Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,283
- 2,529
Nataka kuamini hili ila je damu iliyokutwa chooni? Na kwanini jamaa adanganye kuhusu dada kurudi nyumbani? Hapa tuseme ishu ni visa.
Kwanini alimdanganya mwanamke mwingine?
Kuna maswali mengi yanayokosa majibu.
Damu ilikaa miezi sitaNataka kuamini hili ila je damu iliyokutwa chooni? Na kwanini jamaa adanganye kuhusu dada kurudi nyumbani? Hapa tuseme ishu ni visa.
Kwanini alimdanganya mwanamke mwingine?
Kuna maswali mengi yanayokosa majibu.