi kufanana.
They may not be equal, but they are similar!!!
Hili la kweli kabisa na mimi nakubaliana na wewe 95%,,, lakini kushindwa kwao sio Justification ya kwamba Akina Kitila, Mnyika, Zitto, Dr, Slaa, Mbowe & Team wanaweza!!!Tuna vigezo vya kuwapima CCM maana tumewakabidhi zana (dola) ya kufanyia kazi for the past 40+ years na wameshindwa.
Hicho ndio kichaka mnachojifichia!!! Lakini wengine tunaona,,, kwani kwenda kujenga kisima cha maji cha milioni mbili mpaka ushike nchi... ni muda gani mnajidili hoja hapa JF badala ya kwenda kwa wananchi wenye shida... hivi mnafikiri waliopo hapa JF wanashida za kusaidiwa kama bibi, babu, wadogo zetu walioko vijijini?Hatuna haki ya kuwahukumu wapinzani katika hili maana hatujawahi kuwapa nafasi tukawaona.
Nakuunga mkono kabisa,,, lakini hii inatakiwa iapply sehemu zote, kwani tetesi nyingi mnazoweka hapa, na wahusika wala hawapo, wala hawana nafasi ya kujitetea na ninyi mnaconclude kwamba ni hivyo... mnaona sawa eeeh!!!Sasa tusilazimishe hoja kwa kupachika uongo hapa na pale; tutakuwa tunawaonea wapinzani na kujionea sisi pia!