Butho Mtenzi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 331
- 22
Poleni jamani! Thats the Tz we want?
Una ushaidi gani?hamna msafi serikali hii

Baseless accusations zilizojazwa na chuki binafsi za ubaguzi ubaguzi. This clearly shows kuna mikakati mikubwa ambayo imekuwa ikisukwa to fix the poor old man. Mshindwe na mlegee.

Na Mzee wa watu afadhali hata ametoka Iringa, angetoka Kilimanjaro basi tusingesikia mwisho wake.

How many people from Iringa are in government? Is the NHC DG from Iringa? Even if he is, is he a slacker or fisadi?

I am so certain huyu mzee amezua ufisadi wa ukweli and it is payback time. You can't even try to offer him 10%.

Kwa nini JK anamwongezea tu miezi na asimwachie kupumzika?

Ndio haya haya magazeti yalichafua Dr. Salim wa watu na oneni tulipo sasa.

Siamini kinachoandikwa magazetini at a 100%.

Therefore, as GT says, Time Will Tell!

In the meantime,I dare anyone of you to list ufisadi wa huyu mzee.
Una ushaidi gani?
Usipende kugeneralize
Wasafi wapo wengi sana
Ngoma full circle
Mama sijaona alipata ubalozi baada ya kustaafu kwa sababu ya ufisadi wa viwanja wa luhanjo . Mambo ya ghadafi yatawakuta
sidhani kama atachomoka this time
na JF kweli mkimtaka mtu wenu hamumkosi kabisaa
Aibu yako........pole sana.Baseless accusations zilizojazwa na chuki binafsi za ubaguzi ubaguzi. This clearly shows kuna mikakati mikubwa ambayo imekuwa ikisukwa to fix the poor old man. Mshindwe na mlegee.
Na Mzee wa watu afadhali hata ametoka Iringa, angetoka Kilimanjaro basi tusingesikia mwisho wake.
How many people from Iringa are in government? Is the NHC DG from Iringa? Even if he is, is he a slacker or fisadi?
I am so certain huyu mzee amezua ufisadi wa ukweli and it is payback time. You can't even try to offer him 10%.
Kwa nini JK anamwongezea tu miezi na asimwachie kupumzika?
Ndio haya haya magazeti yalichafua Dr. Salim wa watu na oneni tulipo sasa.
Siamini kinachoandikwa magazetini at a 100%.
Therefore, as GT says, Time Will Tell!
In the meantime,I dare anyone of you to list ufisadi wa huyu mzee.
Kinachoniuma ni kwamba........Jairo na Luhanjo wata-retire .....early retirement.huyu mzee si anastaafu mwaka huu..mrithi wake ikikuwa awe Bw Jairo
Hawa walifaa hata kabla hawajastaafu wachukuliwe hatua lakini kwa Serikali hii ya kisela ambayo mambo yake ni kisela ni dhahiri kuwa watapeta Kisela tu hadi muda utafika kustaafu hao kimya kimya na JK naye hautosikia akitamka lolote lileKinachoniuma ni kwamba........Jairo na Luhanjo wata-retire .....early retirement.
kama kilichotokea kwa akina Mgonja. Kikwete hawezi kuwafanya chochote, hawezi kuwafukuza.
Hiyo ndo system ya CCM na serikali yake.
Haya Kinyambiss say it again sasa this time....GT.. Your claim is based on nothing up to this point. Yani hujaongea kitu. Bila any substantial accusation and/or evidence to support your claim unapaka mtu matope. What's worse, your claim is hollow at this point maana ata haieleweki!! One might say that you claim that the guy ni fisadi na mkabila but also the same person might say ur claim is that anamkaribia MGONJA. Or are we to assume that the latter is the evidence for the former. Get serious dude!
Sasa GT umejianika mwenyewe kumbe kazi yako kubwa ni kumtetea Jakaya hata kama anafanya madudu mpaka kichwa kinakuuma! Kusema kweli wewe ni muongo mkubwa kwani ukweli ni kwamba humtetei Jakaya bali unatetea udini wako.
Na umeanza kumpaka matope Luhanjo kwa misingi hiyo hiyo ukitegemea wakina January watakusaidia kupitisha umbea wako kwa Jakaya ili Luhanjo aondolewe awekwe mjomba wako Hamisi au Juma pale Ikulu!! Spin zako zimekwisha ng'amuliwa kwa hiyo acha hizo.