Philemon Luhanjo wa Ikulu naye fisadi?

Kwa kuendeleza ile definition yetu ya Ufisadi nadhani kuingilia zoezi la ajira serikalini kinyume na sheria ni Ufisadi...

1215006746_luhanjo_jarambaweb.jpg


Kwanza kwa jinsi alivyoingilia issue ya ile post mpya ya DG wa National Housing watu hawakuamini lakini sasa hivi inasemekana kuwa amekuwa hashikiku na anaweka kuwa anamkaribia GREY MGONJA. Sasa lawama zinazidi kuwa ni Mkabila wa kutisha na ukichanganya na elements za Kifisadi ndio basi tena

Maana mtu unakaa unamtetea JK weee lakini kila ukitazama walio mzunguka kichwa shurti kikuume.

Kuwa na Katibu Mkuu kama huyu ni sawa na kujaza maji kwenye gunia maana the man is just useless kwenye calibre ya Salva et al
Luhanjo kaondoka but on his own terms
 
Naona kwa mbali nafasi ya Katibu mkuu kiongozi inarudi kwa kanda ya Iringa.
 
Back
Top Bottom