Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

Hata hivyo, Dk Mwakyembe alisema, Dk Msabaha akiwa nje ya kiapo alieleza kamati kwamba, yeye ni mbuzi wa kafara kwa sababu biashara hiyo ilikuwa ya Lowassa na mshirika wake, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz.

Kwa nini Msabaha aliyasema haya nje ya kiapo? Unadhani atakuwa na ubavu wa kuyarudia hadharani? Au Mahakamani ambako nako kuna kiapo? Huyu kweli ni mtu wa kumuamini?

Amandla........
 
Rostam aliandamwa sana alipodai kuwa kampuni zake zimetoa ajiri kwa watu zaidi ya 6,000. Sasa humu tunaambiwa kuwa kampuni yake ya Mirambo ina asilimia 35 za share za Vodacom. Hivi Vodacom imetoa ajira kwa watu wangapi Tanzania? Kuanzia hao wa maofisini kwake, wauza vocha n.k.? Hawajafika 6000? Bado Caspian ambaye yumo sana kwenye migodi! Kwa kutanguliza chuki na munkari kwenye suala hili, hatutafika kokote. Kama kweli mnataka kumuwajibisha Rostam itabidi mtulie na kupanga mikakati iliyo bora kuliko hii iliyojazana humu!

Amandla........

Kuna mahali popote RA amekubali kuwa anamiliki kwa namna moja au nyingine kampuni ya Mirambo, Vodacom au Caspian?
 
Rostam aliandamwa sana alipodai kuwa kampuni zake zimetoa ajiri kwa watu zaidi ya 6,000.

Sasa humu tunaambiwa kuwa kampuni yake ya Mirambo ina asilimia 35 za share za Vodacom.

Hivi Vodacom imetoa ajira kwa watu wangapi Tanzania? Kuanzia hao wa maofisini kwake, wauza vocha n.k.? Hawajafika 6000?

Bado Caspian ambaye yumo sana kwenye migodi! Kwa kutanguliza chuki na munkari kwenye suala hili, hatutafika kokote.

Kama kweli mnataka kumuwajibisha Rostam itabidi mtulie na kupanga mikakati iliyo bora kuliko hii iliyojazana humu!

Amandla........

- Mkuu mimi ndiye hasa nimemuandama Rostam kwa kauli yake kwamba ameajiri wafanyakazi 6000, huku akiwa hana kampuni hata moja iliyoandikishwa kwa jina lake, kama Mengi. Kama hoja yako ni valid basi angesema kampuni zinazomilikiwa na familia yangu, tumekuomba sana uzitaje umeshindwa kabisaa sasa unajaribu kuhalalisha hoja yake Rostam kwa habari ambazo hazina uhakika, ninakuomba tena hebu zitaje kampuni zzinazomilikwa na familia yake kwa sababu Brela hakuna kampuni hata moja iliyosajiliwa kwa jina lake, au familia yake!

- Kampuni ya Caspian haiko kwa jina lake, na wala yeye sio majority share holder, meaning kwamba anaficha something, sasa ni nini hasa anachoficha?

- Rostam amedai kwamba Mengi ni fisadi kwa sababu amekopa hela nyingi sana za Commodity Import Support, lakini Rostam mwenyewe alipobawna sana na Kubenea ikiwa ni pamoja na kuonyeshwa ushahidi, Rostma alikubali kwamba hata yeye anadaiwa hela nyingi sana za mtindo huo huo wa Commodity Import Support, ambazo zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya kuwasaidia wafanya biashara nchini, alisema " wengi tulikopa na tunaendelea kulipa."

Sasa hivi kazi ni moja tu nayo ni kukata mzizi wake wa urafiki na rais, then kumfikisha kwenye sheria, pole pole tunamkaribia maana kesi ya Mengi tayari iko mahakamani.

Respect.

FMES!

Kwa nini Msabaha aliyasema haya nje ya kiapo? Unadhani atakuwa na ubavu wa kuyarudia hadharani? Au Mahakamani ambako nako kuna kiapo? Huyu kweli ni mtu wa kumuamini?

Amandla........

4. Lowassa amehusishwa na upendeleo wa kampuni hiyo kutokana na barua yake Juni 21, 2006 akiagiza kuwa Richmond ipewe zabuni

5. Alisema kamati haikufurahishwa na taarifa zinazomgusa moja kwa moja Lowassa katika kupendelea Kampuni ya Richmond Development

6. Hata hivyo, Dk Mwakyembe alisema, Dk Msabaha akiwa nje ya kiapo alieleza kamati kwamba, yeye ni mbuzi wa kafara kwa sababu biashara hiyo ilikuwa ya Lowassa na mshirika wake, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz.

- After all this ni kweli kama unavyosema wa kumuamini ni Rostam.

FMES!
 
Rostam: Siwajui Richmond

na Mwandishi Wetu

1. MFANYABIASHARA na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), amesema hana uhusiano wowote, na wala haijui Kampuni ya Richmond Development Company LLC ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura baada ya kuingia mkataba wenye utata na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

2. Rostam aliyepata kuwa Mweka Hazina wa CCM Taifa hadi mwaka ujana, alitoa kauli ya kuikana Richmond jana, wakati alipofanya mahojiano ya simu na Tanzania Daima, alipotakiwa kutoa ufafanuzi wa kinachosababisha jina lake lihusishwe na kampuni hiyo ya kitapeli na ile ya Dowans ambayo ilirithi mkataba wa Richmond.

3. “Siijui hata kidogo, siwatambui na siwafahamu. Mimi ni mfanyabiashara, sina sababu ya kuficha, kama ingekuwa ni kampuni yangu, nisingeshindwa kutekeleza mradi huo. Leo hii kutokana na kuwepo kwa mawasiliano ya kutosha, si rahisi mmiliki wa kampuni hiyo asijulikane. Mimi sidhani kama imekuwa ni ngumu kiasi hicho,” alisema Rostam.

4. Wakati akikana kuifahamu Richmond na wamiliki wake, Rostam, alikiri kuwahi kutaka kufanya kazi na Kampuni ya Dowans Holdings S.A ambako Kampuni ya Richmond ililazimika kuhamishia mkataba wake huko, baada ya kushindwa kuutekeleza kwa muda uliowekwa. “Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi,” alisema Rostam.

5. Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

6. Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.“Nilipoomba kazi kama mkandarasi, nilitakiwa kuacha anuani, unapoomba kazi lazima uache anuani,” alisema kwa ufupi.

7. Akizungumza kuhusu kauli ya Kamati Teule ya Bunge kuwa alikwepa wito wa kwenda kuhojiwa juu ya anwani ya kampuni yake kutumiwa na Dowans, na pia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yake kusemekana kuwa wafanyakazi wa Dowans pia, alisema barua hiyo ya wito ilichelewa kumfikia.

8. Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.
 
- Mkuu mimi ndiye hasa nimemuandama Rostam kwa kauli yake kwamba ameajiri wafanyakazi 6000, huku akiwa hana kampuni hata moja iliyoandikishwa kwa jina lake, kama Mengi. Kama hoja yako ni valid basi angesema kampuni zinazomilikiwa na familia yangu, tumekuomba sana uzitaje umeshindwa kabisaa sasa unajaribu kuhalalisha hoja yake Rostam kwa habari ambazo hazina uhakika, ninakuomba tena hebu zitaje kampuni zzinazomilikwa na familia yake kwa sababu Brela hakuna kampuni hata moja iliyosajiliwa kwa jina lake, au familia yake!

- Kampuni ya Caspian haiko kwa jina lake, na wala yeye sio majority share holder, meaning kwamba anaficha something, sasa ni nini hasa anachoficha?

Sasa hivi kazi ni moja tu nayo ni kukata mzizi wake wa urafiki na rais, then kumfikisha kwenye sheria, pole pole tunamkaribia maana kesi ya Mengi tayari iko mahakamani.

Respect.

FMES!

Mfanyakazi wa BOT ambaye ana uwezo na fedha ya kuanzisha kampuni ya Planetel (ningependa kweli kujua kampuni hii ilianzishwa lini na wana hisa wake!) na kuwa na hisa kubwa tu kule Vodacom ambazo walikuwa waziuze (sijui kama tayari wameziuza) kwa kampuni ya Mirambo inayomilikiwa na Rostam!
Hii ni kutoka hoja kuu ya mzee Mwanakijiji.

Mimi huniamini basi hata mzee mwanakijiji humuamini? Umeingiaje kwenye mjadala bila kusoma hoja kuu?
Au unataka kutuambia kuwa Mzee Mwanakijiji anamsingizia Rostam maana yeye si mmiliki wa Caspian au Mirambo? Tuelewe lipi! Kwa vile unajua kuwa Mzee Mwanakijiji kamsingizia Rostam, basi tueleze ni nani mwenye hizo kampuni. Si ulishacheki mpaka Brela! Na unawajua ndugu wote wa Rostam kiasi cha kusema hakuna ndugu yake kwenye hizo kampuni! Chonde chonde, Mkuu.

Amandla.......
 
Rostam aliandamwa sana alipodai kuwa kampuni zake zimetoa ajiri kwa watu zaidi ya 6,000. Sasa humu tunaambiwa kuwa kampuni yake ya Mirambo ina asilimia 35 za share za Vodacom. Hivi Vodacom imetoa ajira kwa watu wangapi Tanzania? Kuanzia hao wa maofisini kwake, wauza vocha n.k.? Hawajafika 6000? Bado Caspian ambaye yumo sana kwenye migodi! Kwa kutanguliza chuki na munkari kwenye suala hili, hatutafika kokote. Kama kweli mnataka kumuwajibisha Rostam itabidi mtulie na kupanga mikakati iliyo bora kuliko hii iliyojazana humu!

Amandla........

Ni bora kwanza aorodheshe kampuni anazo zi own,then tutajuwa ni wananchi wangapi amewaajiri. Tusiingize hisia kwenye mjadala huu,tusirukie kwenye kujadili kuhusu aliowaajiri na huku hatujui bishara anazoendesha...Hapo ndipo kwenye mzizi wa hoja...Connection.
 
Hii ni kutoka hoja kuu ya mzee Mwanakijiji.

Mimi huniamini basi hata mzee mwanakijiji humuamini? Umeingiaje kwenye mjadala bila kusoma hoja kuu? Au unataka kutuambia kuwa Mzee Mwanakijiji anamsingizia Rostam maana yeye si mmiliki wa Caspian au Mirambo? Tuelewe lipi! Kwa vile unajua kuwa Mzee Mwanakijiji kamsingizia Rostam, basi tueleze ni nani mwenye hizo kampuni. Si ulishacheki mpaka Brela! Na unawajua ndugu wote wa Rostam kiasi cha kusema hakuna ndugu yake kwenye hizo kampuni! Chonde chonde, Mkuu.

Amandla.......

For some resorn kuna watu wengi tu wanamakampuni Under trust. Ukiwa na kampuni sio lazima jina lako liwe kwenye shareholders list. Kuna watu wengine wanawatumia their attoney to represent their shares therefore I dont see any problem
 
Hii ni kutoka hoja kuu ya mzee Mwanakijiji.

Mimi huniamini basi hata mzee mwanakijiji humuamini? Umeingiaje kwenye mjadala bila kusoma hoja kuu?
Au unataka kutuambia kuwa Mzee Mwanakijiji anamsingizia Rostam maana yeye si mmiliki wa Caspian au Mirambo? Tuelewe lipi! Kwa vile unajua kuwa Mzee Mwanakijiji kamsingizia Rostam, basi tueleze ni nani mwenye hizo kampuni. Si ulishacheki mpaka Brela! Na unawajua ndugu wote wa Rostam kiasi cha kusema hakuna ndugu yake kwenye hizo kampuni! Chonde chonde, Mkuu.

Amandla.......

- Mkuu jibu hoja zangu, kama huwezi kubali tu usijaribu kutuchanganya maana tunazo akili za kutosha kujua kwamba Rostam ni fisadi kama alivyosema Mzee Mengi, ulianza vizuri sasa vipi tena?

- Jibu hoja mkuu, mimi sio Mwanakijiji yeye anazo hoja zake sasa usituchanganye hapa, kama huwezi jibu ni kukubali tu mkuu!

FMEs!
 
For some resorn kuna watu wengi tu wanamakampuni Under trust. Ukiwa na kampuni sio lazima jina lako liwe kwenye shareholders list. Kuna watu wengine wanawatumia their attoney to represent their shares therefore I dont see any problem

- Very weak mkuu, tafuta hoja nzito zaidi ya hii kama unataka kumtetea Rostam kama ninavyokuona, hivi unawajua wabongo wangapi wenye hizo trust na attorney kumiliki makampuni ndani ya Tanzania? Naomba nitajie wawili tu unaowafahamu na wanaojulikana?

- Umefika wakati wa kukubali kwamba hamzijui kampuni za Rostam anazoajiri wafanyakazi 6000!, ni mtego mbaya sana ambao hata yeye hakujua kwamba amejitega mwenyewe, ndio maana hata yeye hataki tena maneno na kuwataka Takukuru wamsaidie kumnyamzisha Mengi, sisi tutaendelea tu kumkoma nyani!

FMES!
 
- Mkuu jibu hoja zangu, kama huwezi kubali tu usijaribu kutuchanganya maana tunazo akili za kutosha kujua kwamba Rostam ni fisadi kama alivyosema Mzee Mengi, ulianza vizuri sasa vipi tena?

- Jibu hoja mkuu, mimi sio Mwanakijiji yeye anazo hoja zake sasa usituchanganye hapa, kama huwezi jibu ni kukubali tu mkuu!

FMEs!

Hoja gani tena, Mkuu? Mnajicontradict wenyewe halafu unanilaumu mimi! Mzee Mwanakijiji ndiye aliyeleta hoja mama hapa sasa wewe unataka tumdharau tukusikilize wewe? Mzee Mwanakiji ambae si mshabiki wa Rostam by all means anasema hizi kampuni ni za Rostam na wewe ambae nawe si shabiki wa Rostam unasema si zake, sasa tumuamini nani? Mbona unashindwa kutueleza hizo kampuni za Caspian na Mirambo ni nani wameorodheshwa kama wamiliki? Ni lazima uwajue maana unajua kuwa si Rostam wala ndugu zake wameorodheshwa! Hili nalo lina ugumu gani? Au hauwajui il hali ulikuwa unafurahisha baraza! Na kama unavyodai, Rostam hamiliki kampuni yeyote (ikiwemo Kagoda) hayo mapesa ya EPA aliyachota vipi? Alikuwa anaenda dirishani BOT kupokea?

Tuoneeni huruma wenzenu. Hatuja soma lakini si punguwani kiasi hicho!

Amandla.........
 
Caspian Construction LTD ilipoanzishwa mwaka 1993 ilikuwa chini ya jina la nani?
 
- Ninasema hivi Brela hakuna kampuni hata moja iliyoandikishwa kwa jina la Rostam, lakini Rostma ameandikishwa kuwaajiri wafanyakazi wawili kwa jina lake nao ni dereva wake na secretary wake tu, sasa naomba kukuliza tena hao wafanyakazi 6000 amewaajiri kwenye kampuni gani?

- Fundi kubali kwamba huna hoja ila unataka kustarehesha baraza tu, kwa sababu Mwanakijiji sio hoja ya Rostam uliyoisimamia toka jana hapa, either unayajua majina ya kampuni za Rostam au huzijui kubali tu!

- Kusema neno sio punguwa ni rahisi sana tatizo ni kuthibitisha hilo neno ulilolieta mwenyewe, labda kwa kuonewa huruma ni wananchi wa Tanzania wanaolala giza huku Rostam akikusanya hela za umeme ambao hana hata kampuni ya kuuzalisha! Lakini anachukua hela mpaka leo!

Huko Brela wanaorodheshwa madereva na masekretari? Tena na mtu ambae hajaorodheshwa kama mmoja wa wamiliki wa kampuni husika! Mbona hautuonei huruma, Mkuu?

Amandla........
 
Huko Brela wanaorodheshwa madereva na masekretari? Tena na mtu ambae hajaorodheshwa kama mmoja wa wamiliki wa kampuni husika! Mbona hautuonei huruma, Mkuu?

Amandla........

- Nilijua utarukia hilo, hapana ameorodheshwa kwenye Wizara ya kazi, Brela wanaorodhesha makampuni, lakini waajiri wote lazima waishie kuorodheshwa wizara ya kazi, again yale yale hoja hakuna! ni vyema ukajionea huruma mkuu kama ulivyosema!

FMEs!
 
Back
Top Bottom