Ila kweli kuna utata, kwa nini yule mzungu aliyekutwa eneo mwili ulipoonekana mara ya kwanza alipotea na haikufanyika juhudi yoyote ya kumtafuta ili ajumuishwe kwenye list ya mashaidi?!! Kilichomponza bw. Kupaza ni kutoa statement za uongo kumhusu dadake.Mkuu wanasema alidanganya ili kukwepa mkono wa sheria dada ake visa ilikuwa imeexpire...uwongoo wa wabongo huo umemletea msala