Nchi hii kila sehemu imejaa ufisadi,mimi nashindwa kuwaamini wanaochangia humu JF,kuwa pengine wana connection na mafisadi iwe na mengi au rostam kwani kumtetea mtu iwe kwa kabila au dini ni ufisadi pia.
Nina hofu na uzalendo wakina Dr.Slaa,mama kilango ,mkumba,Dr.Mwakyembe na kina ole sendeka ni kiwasikiliza logically napata wasiwasi nao sana ninakitu kutowaamini kama wanauzalendo wa kweli sijui kwa nini? ninahofu kama wanatumiwa ivi.
Kama hawatumiwi iwe na mengi au na wengine mimi nawaunga mkono ila kama kuna connection na fisadi yoyote ni bora wajiepushe wafanye kazi yetu watanzania tutawasapoti na kuwaunga mkono kwa hali na mali na tutawalinda kwa uwezo wa mola.